Twende nami taratibu.
Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎
1. Oprah Winfrey
Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi.
Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa.
Huyu...
Wanamichezo wa China wamefanya vizuri katika michezo ya 19 ya Asia iliyomalizika hivi karibuni mjini Hangzhou. Kama ilivyo kwenye michezo mingi ya namna hiyo, wanamichezo wa China wameendelea kuonyesha maajabu kwa kupata mafanikio makubwa huku wakijishindia medali nyingi za dhahabu. Lakini mbali...
Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye.
Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
MICHEZO ni mazoezi yahusuyo mwili, ambayo huhusisha ushindani ndani yake.
Ushindani huo hua na taratibu na kanuni kutokana na jamii au mchezo husika.
Kumbuka:michezo ni ajira
Michezo ni afya pia huweza kuondoa msongo wa mawazo.
Kuna wachezaj mbali mbali walio jiajili na wana...
"Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
Wanamichezo Rudini na Ushindi: Yakubu
Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu Bw. Saidi Yakubu amewaaga wanamichezo wa Wizara hiyo ambao wanakwenda kwenye Michezo ya Shirikisho la Michezo ya Wizara, Wakala, Idara za Serikali na Mikoa (SHIMIWI)...
"SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA"
ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA.
Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...
Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji.
ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji.
Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi.
Hebu...
Leo ilikuwa kilele Cha siku ya mwananchi, kiukweli ukiangalia namna mabango yalivyokuwa yamepambwa na picha za mh Rais wetu kipenzi mama Samia Suluhu Hassan na namna yalivyokuwa yanaleta shangwe, unagundua kuwa mama Samia anaishi katika mioyo ya watanzania walio wengi sana nikiwemo Mimi ambaye...
Karne ya 21 tumeshuhudia mengi Sana kwenye michezo,ya kutia aibu mfano kukosekana kwa disc lenye wimbo wa taifa ndani ya uwanja wataifa Hadi yale ya kubadilisha muda wa mchezo bila timu shiriki kupewa muda.
Pia Kuna mengi mazuri ya kujivunia ndani ya miaka hii 22 ya Karne ya 21.
Wafuatao ni...
Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha.
===
Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco
WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
Mwanamichezo wa Kwanza kaamua Kuitangaza Tanzania katika Shati lake Kubwa, zuri na lililobuniwa vyema kwa Kuandika Maandishi makubwa ya VISIT TANZANIA.
Mwanamichezo wa Pili kwa Akili zake anazozijua Yeye kaamua Kumuiga wa Kwanza kwa Kuandika mkononi mwa Shati lake Baya na Bovu ( tena kwa...
Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
Marehemu mzee Morris Nyunyusa
Nina jambo moja ambalo huwa linanitatiza kidogo. Majina ya viongozi wa kisiasa ndiyo yametanda kila kona ya nchi yetu. Kuanzia majengo, mitaa, barabara, taasisi za elimu na nyinginezo. Hili sina shida nalo na wala sina dhamira ya kulifanya kuwa shida akilini mwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.