Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Dj maarufu Rankeem amefariki dunia hii leo katika hospital ya mwananyamala radio one. Innalilah rajuun ndugu yetu dj wetu maashuhuri ramkini ramadhani ametutoka mchana huu alikuwa akikimbizwa...
0 Reactions
80 Replies
16K Views
Hata kama sio shabiki wa diamond ila kuna kitu lazima uwe kinakuvutia kutoka kwake.Unaweza kujitahidi kumchukia labda kutokana na skendo zake za nje ya muziki wake ila ukirudi kwenye muziki...
2 Reactions
22 Replies
9K Views
habari zenu wa jukwaa!! bila kusita, naomba nitoe request kwa mzee wa sukari ya warembo, the platinumz, the number one of beatifullz afanye hili! diamond, dini yetu inaruhusu kabisa kuwa na wake...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hawaa vijana mi huwa nikiwaangaliaga namaswali swali yao yale ambayo hayana mantik yeyote huwa nachoka kweli ndipo naona usijione ufahari kujichoresha kwenye matv wakati, kichwani hakuna kitu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakati watanzania wengi wakisubiri taarifa kutoka kwa ufoo saro juu ya mkasa ulioikumba familia yake, na kumpoteza my number one wake pamoja na bi mdanga wake bi anastazia saro,bi shosti huyo...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Nadia Buari and Jim Iyke’s relationship has gone through many ups and downs and the latest is about Nadia deleting all pictures from her instagram page which involved Jim Iyke. Well, she has her...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
This kid is indeed a genius, hii ngoma ni among my personal favorite kwenye album yake ya zamani ya Section 80. Napenda zaidi hii verse anapokwambia: Who said a black man in the Illuminati? Last...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni dhahiri kuwa jina la Diamond Platnumz linazidi kukua, kutoka Tanzania hadi Afrika mashariki na sasa Afrika magharibi baada ya kufanya collabo na Davido ambayo bado haijatoka, hii yote...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msije sema mbona jamaa hajajishughulisha kabisa kwenye msiba wa mzazi wa Wema
0 Reactions
59 Replies
10K Views
duh.. Ngoma kali mnoo.. Beat, lyrics, style ya kutapika rhymes,michano, kijana amerudi vyema.. Haya blue na wengine tufungukieni siri ya hilo NGOMA KALI. Nilijua wimbo huu utawamaliza...
1 Reactions
94 Replies
22K Views
Mwigizaji, muongozaji wa filamu na mmiliki wa kampuni wa filamu ya 5effects William Mtitu amepata bahati ya kuongeza idadi ya wanafamilia wake baada ya mke wake Jovitha Mtitu kujifungua salama...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa muonekano wa macho yako yanatisha na kuogopesha watazamaji zamani nilidhani ni majungu ya watu kumbe ni kweli. Ulifaa kubaki kwenye redio na sio tv, inshort hufai kuwa kwenye tv. Mwambie...
1 Reactions
76 Replies
16K Views
Kifo cha Nyaisanga kinatukumbusha jinsi idadi ya watangazi mahiri inavyozidi kwisha na kubaki na kundi la vimeo. Watangazaji vimeo ni pamoja na,. .. Said Kilumanga, Kipanya Orest Kawau ( magic...
0 Reactions
42 Replies
10K Views
Baada ya kuwa na bifu na mmoja kati ya watu wenye ushawishi mkubwa nchini marekani Oprah winfrey,50 cent akaamua kumpa mbwa wake jina la oprah,kama hiyo aitoshi akampa paka wake jina la gayle...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mi nasema kuna waumini wamedandia hizi fani za muziki nahisi next tym clouds mpange jinsi gani ya kualika sio kila mtu anaalikwa kuimba mtaalika wahuni majuzi nikitoka kazini alishereheshwa jina...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
Nimesikia kuna My number one remix ya diamond... Kaimba Yule mdogo wake akimponda. Hebu nisaidieni link nisikie kilichomo.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hemed Suleiman aka phd amefunguka kua eti yeye haringi bali ni swaga 2 na pia it seems watu wanaomdis wanamuonea wivu coz wana diploma wakati yeye anahold phd. Pia kumbe jamaa alikua anataka...
0 Reactions
39 Replies
10K Views
One of the favourite faces in Nollywood, Osita Iheme, popularly known as Pawpaw, in a recent interview cleared the air on his relationship with Goodluck Jonathan, Nigeria’s entertainment industry...
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Back
Top Bottom