10 Shocking Photos Of Celebrities Without Makeup!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=1]#1 0[/URL] . Shakira
#9 . Olivia Wilde
#8 . Katy Perry
#7 . Tyra Banks
#6 . Kelly Clarkson
#5 . Kim Kardashian
#4 . Pamela Anderson
#3 . Taylor Swift
#2 . Mila Kunis
#1 . Sophia Vergara
...Came across it, decided 2 share! Personally i fink they all look awful, except Taylor Swift. She wasn't that bad!The othersAnd..ngoja niwaongezee bonus


 

white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Kim ni bonge la demuuuuu,yaani kumbe hata mim nawazidi uzuri maana situmiag makeup lol
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Make up zidumu tu maana kuna ambao watashindwa hata kutoka nje zikikosekana
 

badiebey

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
5,876
1,500
Kik k rocks na taylor s nt bad,katty perry ,tyra khahhh.....
Bci na sie tukipga hzo makeup mbna hapatatosheerr
 

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
25,965
2,000
Siku ya jumapili, sikukuu ama club usitafute
mchumba maana kila mmoja kijipiga na
maaapouuuddaa sasa ukitupa jicho juu hadi
chini ni ng'aring'ari tu.

Kuna ile picha maarufu hapa jf huwa ina mguu
wa mtu wenye magaga(makenya,vizaka)
huwa imeandikwa hili Guu linapatikana Mkoa gani ?

Teh ha ndiyo mambo ya Makeup
 

kanabali

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
495
250
Duuu,kumbe inawezekana hata wadada wa dar wanaonekana mapini kwasababu ya makeup?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom