Mfumo wetu wa elimu nchini Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika zilianzia nyakati za baada ya ukoloni. Waliotuletea elimu nia yao ilikuwa kutufanya "watumwa katika fikra zetu" kwa sababu tulikataa kuendelea kuwa watumwa katika mashamba yao.
Embu fikiria, unapoamua kuwa Daktari, Mhasibu...
Kuna kila sababu ya kupitiwa upya kwa mfumo wa elimu unaowandaa wahitimu kuingia kazini ili kuepuka makosa yanayojitokeza wakati wa maombi ya kazi na kuwaandaa kisaikolojia kujiajiri wenyewe.
Pia ushindani wa soko ajira inaweza kuwa sababu kwa baadhi yao kutumia vyeti vya kughushi kupata mpenyo...
Zaidi ya wanafunzi 2000 Ilemela Mwanza wanakaa chini
Zaidi ya wanafunzi 2000 wa shule za msingi katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wanakaa chini kutokana na shule hizo kukabiliwa na ukosefu wa madawati.
Wanafunzi 600 ni kutoka shule mbili za Kayenze na Chasubi ambao wanakaa chini kutokana...
Umoja wa Mataifa(UN) umeripoti kuwa ukosefu wa elimu huwafanya watu wengi waingie katika utumwa unaotokana na biashara ya binadamu
Wahanga wa Biashara ya binadamu wametakiwa sana ili kuonesha namna ya kukomesha biashara hiyo haramu
Aidha #COVID19 imetajwa kuwa na uwezekano wa kuongeza matukio...
UKOSEFU WA AJIRA
Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa matatizo ambayo yamekua yakijitokeza miongoni mwa vijana katika jamii ya Tanzania na Afrika.Ukosefu wa ajira umekua ukipelekea Ongezeko la ajira zisizo rasmi mfano Wizi,Kuuza madawa ya kulevya na mengineyo.Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo...
CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani.
Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo kukosa hata 30% ya lengo. Ambapo serikali haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu.
Cyril
Swali kuu litakalotuongoza ni, unapokosa ajira maana yake ni nini?
Tunaangazia jitihada kadhaa wanazoweza kuzitafanya Vijana kutatua tatizo ya kazi badala ya kusubiri ‘mfumo’ uwatafutie majibu.
Nafasi za ajira hazitoshi
Tuanze na dhana ya soko la ajira. Soko ni utaratibu wa kuuza na kununua...
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kwa sasa imekumbwa na Wingi wa vijana ambao hawana Ajira hii inatokea kwa sababu ajira zilizopo ni chache na wasomi wanao tegemea ajira wao wakiwa wengi. Hivyo tatizo la ukosefu wa ajira ndipo linapo chipukizi.
Sababu zinazo fanya kuwepo na vijana wengi...
Duniani kote ajira ni changamoto, lakini namna ya kulishughulikia ndiyo tatizo zaidi hapa kwetu Tanzania.
Kwanza Serikali imekuwa chanzo kikubwa cha tatizo hili na kupelekea kutengeneza mpaka propaganda ili ionekane imeajiri.
Suala la Serikali kudai imeongeza kiasi cha ajira kinakifikirisha...
Duniani kote tatizo la ajira kwa vijana halijawahi kutatuliwa na vijana kujiajiri maana kujiajiri ni issue ngumu. Ukiangalia tatizo la ajira linahusisha makundi makuu mawili:
1. Waajiri (Serikali na sekta binafsi)
2. Waajiriwa (Vijana na makundi mengine)
Tuache kuchanganyana kila kundi lifanye...
Sina maelezo mengi, PDF ya jamaa inajieleza zaidi.
Sijui huyu ndio Kigogo au sijui ni nani.
1/10SHIRIKA LA KAZI TANZANIA (TANZANIA LABOUR CO-OPERATION)
(Kumradhi Mama, naomba niandike kwa lugha za vijana wa mitandaoni)Mama Shikamoo!Mama, nilifurahi uliposema unataka kufungua nchi...
Habari wadau!
Jana nimefuatilia habari kwenye chombo kimoja hapa TZ kimereport upungufu wa mitungi ya oxygen katika hospital kuu za Uganda kutokana na wimbi kubwa la wagonjwa wa Uviko 19.
Je, sijuhi hapa kwetu tumejiandaaje kuwapa msaada ndugu zetu UG na sisi binafsi kujikinga na wimbi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.