ukosefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bull Bucka

    Mamlaka Iringa shughulikieni ukosefu wa miundombinu ya vyoo Soko la Machinga

    Wafanyabiashara katika Soko la Machinga, lililopo kata ya Mlandege, mkoani Iringa, wanakabiliana na changamoto kubwa ya kukosa miundombinu ya vyoo. Hali hii inawalazimu kutumia eneo la nyuma ya soko, ambalo ni la makaburi, kama sehemu ya kujisaidia. Hii ni hali ya hatari kwa afya, kwani eneo...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Oilver Semguruka Atatua Tatizo la Ukosefu wa Maji Shuleni

    MHESHIMIWA OLIVER ATATUA TATIZO LA UKOSEFU WA MAJI SHULENI 🏷️Leo Tar 22 September, 2023 Mhe Oliver Daniel Semuguruka (Mbunge Viti maalum Mkoa wa Kagera) alikuwa Mgeni rasmi katika mahafali ya shule ya Msingi Mgeza Mseto Bukoba Mjini, ambayo shule hiyo ni ya watoto wenye MAHITAJI MAALUMU. 🏷️...
  3. B

    Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

    Salam wadau Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado. Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili 1. Kufungua akaunti ya dola...
  4. Kabende Msakila

    Ukosefu wa mafuta nchini - Serikali ilaumiwe?

    SALAAM! Hapa niko Kakonko - Kigoma kusema kweli ukosefu wa mafuta umekwamisha shughuli nyingi za kijamii na kiuchumi. Nachotaka kufahamu ukosefu wa mafuta nchini Serikali ndiyo ilaumiwe? Wabobevu wa Masuala ya nishati mnashauri kipi ili kurejesha matumaini ya kuporomoka kwa sekta ya...
  5. B

    Serikali isiwachekee wanaohujumu juhudi za usambazaji wa mafuta

    Salaam wanabodi, Ndiyo, kumekuwako ukosefu wa mafuta katika baadhi ya vituo vya kuuzia mafuta nchini, ukifika hapo unaambiwa petrol imekwisha. Mtazamo wangu ni kuwa hawa wafanya biashara aidha wanakuwa wakisubiri bei kupanda au wanatengeneza uhitaji wa ziada kwa sababu wanazuia usambazaji na...
  6. Mwande na Mndewa

    Ukosefu wa dola na kupanda kwa mafuta kunaenda kuathiri maisha ya Mtanzania

    Hitaji la juu la sarafu ya dola na kushuka kwa hitaji la sarafu ya shilingi inatupa picha ya kushuka kwa thamani ya shilingi,kushuka kwa thamani ya shilingi ya Tanzania kiuhalisia kunaongeza gharama za uagizaji bidhaa na kwa mtaani kunaongeza gharama za maisha katika mitaa ya Tanzania, kiujumla...
  7. mjandwasafi

    SoC03 Ukosefu wa vyoo wezeshi: Kizuizi kwa elimu ya wanafunzi wenye ulemavu

    Uwepo wa vyoo bora ni muhimu sana katika shule ili kuhakikisha mazingira salama na afya kwa Wanafunzi ili kuwezesha suala la ufundishaji na ujifunzaji. Hata hivyo katika shule jumuishi changamoto hujitokeza linapokuja suala la vyoo kwa Wanafunzi wenye ulemavu na wenye mahitaji maalumu. Suala...
  8. C

    SoC03 Madhara ya Kukosekana kwa Viwango: Uchambuzi wa Kina juu ya Jinsi Sekta ya Kilimo Inavyoathiriwa na Ukosefu wa Ubora na Ushindani

    Utangulizi Kilimo na uzalishaji wa bidhaa za mifugo ni sehemu muhimu ya uchumi wa Tanzania, ikiwapatia kipato watu wengi na kuchangia kwa kiasi kikubwa kwenye Pato la Taifa. Hata hivyo, kutokuwa na viwango madhubuti vinavyosimamia sekta hii kumekuwa na changamoto nyingi ambazo zinazuia uwezo wa...
  9. T

