Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
"...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI SITUMII WASANII KUJA KWENYE MIKUTANO YANGU."

Makonda.
 
Back
Top Bottom