wasanii

  1. UKWAJU WA KITAMBO

    Ujio wa wasanii mbalimbali kutoka nje ya bongo, kuna impact yoyote imepatikana kwa wasanii wetu?

    Leo nilikuwa napenda tulizungumzie hili wadau ujio wa wasanii kutoka mataifa ya nje kuja hapa Bongo kufanya show je? Kuna impact ama faida yoyote imepatikana kwa Taifa letu nje? Ya ongezeko la mapato siku ya show hapa nazungumzia wasanii wetu je? Wamenufaika Ama hapana.. Maana kuna wimbi kubwa...
  2. M

    Harmonize ashutumiwa kuwabania Wasanii wake kufanikiwa kimuziki

    Msanii Anjella amemvulia uvivu boss wake wa zamani Harmonize baada ya kusema kuwa aliwabariki kiroho safi kwenda kutafuta Rizki sehemu nyingine. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) Anjella Amedai kuwa Harmonize ndio mtu anaeongoza kuwabania Rizki zao huku akisema anaweza kuweka hadi...
  3. M

    Harmonize ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake

    Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang. Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, "Nimekaa hapa...
  4. UKWAJU WA KITAMBO

    Elimu kwa wasanii wa Bongo

    ELIMU KWA WASANII WA BONGO Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere aliwahi kusema kipindi cha harakati ya kugombania uhuru kuwa elimu ndio ufunguo na msingi wa kila kitu. Nukuu ya Mwalimu ilisema, "Hakika vita vya sasa sio vya mashoka wala upindi na mshale... Msishangae ndugu zangu, najua mnajiuliza...
  5. U

    Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  6. UKWAJU WA KITAMBO

    Vyama vya wasanii na uelewa mfinyu wa wasanii juu ya haki zao

    VYAMA VYA WASANII NA UELEWA MFINYU WA WASANII JUU YA HAKI ZAO. _______________________ Katika kitendawili kinachoendelea katika tasnia ya muziki na filamu ni swala la vyama vya wasanii, Pamoja utambuzi ama uelewa Mdogo wa Haki zao kama wasanii. Kuna aina nyingi ya vyama, vya kitaaluma kama...
  7. Mshuza2

    Hawa wasanii wetu wanawezaje ku share wanawake?

    Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa.. Mifano ni mingi,unakuta kuna slay queen anajulika kabisa analiwa na fulani lakini ghafla mwingine naye anabeba hawana...
  8. M

    Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  9. M

    Chino alalamika kubaguliwa na Wasanii wenzake

    Msanii anaefanya vizuri kwenye mziki wa Amapiano nchini Chino Kidd, amelalamika kukosa ushirikiano toka kwa wasanii wenzake kwenye Tamasha lake la Wanaman Experience. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory), Chino amesema kuna baadhi ya wasanii wenzake wamemnyima ushirikiano kuelekea...
  10. M

    Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza Mashabiki wengi kwenye Matamasha yao

    Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao. HII NDIO ORODHA YENYEWE! 1. Ferre Gola Aliingiza Watu 150,000 Show yake ilifanyika DRC Congo Mwaka 2023. 2...
  11. Mhafidhina07

    Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  12. Suzy Elias

    Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
  13. blogger

    Kuna Wasanii wapo Tanzania ila huwajui hadi uwasikie Radioni na ni wakali sana. Mmoja wao ni huyu...

    Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam.. Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa . Kweli game ngumu.
  14. Allen Kilewella

    Nani huchukua mirabaha ya wasanii waliofariki?

    Punde nilikuwa nasikiliza Wimbo wa Sam Wa ukweli uitwao "Sina Raha" kama njia ya utafiti niliokuwa nafanya. Kwenye "YouTube" wote waliouweka Wimbo huo, kulikuwa na matangazo mbalimbali kwenye channel hizo za YouTube. Likanijia wazo kuwa wasanii waliokufa kazi zao zinapotumiwa na watu...
  15. Mhaya

    Wasanii wa Nchini Ghana 🇬🇭waja juu na kutaka Nchi yao ipige mziki ya Ghana pekee

    Katika kikao kilichofanyika huko Jijini Accra, Nchini Ghana, kilichoandaliwa na wasanii wa Afro beat kutokea Nchini gani, kimezua taharuki baada ya wasanii hao kuchachamaa na kutaka Sehemu zote za burudani na maeneo ya Starehe pomoja na vituo vya burudani vya TV na Radio vipige mziki wa Ghana...
  16. Hismastersvoice

    Serikali ipige marufuku watoto wadogo kushirikishwa kwenye majukwaa ya wasanii

    Leo huko Kigamboni Dar es Salaam lilikuwepo tamasha la muziki, moja ya mambo ambayo hayakubaliki ni utesaji wa watoto wadogo akiwemo huyu pichani mwenye umri chini ya miaka kumi! Mtoto huyu amewekwa kwenye jukwaa linalopiga muziki wenye sauti ya zaidi ya wati 20,000! Masikio ya mtoto huyu...
  17. B

    Mahakama ya Mbeya yafuta Kesi dhidi ya Wasanii Bi. Sifa Boniventura na wenzake

    15 December 2023 Mbeya, Tanzania WIMBO MNATUONA MANYANI Hii ni baada ya jamhuri kuamua kutoendelea na kesi hii iliyovuta umma mpana kuijadili huku ikiituhumu serikali kubana uhuru wa kujieleza. Wasanii waimbaji Sifa Boniventura Bujune, Salome Mwampeta na Hezekiel Miliyashi walifunguliwa...
  18. Expensive life

    D voice ndio msanii aliyefeli kuliko wasanii wote waliowahi kutambulishwa na WCB

    Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini. Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...
Back
Top Bottom