    SoC03 Mfumo tiba ukosefu wa ajira nchini

    Ajira ni kazi au shughuli ambayo mtu anafanya kila siku na kujipatia kipato kwa ajili ya kujikimu na kufanya maendeleo binafsi na nchi kwa ujumla. Mazingira wezeshi ya upatikanaji wa elimu (elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi sekondari), elimu ya kati vyuo vya kati na elimu ya juu (serikali...
  10. Mammamia23

    SoC03 Mabadiliko ya mifumo ya elimu katika kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira

    Ukosefu wa ajira umekua ni changamoto kubwa Katika nchi ya Tanzania na nchi nyingine nyingi duniani. Changamoto hii Kwa kiasi kikubwa imechangiwa Kwa kiasi kikubwa na mifumo mibovu ya elimu Katika nchi yetu ambayo haikidhi vigezo vinavyohitajika kwenye soko la ajira na Dunia inayokuwa Kwa kasi...
  11. D

    SoC03 Ukosefu wa ajira

    UKOSEFU WA AJIRA "Tunateseka kupita kiasi Africa, Tusaidieni, Tunamatatizo Africa. Tumepoteza haki zetu kama watoto. Tuna Vita na maradhi, hatuna chakula dah! tunahitaji Elim na tunaomba mtusaidie kupata elim ili nasi huku tuwe kama ninyi." Ni ujumbe unao patikana katika miili ya Yoguine na...
  12. Wadiz

    Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

    Habarini nyote. Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho. Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
  13. 2013

    Ukosefu wa taaluma katika vyombo vya habari vya dini

    Vipindi vingi vya Dini hususani vya Kikristo katika radio mbalimbali nchini vinaendeshwa na watangazaji ama wasemaji wasioweza kuzungumza lugha fasaha ya kiswahili. Inaonyesha hata wanao wasaili hawajui kama hawajui kiswahili Sanifu. Mfano, Unakuta mtangazani anatakiwa aseme Roho Mtakatifu...
  14. The Festival

    Namna Serikali inapaswa kupambana na changamoto ya ukosefu wa ajira nchini

    Ni matumaini yangu kwamba sote tuko poa. Kwa wale ambao wana changoto tunawaombea kwa Mola Mkuu awatatulie shida zao. Moja kwa moja kwenye jambo husika. Kupata job serikalini sio shughuli ndogo. Mbaya zaidi hilo ndio kimbilio na tumaini kwa vijana wengi. Pitia jukwaa la ajira na tenda utapata...
  15. O

    Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  16. M

    Ukosefu wa ajira na umasikini unasababishwa na viongozi wa serikali wasio kuwa na maono

    Bila shaka mu wazima kabisa. Leo katika mizunguko yangu ya kusaka tonge,, nimepita barabara ya g/mboto... Nimeona wameanza Ujenzi wa barabara na vituo vya magari ya mwendo kasi,, wakati gari imesimama kwenye foleni nimetafakari mengi sana... 1. Nimeona wakandarasi wa kichina, hivi kwanini...
  17. Avith almachius

    Matatizo yanayotokana ukosefu wa lishe bora kwa mtoto kipindi akiwa Tumboni na baada ya kuzaliwa

    Jamii nyingi za Kiafrika zinasumbuliwa na tatizo ugonjwa wa akili kwasabab nyingi moja ikiwemo. 1. Ukosefu wa lishe bora: Ambapo watoto wanakosa lishe wakina ndani na nje baada ya kuzaliwa ambapo inapelekea kuwepo na changamoto nyingi zinazosababishwa na matatizo ya kukosekana kwa Afya ya Akili...
  18. Mganguzi

    Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  19. Rwaz

    S10 android 12 na ukosefu wa quick data button

    Amani na iwe kwetu wote. Nashukuru jukwaa la tech ndo huwa hawana bla bla nimesaidika sana. Sasa nina samsung s10 ina android 12. AT &T Tatizo lake sasa linaloninyima raha ni kutokuwepo button ya data kwenye quick panel. Nalazmika kuzunguka wenye setting kuzima na kuwasha data. Unaona...
  20. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu yaliyo Jijini Dar es salaam , miji ya Kibaha na Bagamoyo Mkoani pwani. DAWASCO inapokea maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki kwa haraka zaidi...
Back
Top Bottom