wanajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Ali Kamwe katoa Meseji kwa wana Simba SC kuwa Yanga SC wanajua ni wapo wanapoiwezea na Kuifunga kila mara na watakavyo

    "Kiukweli kama kuna Kitu ambacho nawapongeza wana Simba SC ni kuwa na Viongozi wazuri na Mimi nawaomba chonde chonde wala Wasiwabadilishe kwani hawa hawa Viongozi wao wataifikisha Simba SC katika nchi ya Ahadi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: East Africa Radio Ukiwa Mpumbavu...
  2. Wadiz

    Kuna wanawake wanajua mapenzi utadhani ni majini mahaba

    Aisee nimekutana na mwanamke anajua kupita kiasi nimepiga mayowe nyumba nzima wameshtuka, na mimi huwa nikiwa napiga shoo siwezi kujibana sauti. Bora lawana kuliko kujibana sauti naongea nasifia, natukana, najiapiza mwenzenu nina mapenzi mlipuko, Kila style nimezidiwa mimi, alivoikalia mbao...
  3. sinaham

    Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

    Picha inasomeka na inaelezea Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu. Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi yake. Ni sawa konde alivyosepa. Kuna inhuman ilifanyika, yalikuwa makosa ya mond na crew yake. Monde...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake wanajua ni muda gani sahihi wa kumshinda Mwanaume

    WANAWAKE WANAJUA NI MUDA GANI SAHIHI WA KUMSHINDA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mwanamke yeyote anayejifanya mjuaji kikawaida huwa na akili ndogo. Ni wengi huishia kwenye kushindwa vita nyingi kwa sababu ya upeo mdogo. Kwa sisi Watibeli, tunajua moja ya mbinu za Watu Smart hasa...
  5. D

    Kwanini watu ambao hawajui chochote ndo hujiona wanajua. Au mtu mdhaifu siku zote haoni udhaifu wake?

    Natoa mfano Magufuli ambaye kiukweli kabisa alikuwa mweupe kiungozi, kiakili na kimaadili. Lakini Cha ajabu ndo alikuwa anajisema sema eti watu wengine hawafai wakati yeye ndo hafai. Nakumbuka Kuna wakati alikuwa natolea ufafanuzi wa CAG, akasema eti kama huwezi kumfukuza uliyemteua basi hufai...
  6. sanalii

    Usiombe ukachukiwa na mwanamke, utajuta, wanawake wanajua kuchukia

    Ikitokea mwanake akawa hakukubali na akaamua kukuchukia eeeh hatari sana. Bora ugombane na mwanaume ila sio mwanake, wanakuchukia hadi kwelikweli hawabakishi
  7. M

    Master Jay: Wasanii wa Kenya wanajua kuimba kuliko wasanii wa Tanzania

    Producer mkali kuwahi kutokea na Jaji wa mashindano ya kuimba Tanzania Master Jay, amesema kuwa wasanii wa Tanzania ni waburudishaji na sio waimbaji wazuri kama wasanii wa nchini Kenya. Akiwa anafanya mahojiano na East Africa Radio Master Jay amesema, “Kitu ninachojivunia ni kwamba...
  8. The Burning Spear

    CCM Wanajua kuigiza zaidi ya bongo movie, muone huyu

    Check haya maigizo..MTU anatafuta kula 2025. Hatuwezi kuendelea Hadi yesu anarudi.
  9. Expensive life

    Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

    Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋
  10. GoldDhahabu

    Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

    Siku chache zilizopita, nilimtembelea mkulima mmoja wa matunda nchini Kenya. Taswira ya shambani kwake ilinipa ujumbe kuwa ni mkulima mwenye mafanikio mazuri. Japo hana na eneo kubwa sana, analitumia kikamilifu eneo lililopo. Sidhani kama shamba lake lote linazidi ekari tano! Aliniambia kuwa...
  11. Kiboko ya Jiwe

    Ni 5% tu ya Watanzania au pungufu ndio walikuwa wanajua kuwa leo ni siku ya Uhuru!

    Hello, Uzi huu haujabeba chuki au nia mbaya. Nimeweka huu uzi Ili ikiwezekana serikali irekebishe baadhi ya mambo. Watanzania wengi hawajui mambo ya kitaifa sasa. Mimi katika peruziperuzi mchana huu ndio najua kuwa leo ni Independence day. Sikukuu kubwa ya kitaifa kuliko sikukuu zote...
  12. Idugunde

    WanaCHADEMA watakuwa wamechukia wanajua Lengai Sabaya naye atarudi kwenye game. Bado wana kinyongo

    Lengai alimdhibiti Mbowe kisiasa kule Hai. WanaChadema walichukia sana . Ndio maana hata alipokuwa na kesi za mizengwe walifurahi sana. Hii nayo imewapa mashaka. 👇
  13. Replica

    Wanawake wanajua kupiga shangwe, Bahati Keneth Ndingo aapa kiapo cha uaminifu jimbo la Mbarali

    Leo bungeni, mbunge wa Mbarali ameapa kiapo cha uaminifu baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa Mbarali. Jimbo hilo liliingia kwenye uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa mbunge wake, Francis Leonard kufariki dunia Julai Mosi, 2023. Wabunge wanawake wa chama cha mapinduzi walijifunga kibwebwe na...
  14. Influenza

    Msemaji wa Serikali, Matinyi: Nitahakikisha Wananchi wanajua Serikali inafanya nini, nasi tunajua wanataka nini

    Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro amebainisha kuwa kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha Wananchi wanapataa taarifa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Watanzanzia wanajua fika wanaibiwa na hawamtakki raisa Samia ila basi tu

    Hata sakata la umeme wanajua ni mchongo tu wa kihuni. Wanajua fika huyu mama hana sauti ya kuendesha nchi Amedhibitiwa na wahuni. Watanzania wote hawamtaki na wanajua fika hafai ila basi tu.
  16. Lanlady

    Asante serikali kwa ajira, ila wanajua kutunyoosha!

    Kama mtu huna ajira ni afadhali utafute tu namna ya kujiajiri. Ajira za serikali zina changamoto zake nyingi! Fikiria mtu anaajiriwa kwa mshahara wa laki 4 kwa mwezi. Kama haitoshi mtu huyu ananyimwa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha ajira mpya ilihali gharama za maisha ziko juu kwa wote.
  17. Zanzibar-ASP

    Walianza kupotosha hotuba ya Dkt. Slaa, na sasa wanapotosha hotuba ya Askofu Shoo, watawala wanajua nini kitafuata?

    Mara ya kwanza Dkt. Slaa akitoa maoni yake rasmi kuhusu sakata la bandari za Tanganyika kupewa waarabu wa DP world, aliweka wazi msimamo wake kuupinga mkataba ule. Jambo la ajabu ni kuwa vyombo rasmi vya habari hapa Tanzania (hususani magazeti) yakaja na upotoshaji mkubwa huku yakitengeneza...
  18. R

    Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  19. Stroke

    Boda boda wanajua kuaibisha sana

    Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia. Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana. Mjiongeze jamani.
Back
Top Bottom