Harmonize ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Msanii Harmonize ameamua ku-sign wasanii wengine wawili kwenye lebo yake ya Konde Gang baada ya kutemana na wasanii Killy, Cheed, Country boy na Anjella ambao walijitoa kwenye lebo yake ya Konde Gang.

Ameandika msanii Harmonize kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii,

"Nimekaa hapa nawatazama wale waliofanikiwa kuwatia ujinga wasanii wengine ambao walikuwa Konde Gang na kuwaaminisha watafanikiwa zaidii hata mimi wakati mwingine ilinibidi niamini hivyo ndio maana kwa Moyo mkunjufu nilizibariki safari zaoo!!!."

"Ila chakusikitisha IMEKUWA SIVYO NDIVYO !! Busara unyenyekevu, Uvumilivu, Nibaadhi ya vitu vinamfanya CHINGA Awe Hapa Leo!!!! PROUD OF YOU BROTHER ushauri wako naufanyia kaziii ingawa nilikaribia kukata tamaa kabisa kuwa support wasanii wengine Ila MANENO YAKO YAMENIPA NGUVU UPYA!!!! 2 MEMBERS Konde Gang HUU MWAKA !!! 2024". - Harmonize

Screenshot_20240224-151517.jpg


Mjanja M1 ✍️
 
Jamaa always lazima atoe lawama na vijembe, anafikiri saa zote watu wanamuwaza kama Dunia inamzunguka yeye tu.
Negativity sana sio poa, sijui kwa vile kakulia kijijini.
 
Back
Top Bottom