wcb

  1. S

    Cheki machawa wa Diamond walivyo"mnyali" Harmonize siku ya kwanza alipofika WCB.

    Machawa siyo watu jamani. Hapa Diamond angetia neno tu Harmonize angerudi Mtwara kubangua korosho.
  2. Expensive life

    D voice ndio msanii aliyefeli kuliko wasanii wote waliowahi kutambulishwa na WCB

    Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini. Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...
  3. Zombie S2KIZZY

    Kijana mpya ndani ya WCB Wasafi

    Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake kwahiyo itumie vizuri nafasi hii mdogo wangu 👏 Wanajamii support kipaji kipya hiki. #SwahiliKid #WCB4LIFE
  4. Dvoice_Ginnii

    WCB Wasafi

    #SwahiliKid Album Available To All Digital Platforms Stream, Download & Share To The One's You ❤️.
  5. I am Groot

    RASMI: WCB wasafi wamtambulisha msanii wao mpya; D VOICE

    Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE. D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini...
  6. Kingsmann

    Madansa 3 wa Diamond Platnumz wazamia Marekani kwa Visa za WCB

    Madansa 3 wa Diamond Platnumz (Hbaajuni, Emma Platnumz na Rama Tosser) wamezamia Marekani kinyemela kwa kutumia Visa za WCB. Inasemekana mara ya mwisho Diamond Platnumz alivyoenda Marekani aliwakatia Visa za mwaka mmoja mmoja, walivyomaliza kazi na kurudi bongo wakakata ticket za kurudi...
  7. Hance Mtanashati

    D Voice amebakisha siku chache kutambulishwa WCB, dogo ameshaula tayari

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya msanii wa singeli kutokea Temeke ukipenda muite London boy D voice jinii inakaribia kutimia siku chache zijazo. Msanii D voice yupo wasafi muda mrefu sana, kula yake, vaa yake mpaka sehemu anapoishi yote ipo chini ya wasafi. D...
  8. sinza pazuri

    WCB Wasafi wanaenda kumtambulisha msanii mpya November 2023

    Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba. Let's count God bless WCB
  9. Krikichino

    Hii tabia ya mashabiki wa WCB inanikera sana

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao. We all know kwamba Diamond huwa anaiba na kusample ngoma za watu wengine. Sasa watu wakimchana Diamond ukweli mashabiki...
  10. Hance Mtanashati

    Huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB)

    Nadhani huu ni muda muafaka sasa wa kubadili jina la Wasafi Classic Baby (WCB) ibaki tu Wasafi Classic au Wasafi Classic Family. Kwa ukubwa alionao Diamond Platnumz kimuziki na kimafanikio sidhani kama ni sahihi yeye kuendelea kutumia neno "Baby" kama swagga fulani hizi za kinyamwezi . Hilo...
  11. Slowly

    WCB bado wana nguvu sana kwenye muziki wa Bongo Flava

    Inafkirisha na kushangaza Sana, tumeshuhudia mara nyingi Clouds FM, Efm na wengineo wengi mpak waandaaji wa tuzo za mziki tz wakiweka rank zao za wasanii Bora kuanzia top 10, top 20 etc. Watu wamekuwa hawajali kuhusu hzo rank , hata WCB wenyewe wamekuwa wako kimya kabisa, mara nyingi harmonize...
  12. mgt software

    Zuchu wa WCB ashukiwa kibabe na wanamizengo alimtuhumu Ustadh Kumdhalilisha huku akikumbushwa Mamayake kudhalilisha wakina mama

    Ikiwa ni saa chache baada ya Zuchu kupitia page yake ya Facebook aliwaeleza washabiki wake malalamiko zidi ya kudhalilishwa na ustadh Jumaa yeye na familia yake kuhusu kuruhusu kila wakati kushikwa nyeti na diamond pia kuvaa vichupi kinyume na maadili ya dini yake ya kiislam. Washakunaku...
  13. crankshaft

    Mtazamo wangu: Jinsi wasanii wa WCB wanavyoweza kunufaika na kazi zao

    Wcb wasafi ndio lebo namba moja afrika mashariki na kati hivi sasa lakini wasanii wake ni masikini kwa sababu kikubwa katika wanachotengeza kinaishia kwa mameneja na kidogo kwao. Nimewahi kumsikia mkubwa fela pale wasafi fm alisema analipwa milion 40 kwa mwezi na mond ukiweka mbali mgao kutoka...
  14. Frumence M Kyauke

    Uamuzi wa Rayvany kuondoka WCB utampelekea kupata anguko kubwa katika mafanikio yake.

    UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE: Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii mchanga. Dhumuni la Rayvany kuondoka WCB pengine ni yeye kupata mafanikio makubwa kuliko yale aliyokuwa...
  15. MamaSamia2025

    WCB wako sahihi kuweka miaka 10 kwenye mikataba yao. Ni michache kwa uwekezaji wanaoufanya

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo nami nimeona nitie neno kwenye hili suala linaloendelea mitandaoni na nje ya mitandao kuhusu mikataba ya wanamuziki kwenye label ya WCB. Hii itasaidia watu wengine wasio na akili nyingi kama mimi kuelewa hili jambo. Maneno ya upotoshaji yamekuwa...
  16. sinza pazuri

    WCB Wasafi kusaini wasanii wapya wawili, mashahidi wao watatoka BASATA na COSOTA

    Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa. Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao. Kwa sasa kupata nafasi WCB Wasafi linakuwa ni jambo la kitaifa. WCB for life baby! === Alichoandika Babu Tale.... Hivi karibuni...
  17. sky soldier

    Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  18. Nyendo

    Rayvanny aaga rasmi WCB- Wasafi, ashukuru kwa fursa aliyopewa ya kuwa mwanafamilia wa Wasafi

    Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa kwanza kupanda katika majukwaa makubwa Duniani. Amesema kuwa anamshukuru Diamond kwa kumpa nafasi...
  19. Expensive life

    Harmonize kweli wewe ni kiboko ya WCB

    Huyu mwamba kipindi anajitoa WCB yaliongeleka mengi sana kuwa Hana muda atapotea. WCB walikuwa wanajiona wao ndio baba wa muziki hapa Tz hivyo ukiwa kinyume nao safari yako kimuziki itaisha. Hawa jamaa si watu wazuri kabisa kwanza hawapendi ushindani wanapenda wao tu ndio wafanikiwe huu ujinga...
  20. B

    Kama shabiki wa Wasafi, WCB, ikiwapendeza mumsaini HIDDEN

    Jamaa anajitahidi kufikiria wakati wa kutunga, ana Melody nzuri. Atawafaa sana
Back
Top Bottom