"Kwani kuna Ubaya Gani kusema kwamba natafuta ntu wa kuniridhisha kimahaba?".....Recho Ajibu tuhuma


Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
sanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kwamba anatafuta mwanaume wa kumridhisha kimapenzi.


Recho akicheza na shabiki wake katika moja wa show zake nchini
Akizungumza na Bongo5 leo, Recho amesema ni kawaida yake kusema hivyo katika show nyingi ambazo amekuwa akizifanya kama njia ya kucheza na akili za mashabiki wake.
“Binafsi yangu nipo na mchumba, anajuaga kama naongea hivyo kwaHiyo sio kitu cha ajabu ambacho kikawafanya watu wanifikirie vibaya. Kwani kuna ubaya gani nikasema natafuta mtu wakuniridhisha,naona hakuna ubaya,sijaongea lugha mbaya ya matusi ni kitu cha kawaida kwa fans wangu,” alisema Recho.
Habari hiyo iliandikwa kwenye mtandao wa Standard Digital News wa Kenya ikiwa na kichwa cha habari kisemacho; Tanzanian superstar begs for ‘sexual satisfaction’
Tanzanian musician shocked journalists when she screamed to the cameras that she needed to be ‘sexually satisfied’. Recho, who was talking to reporters after the Kigoma All-stars concert in Mombasa, said that she wanted a man to ‘end the night with.’
Disappointed that her wish did not come true, the musician, famous for her song Upepo, told reporters and anyone who cared to listen that they ‘couldn’t handle a woman’.
Recho was not the only disappointed musician that night as her Tanzanian counterpart Maunda was spotted backstage crying after being booed offstage by the crowd.
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
8,958
Likes
338
Points
180
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
8,958 338 180
Kama hamna ubaya hebu nenda kamwambie babako kuwa unatafuta mwanaume wa kukuridhisha....
 
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
7,317
Likes
4,298
Points
280
Mwl.RCT

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
7,317 4,298 280
"Kwani kuna Ubaya Gani kusema kwamba natafuta ntu wa kuniridhisha kimahaba?".
  • Hakuna ubaya
  • Tatizo ni mahala/ hadhila/ muda wa kuzungumza hayo
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Si yupo Diamond,wengi tu wa kumtunguaa
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,920
Likes
2,915
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,920 2,915 280
Ila kua na dada bongo movie au kweny muziki hapa tz ni shida sana. Sasa hapo mdogo ake/kaka yake huwa anajisikiaje akisikia hayo?
 
Linamo

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Messages
10,028
Likes
24,145
Points
280
Linamo

Linamo

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2011
10,028 24,145 280
Very stupid.....So kaona ujikoooo...ikiwa kajishushia heshima...Elimu muda mwingine huwa inasaidia sana.
 
serio

serio

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
6,418
Likes
1,635
Points
280
serio

serio

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2011
6,418 1,635 280
Recho was not the only disappointed musician that night as her Tanzanian counterpart Maunda was spotted backstage crying after being booed offstage by the crowd.[/FONT]
[/FONT][/QUOTE]

Mimi nimespoti hilo la Maunda. Sijui aliwaimbia viporo gani jamani..
 
H

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
1,483
Likes
20
Points
135
Age
32
H

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
1,483 20 135
Malaya tu!!!!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,250,699
Members 481,460
Posts 29,742,298