Prodyuza aliyefukuzwa na wema afunguka "wema alitaka niwe kuwadi wake"...!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
BAADA ya kudaiwa kufanya ngono katika magari ya Kampuni ya Endless Fame inayoongozwa na Wema Issac Sepetu, Prodyuza, Rashid Mohammed ‘Chid Classic’ amefunguka na kusema chanzo cha yote ni mshahara na ukuwadi ndani ya kampuni hiyo wala siyo uzinzi, Amani linakujuza. Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, Chid amesema hajafukuzwa katika kampuni hiyo kama alivyodai mratibu wa kampuni hiyo, Petit Man bali ameondoka baada ya kuchoka kufanya kazi bila ya kulipwa mshahara.

“Ni uongo kusema kwamba nimenaswa nikifanya uzinzi Coco Beach nikiwa ndani ya magari ya Wema, sijawahi hata siku moja kufanya hivyo kwani nina kwangu ambako nina uwezo wa kumwingiza mwanamke wakati wowote,” alisema.

“Tangu kampuni ianzishwe haijawahi kulipa mishahara unadhani nitakuwa na moyo wa kufanya kazi, sikwenda pale kufanya ukuwadi kama wengine, tena nawaomba wasiendelee kusema uongo kwani nina mengi nayajua ya Endless Fame,” aliongeza Chid.
Baada ya kusikia maelezo hayo, Amani lilimtafuta Wema bila ya mafanikio ndipo likaongea na meneja wake, Martin Kadinda.

“Nina wasiwasi na kauli za Chid kwanza tatizo siyo mshahara na hayo masuala ya ukuwadi ni uongo na uzushi, kama ni kweli kwa nini asiongee siku zote hadi lilipoibuka hili la kunaswa akifanya uzinzi kwenye gari?” alihoji Kadinda.
ProdyuzawaWema.JPG
Prodyuza Rashid Mohammed ‘Chid Classic’.

wema2.jpg
 
Mimi suala la kutopewa mshahara wala sishangai,sasa watalipwa kwa kazi gani? Hyo kampuni haina movie hat moja,sasa sijui na huyo chid alikuwa ana direct nin pale
 
Unataka kusema kwa madam Wema mshahara hadi wakina martin lazima isome kwanza tarehe 40 ndio wacheke.Nasikia wanalipwa kwa Tigo Pesa.
 
Huyo sela aajitetea tu hana lolote la maana la kusema,,,eti kuna maovu ndani ya endless fame Director Wa Wema Sepetu Ajitetea Baada Ya Fuska - bkuHABARI

Ndiyo yapo, ila tu uwasilishwaji wake ni wa kinafik,siku zote alikuwa wapi?? May be angetangulia kuyasema yeye sawa,ila kategea wameyajua maovu yake ndo anajifanya na yeye anatak kutoa yake,kama anasema endless kuna maovu na yeye si alikuwa mmoja wao?? Sasa wote si ni wale wale
 
Tabia zao ni moja,,,kama kweli aliona kama kkuna maovu basi angefanya juu chini ili kuhakikisha ameyaanika, na wala angojee wakati ambapo ametemwa ndipo anaanza kupayuka kuwa endless fame kuna maovu... Hala lolote atakalowaambia watu kwani maji yashamwagika,,hayazoleki
 
Maskin lexus na Audi atabaki kuziona kariakoo tu zikipita, ,da kweli mule kuna maovu,si aseme tu waliyokuwa wanayafanya wote,mbona tunajua mda tu
 
Maskin lexus na Audi atabaki kuziona kariakoo tu zikipita, ,da kweli mule kuna maovu,si aseme tu waliyokuwa wanayafanya wote,mbona tunajua mda tu

hahahah...atakuwa akiziona kwa upeo wa mbali tu huyo...labda anataka maisha ya juu ambayo amejipangia
 
ilo la mishahara lisipuuzwe maana hii kampun sijui kama inazalisha chochote? ishafanya production yoyote iliyouza?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom