kilimo

  1. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Kilimo kwanza yenye sunroof ya diesel iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾TSH 168M Call📞+255 747 999 927 LAND CRUISER VX V8(EL) Year: 2009 LOW MILEAGE Engine: 1VD-FTV Fuel Used: DIESEL Transmission: AUTO ✨Sunroof ✨Leather Seats ✨Cruise Control ✅Clean Interior ✅Well-Maintained ✅Swap Deals Available
  2. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, kilimo cha mijini ndicho suluhisho la chakula na biashara ya baadaye?

    Katika dunia ya sasa ambapo miji inaongezeka kwa kasi na gharama za maisha zinapanda kila siku, watu wengi wameanza kugundua nguvu ya “Kilimo cha Mijini” kama njia ya kujitosheleza kwa chakula na hata kujiongezea kipato. Lakini swali kubwa ni: 👉 Inawezekana kweli kulima ukiwa mjini? 👉 Ni mazao...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa vijana wa leo (Gen Z) kuwekeza zaidi katika teknolojia na starehe kuliko kuwekeza katika kilimo na biashara?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wa kizazi cha 2000 (Gen Z) kuelekeza nguvu, muda, na rasilimali zao katika starehe na teknolojia; ikiwemo mitandao ya kijamii, gaming, mavazi, kamali(kubeti), na ajira za mtandaoni, badala ya sekta za uzalishaji kama kilimo na biashara ambazo zilikuwa uti wa...
  4. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Masomo Yanayoongoza Kuzalisha Mamilionea Duniani.Kwa Takwimu Hizi Wanangu wa Kilimo Tutatoboa kweli au Tuhame Kambi?

    My Take Kwa wale tulioko kwenye sekta ya Kilimo ,hizi takwimu zinakatisha tamaa na zinalazimisha kurudi kwenye drawing board. https://www.threads.com/@thestarkenya/post/DXZ5Ey4jQ-b?xmt=AQF0I7ra76rglfFzjxe5u6sxGi2YPqdh3zZJ9wuksUZgTpM7mQGwAQJMz-9oOcbbZfeauGA5&slof=1
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya kilimo Igula - Iringa

    Habari Machief zangu nataka kwenda kufanya kilimo mkoa wa Iringa kijiji cha Idodi - Igula so nisaidieni taarifa zozote zinazo husiana
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hivi ile project ya Kilimo ya BBT iliishia wapi?

    Nani anaweza kutupa mrejesho kuwa ule mradi wa uwekezaji kwenye Kilimo Al maarufu kama "Build Better Tomorrow -BBT" matokeo yake yamekuwa chanya au hasi Kwa kiasi gani?
  7. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Tofauti na Binadamu, Siafu pia wanajishughulisha na kilimo

    ‎kuna aina ya siafu, wale ambao unawaona wanasafiri kwa msafara huku wamebeba majani. hawa huwa hawakai tu katika makoloni makubwa, wanajishughulisha na kilimo kitu ambacho kwa muda mrefu kilidhaniwa kuwa ni sifa ya binadamu pekee. ‎ ‎Siafu wa kundi la Leafcutter ant wamekuwa wakilima fangasi...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Watanzania tupo nyuma sana kwenye kilimo cha mboga kwa mfumo wa Hydoponic tower garden

    Ukilinganisha na wenzetu wa Kenya, watanzania wengi tuko bize na kilimo cha kawaida (traditional farming), tukidhani ukubwa wa eneo ndio ukubwa wa kipato. Ukiangalia mitandaoni kwenye suala la kilimo biashara kwa ujumla wakenya wanatupiga gap kubwa sana na wao wanawekeza sana kwenye technology...
  9. E

    JamiiForums Tanzania EFTA kukusanya Sh50 bilioni kwa ajili ya wajasiriamali wa kilimo, usafirishaji

    Nicomed Bohay - EFTA Taasisi ya fedha Equity for Tanzania (EFTA) imezindua hatifungani ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha vifaa vya killimo, usafirishaji na ujenzi. Akizungumza katika uzinduzi huo leo Februari 10, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa EFTA, Nicomed Bohay amesema kuwa wamefikia hatua...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kilimo Cha maharage chenye Tija (faida)

    Kabla ya yote ni kiri wazi kuwa Elimu Haina mwisho na hata maarifa pia. Nakuja kwenu ninyi wabobevu wa kilimo Cha maharage kuomba njia Bora ya kilimo hiki. Ukizingatia mbegu, upandaji, Mbolea na madawa hata booster ni zipi nzuri? Kwenye mbegu ni mbegu Gani (zipo mbegu za hybrid kama za...
  11. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kitengo Cha Uzalishaji mazao chini ya wizara ya Kilimo

    Training, Research, Regulations and PRODUCTION. 1). Utafiti wa kilimo(TARI) 2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI) 3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA) 4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA) 5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP). Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
  12. nitazoea

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kusimamia shamba la mifugo na kilimo yupo

    Habarini wanajukwaa.... Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo. Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo...
  13. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Chokaa inaweza kuchangia kuongezeka kwa ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi

    Mdau katika jukwaa la Kilimo, Ufugaji na Uvuvi amehoji kama ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi? "Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli chokaa inachangia ubora na ufanisi wa mbolea katika kilimo cha ndizi?

    Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi vizuri na kupunguza au kuzuia mashambulizi ya baadhi ya wadudu wanaosababisha kudhoofika au kuharibika...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Changamoto lukuki zakabili biashara ya mazao ya kilimo hai Afrika Mashariki

    Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha. Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka. Lengo la itifaki...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha minazi [dwarf] nchini Kenya. Mnazi 1 matunda 200+

    ..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu mbadala ya minazi yetu ya asili ili kuongeza tija ktk kilimo cha minazi. ..fuatilia hapa chini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa kilimo mkoa wa Kilimanjaro

    Habari ,natafuta kijana mwenye elimu na uzoefu wa kilimo na ufugaji anaeishi Mkoa wa Kilimanjaro,,Shamba lipo Makanya Wilaya ya Same ,Shamba tumechimba maji na kuna kilimo cha mkonge kinaendelea tunataka kulima Mazao mengine ,mwenye interest kwa maongezi zaidi ani DM na my Whatsapp...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa China wachochea maingiliano ya kilimo na kubadili maisha ya vijijini nchini Ethiopia

    China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kati ya China na Afrika waweka mwelekeo sahihi wa kuboresha kilimo barani Afrika

    Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wakulima wa Tumbaku Kigoma yanatakiwa kutoka ndani ya wiki 2, tunaenda mwezi wa 3 hatujalipwa

    Mimi ni Mkulima wa Tumbaku katika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tangu tumemaliza mnada ni miezi miwili sasa imepita tunaelekea wa tatu lakini hadi leo wamekuwa wakisogeza mbele tarehe za malipo. Mkataba unasema malipo yafanyike ndani ya wiki mbili baada ya mnada, naomba ufikishe ujumbe huu...
Back
Top Bottom