mikutano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Kwa hali inayoendelea sasa nchini wananchi wanaenda kwenye mikutano ya kisiasa kusikiliza sera au kuangalia Wasanii?

    Habari zenu Wakuu, Kwa hizi siasa zinavyoendelea nchini sidhani kama raia wanaojaa kwenye mikutano ya kiasiasa wanakuwa wanaenda kweli kusikiliza sera, hasa wale wanaojaza wasanii kibao utafikiri wanafanya tamasha. Kila mtu sasa hivi ni chawa, viongozi ni chawa ili kubakia kwenye nafasi zao...
  2. Carlos The Jackal

    Baada ya kugundua kua Hawatajaza watu mikutanoni, na Wasanii wako bize, Nchimbi, Makala na Timu yake wajikita kwenye Mikutano ya Ndani ya CHAMA!!.

    Hii ni kuhofia aibu ambayo ingewapata, ndioo, Wamejua kwamba hawatajaza watu, wanajua hawakubaliki, hawana ushawishi, Sasa wamekuja na GIA ya kufanya Ziara za Mikutano ya Ndani tuu, yaan kwenye Viukumbi vyenye kubeba wanachama tu na sio Raia ,tena wanachama wapatao 100 !!. Hofu yao ni kuona...
  3. Suley2019

    Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) akichukua nafasi ya Ephraim Mafuru ambaye siku tatu zilizopita aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Kabla ya...
  4. L

    Mikutano miwili ya China yaendeleza desturi za uwakilishi na utulivu

    Kipindi cha mikutano miwili ya China, yaani mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China iliyomalizika hivi karibuni, ni kipindi muhimu zaidi kisiasa kwa China, kwani katika kipindi hili, kwanza demokrasia ya China huwa inapimwa na kukaguliwa, na pili...
  5. Yoyo Zhou

    Mwanahabari azungumzia ripoti kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing

    Mwanahabari Abubarkar Harith toka Kituo cha televisheni cha Zanzibar anatuletea ripoti ifuatayo kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing. https://www.facebook.com/watch/?v=430890095997725
  6. Revolution

    Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
  7. Execute

    Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
  8. M

    Madiwani walalamika uhaba wa Viti (Wanakaa Chini)

    Madiwani wa Halmashauri ya Tanganyika mkoani Katavi, wamelalamika kukosekana kwa meza na viti katika ukumbi wa mikutano na ofisi ya Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo na kupelekea madiwani hao kukaa chini wafikapo katika ofisi hiyo huku wakidai kushindwa kuandika kumbukumbu pindi wakiwa katika vikao...
  9. mwanamwana

    Vyama vya siasa vijiongeze kwa kuajiri wataalam ya lugha ya ishara wanapofanya mikutano yao

    Vyama vya Siasa nchini vinatakiwa kuweka mazingira wezeshi yatakayowasaidia watu wenye changamoto ya kusikia na kuongea ili kutimiza haki yao Kikatiba ya kushiriki katika mchakato mzima wa kushiriki uchaguzi bila kuwepo kwa vikwazo. Kutokuwepo kwa mazingira rafiki kwa kundi hili maalum...
  10. Suzy Elias

    Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
  11. Leak

    Makonda: Nimechoka kufanya mikutano peke yangu! Watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi?

    Katibu wa itikadi na Uenezi CCM bwana Paul Makonda amesema tangu ameanza kufanya mikutano ya kisiasa na kwenda kwa wananchi hawaoni watoa taarifa wakifanya mikutano! Anasema amechoka kufanya mikutano peke yake anauliza eti watoa taarifa wanafanyia mikutano wapi? Mbona wanamuacha anatamba peke...
  12. Mr Dudumizi

    Picha: Rais Samia atumia sayansi kuzuia mikutano ya wapinzani

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakati Rais wa awamu ya tano mheshimiwa John P. Magufuli anaingia madarakani, miongoni mwa vitu vya kwanza kabisa alivyovifanya katika uongozi wake ni kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa akiamini kwamba mikutano hiyo ilichangia uzorotaji wa kuleta maendeleo...
  13. Mr Dudumizi

    Ni juhudi gani zifanyike, ili kumzuia Makonda asiendelee kumdhalilisha Mwenyekiti Mbowe kupitia mikutano ya kisiasa?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hakika kuna mambo ambayo yanaendelea katika faifa letu. Mambo ambayo yanadhalilisha, yanaumiza na kumvunjia heshima mtu ambae alikuwa anaonekana ana hadhi ya juu kichama, na kisiasa. Kwa vile huyu anaedhalilishwa na kuvunjiwa heshima hana uwezo, wala ujanja wa...
  14. econonist

    Viongozi wetu wajifunze dhima za mikutano

    Nimeshangazwa na Viongozi wetu kutojua dhima ya mkutano au kusudio la mkutano wanaoshiriki. Mfano mzuri ni mkutano wa Leo pale Manyara Babati kwenye uwanja wa Tanzanite. Dhima kubwa ya mkutano ule au tuseme sherehe ile ilikuwa kumuenzi baba wa taifa, ila Viongozi wetu walikuwa tofauti na dhima...
  15. M

    Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  16. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro: Mikutano ya Kimataifa Inayofanyika Nchini ni Fursa Kukuza Kiswahili

    WAZIRI DKT. NDUMBARO: MIKUTANO YA KIMATAIFA INAYOFANYIKA NCHINI NI FURSA YA KUTANGAZA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema mikutano ya Kimataifa inayofanyika hapa nchini ni fursa ya kutangaza lugha adhimu ya Kiswahili ambayo ni mojawapo ya Lugha Rasmi...
  17. R

    Nini kifanyike wananchi waanze kutokeza kwenye mikutano ya viongozi wa CCM na serikali wakiwemo mawaziri?

    Tumeona Naibu Waziri Mkuu amerejea nyumbani lakini kinyume na matarajio wananchi wamegoma kumpokea kwa kiwango kilichokusudiwa. Juzi waziri wa fedha na timu ya mawaziri kadhaa imetunga mbeya lakini wananchi wamegoma kujitokeza kwenye mikutano waliyofanya. Katibu mkuu mdogo wetu Chongoro...
  18. Elli

    CCM "wakome" kutumia Magari ya Wafadhili kwenye Mikutano Yao!

    Jana nilipiga Maeneo ya Lusahunga, Nyakahura na Nyakanazi kwenye kutafuta mkate wa Kila SIKU. Kwa bahati mbaya sana nimekutana na "Ujinga" wa Karne wa CCM kutumia Magari yalitoyotelewa Kwa msaada Kwa miradi mahususi (DFPA) kwenye mkutano wao. This is unacceptable na ujinga wa hali ya juu...
  19. D

    Mikutano ya hadhara sio fursa wala zawadi, Rais Samia lijue hili

    Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika". Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
Back
Top Bottom