Harmonize ashutumiwa kuwabania Wasanii wake kufanikiwa kimuziki

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Msanii Anjella amemvulia uvivu boss wake wa zamani Harmonize baada ya kusema kuwa aliwabariki kiroho safi kwenda kutafuta Rizki sehemu nyingine.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) Anjella Amedai kuwa Harmonize ndio mtu anaeongoza kuwabania Rizki zao huku akisema anaweza kuweka hadi ushahidi.

Screenshot_20240224-190137.jpg
 
Harmonize hii ya kuwa na label angeachana nayo, he is good angeconcetrate na muziki wake tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom