Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.
Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa...
Source: TBC Television.
Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.
Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa...
Nina miaka 12 kwenye ndoa na Masoud Kipanya na nina watoto saba, lakini pamoja na wake wenzangu watatu jumla tuna watoto 15" amesema Neema Kipanya, mke wa mtangazaji maarufu wa redio Masoud Kipanya wakati akielezea masuala ya uzazi katika kipindi cha Sasambu cha TBC FM.
Leo Juni 19, 2023, Taasisi ya The Chanzo imeandaa tukio lilipewa jina la #TheChanzoSpecials, ambapo kunatarajiwa kuwa na mijadala mbalimbali itakayowakutanisha Wadau tofautitofauti.
Tukio hili linalenga kujadili masuala matatu muhimu, kwanza tufanye nini ili kujenga tamaduni ya uwajibikaji...
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya Viwanda.
Hivi kama watu wenye mawazo ya aini hii ndio wamepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya ukuzaji...
Tarehe 7 Machi 2023 Mchora katuni maarufu Masoud Kipanya amechora katuni mbili zinazofikirisha sana kutokana na matukio na upepo wa kisiasa hapa nchini, Masoud amechora katika ya kwanza ikionesha Joka kubwa la kijani kama linamrubuni hivi Mbwa na Mbwa anaonekana kutulia tuli aki-petiwapetiwa na...
Masoud Kipanya na James Gayo hiyo sio poa kabisa naona mnapenda kutukosea sana kwamba sisi ni wengi ila kuchukua nchi tuna nafasi finyu sana au sie tupo wengi ila walamba asali ni wengi sana.
Nitafungua mashtaka kwa James Gayo na Masoud Kipanya maana naona mnaendelea kutukosea sana.
Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?
Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa 😃 😀 😄 😁 🤣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili...
Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
Nguli wa vibonzo, ndugu Masoud Kipanya amedai tatizo kubwa la Viongozi ni ufupi na ni lazima sasa tuhitaji Viongozi warefu.
'...unakuta raia unalalamika kwa jambo fulani ajabu kwalo Kiongozi naye analalamikia hilohilo kitu ambacho kinaondoa utofauti wa Muongozwa na Kiongozi.'
'....ni muda sasa...
Kwa moyo wa dhati najivunia hiki ulichokifanya ndugu yangu. Ni mwanzo mzuri kuliko awali ya magari mengi yaliyopo sasa duniani
Ninachokiomba kwa watanzania wenzangu; ni tumuunge mkono mwenzetu ili afanikishe maono yake.
Gari la Masoud siyo kwa ajili yake binafsi. Ni kwa faida ya taifa letu na...
“Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa"
"Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa...
Nimeiona mahali katuni ya mbuzi wa Kipanya aliyekata kamba na kwahiyo anakula bila kuzingatia urefu wa kamba, nimecheka sana.
Ngoja niitafute nitupie mjionee wenyewe.
Maendeleo hayana vyama!
Navishangaa vyuo vikuu vya Tanzania hasa vyenye kutoa shahada mbalimbali za zinazohusiana na sanaa kutokuona mchango wa huyu mwamba. Masoud amekua akitoa kazi zenye kufikirisha na kutumia akili kwa miaka mingi sana. Binafsi toka nimfahamu ni zaidi ya miaka ishirini sasa.
Natoa wito kwa vyuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.