Kufuru, malkia wa nyuki atua dar na ndege ya watu 150 akiwa abiria pekee

Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280

Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo.

Rahma, maarufu kama Malkia wa Nyuki, ametua na ndege hiyo aina ya Airbus 320 inayomilikiwa na Serikali ya Oman na anaitumia yeye kupitia cheo chake cha Balozi wa Heshima wa Oman nchini Comoro.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AKIWA NA NYUKI MTOTO[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 17, kati ya hao 16 ni wafanyakazi ndani ya ndege ambao ni daktari mmoja, walinzi wanne, waliobaki ni marubani na wahudumu.

Akizungumza dakika chache kabla ya kuondoka nchini jana, saa 10 alfajiri, Malkia wa Nyuki alisema alishuka nchini kwa ajili ya mapumziko ya siku moja, pia kuzungumza na baadhi ya viongozi wa Simba.

"Nimepita tu, tumepumzika kidogo hapa na baada ya hapo ninakwenda Comoro kwa ajili ya kuzungumza na kumchukua Rais wa Comoro
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]AKIAGANA NA WADAU..[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

"Lakini wakati wa mapumziko, nimepata nafasi ya kuzungumza na baadhi ya viongozi wa Simba kuhusiana na mwenendo wa timu kwa hivi sasa.

"Kwa sasa namaliza majukumu yangu kikazi halafu nitarudi tena safari nyingine nchini kwa ajili ya kuendelea na mazungumzo na viongozi wenzangu wa Simba ili tujue tunaweza kufanya nini kuendelea kurekebisha mambo," alisema.

Kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Malkia wa Nyuki alisindikizwa na mwanaye Fatma, maarufu kama Nyuki Mtoto na watu wengine wawili.

Baada tu ya yeye kupanda ngazi za ndege hiyo, walinzi na wafanyakazi waliokuwa nje ya ndege hiyo nao waliingia na ikaanza safari kwenda Comoro
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280

DEGE LENYEWE, FAST JET CHAMTOTO.
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280
[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]WALINZI NA WAFANYAKAZI NAO WANAPANDA..[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Likes
5
Points
135
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 5 135

Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo.

Rahma, maarufu kama Malkia wa Nyuki, ametua na ndege hiyo aina ya Airbus 320 inayomilikiwa na Serikali ya Oman na anaitumia yeye kupitia cheo chake cha Balozi wa Heshima wa Oman nchini Comoro.
Sifa za kijinga
 
bysange

bysange

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
4,418
Likes
100
Points
160
bysange

bysange

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
4,418 100 160
Ni wakati wake kila la kheri katika majukumu yake
 
promiseme

promiseme

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2010
Messages
2,713
Likes
33
Points
135
promiseme

promiseme

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2010
2,713 33 135
Mbwa wa mfalme na yeye pia hua mfalme katika mbwa wenzie....
 
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
9,489
Likes
280
Points
180
hekimatele

hekimatele

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
9,489 280 180

Mlezi wa Simba, Rahma Al Kharoosi, ametua jijini Dar es Salaam akiwa kwenye ndege kubwa yenye uwezo wa kubeba watu 150, lakini yeye akiwa ndiye abiria pekee ndani ya ndege hiyo.

Rahma, maarufu kama Malkia wa Nyuki, ametua na ndege hiyo aina ya Airbus 320 inayomilikiwa na Serikali ya Oman na anaitumia yeye kupitia cheo chake cha Balozi wa Heshima wa Oman nchini Comoro.
Ndo Nani hiyo?
 
mapinduzi daima

mapinduzi daima

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Messages
1,376
Likes
1,831
Points
280
mapinduzi daima

mapinduzi daima

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2013
1,376 1,831 280
Hivi ni kweli nyuki mfalme ni mheshimiwa?
Muungwana Deo...usiseme kwa sauti kubwa hadi waliolala waamke...'mfalme huyu amevunja rekodi' na maskini akipata .... yote hulia mbwata mbwata ,...
 
Forum statistics

Threads 1,251,189
Members 481,615
Posts 29,761,823