madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. Papaa Mobimba

    Madhara ya Mvua Bukoba: Zaidi ya Kaya 50 kata ya Kahororo nyumba zao zajaa maji

    Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
  2. BARD AI

    Umewahi kupata Madhara gani kwa kutumia Dawa ulizopewa Hospitali

    Wadau, hebu tuelezane hapa kuhusu matumizi ya Dawa tunazopewa Hospitali. Kuna watu wamewahi pata madhara hasi baada ya kuanza kutumia dawa fulani wakitegemea kupata Tiba lakini badala yake zinapelekea Ugonjwa kuongezeka au kupata tatizo lingine zaidi
  3. D

    Shetani wa Yanga najua madhara anayoweza kuyapata kwa ahadi zake?

    Sikiliza na kutazama hapa ahadi yake kuelkea Dar es salaam Derby.
  4. Mwizukulu mgikuru

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele. Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
  5. R

    Tanzania na nchi za ukanda wa Afrika Mashariki zimejipangaje kudhibiti madhara ya ndege zisizo na rubani endapo zitapotea njia na kuja ukanda huu?

    Iran ameingia vitani na Israel kwa kurusha ndege zisizo na rubani zaidi ya 50. Pamoja na kuwa tupo mbali upo wakati vyombo na silaha za kivita ukosea target au ulazimishwa kuelekea uelekeo usio sahihi. Natambua hapo katikati kutoka Iran hadi Afrika Mashariki kuna Mataifa Mengi lakini mengi yao...
  6. Chizi Maarifa

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    Kipindi kile anatukanwa Magufuli na watu mbalimbali tulikuwa tunashangilia sana hasa sisi upande huu wa mkono wa kushoto katika mwili huu mmoja. Nilisema hatupo salama. What goes around comes around. Waliwezeshwa sana watu wadumu kila siku kumtukana Magufuli. Mimi nyuzi zangu zipo humu. Kuna...
  7. G

    Madhara ya "uchawa" sasa yameanza kudhalilisha na kuumiza

    Kama taifa tumefanya kosa kubwa sana kuruhusu na kuulea uchawa. Kwamba mtu anayesifia na kujipendekeza kwa rais anaonekana ndiye mwema na mzalendo sana kuliko yule amabaye anapongeza kimya kimya ama anayekosoa. Matokeo yake watu wengi wakaanza kuwa machawa na kuanza kushindana vikundi vya...
  8. ndege JOHN

    Nauliza kwani madhara ya pombe aina ya spirit yanatofautina kutegemea na aina ya pombe?

    Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida. Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na gin mfano tufanye smart na konyagi tofaut ni ipi katika kuumizana maana me nachojua zote ni sumu...
  9. chiembe

    Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  10. P

    Madhara/ maudhi yatokanayo na matumizi ya captopril, enalapril dawa za presha

    Captopril na enalapril ni dawa muhimu kwa watu wenye matatizo ya presha na kisukari. Maudhi:- Maudhi ya dawa hizi ni pamoja na kikohozi kikavu, ambapo mgonjwa huanza kukohoa kikohozi kisichopona au kutulizwa na dawa za kikohozi. Tiba:- Katika tiba, mgonjwa anapaswa kurudi kwa daktari wake na...
  11. we are the inner

    Soma hapa madhara ya punyeto kiroho

    📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣 HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO 🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari...
  12. N

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
  13. George Charles007

    Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?

    Wana JF ningependa tulikunjue hili jamvi pamoja ase! Kuna madhara gani ya kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mahusiano?
  14. K

    Akutwa na minyoo kwenye ubongo uliosababishwa na kula nguruwe

    Najua kuna wakereketwa na wafurukutwa,nisiongee sana ila baada ya kusoma habari hii kwenye shirika la habari la BBC,nimejiwa na mawazo mengi sana!! --- Mwanaume mmoja nchini Marekani amekutwa na mayai ya minyoo kwenye ubongo wake ambayo huenda imesababishwa na kula nyama ya nguruwe ambayo...
  15. M

    Madhara ya Vyuo Vikuu Kufundisha CERTIFICATE na DIPLOMA kwa Wanafunzi

    Habari ndugu wana JF, Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo vikuu siku hizi zinachukua watoto wanaomaliza kidato cha nne (4) wengi wao chini ya miaka ya 18...
  16. Praise_ayoub

    X(Twitter) kujinufaisha na vikundi vya kigaidi vilivyopigwa marufuku, Je mpango huu utaleta madhara chanya?

    Kundi la kampeni limemshutumu X kwa kutoa alama za bluu kwa mashirika ya kigaidi ambayo yanapaswa kuwekewa vikwazo vya Marekani. Mradi wa Tech Transparency ulisema umetambua zaidi ya akaunti kumi na mbili za X za mashirika yaliyoidhinishwa na Marekani ambayo yamepewa alama ya kulipia, ambayo...
  17. Richard

    Tujifunze neno Kleptocracy au Kleptokrasia serikali na madhara yake kwa nchi husika

    Wakuu, habari za jumapili na bila shaka kila mwana JF kaimaliza jumapili hii tukufu huku wengine wakienda kwenye ibada, sehemu za starehe, kutembelea ndugu, jamaa na marafiki kama ilivyo kwa tamaduni na desturi zetu wenyeji huandaa maakuli na vinywaji kutukaribisha sie wageni wao. Sasa basi...
  18. Mgeni wa Jiji

    Wataalamu wa afya; mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza miili, je kuna madhara kiafya?

    Salamu waungwana. Nisiwe na maneno mengi mimi nina swali hili kwa wataalamu wa afya na wizara ya afya kwa ujumla. Je, mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza joto la miili yao ni salama kwa afya? Kama sio salama kwanini wizara na wataalamu wa afya hamlizungumzii hili suala hata kutoa...
  19. Hidden Diamond

    NADHARIA Kenge akikupiga na mkia wake kuna athari anakuachia ya kufanana maisha yako na yake. Akiumwa, akikonda nawewe inakutokea

    Je, hili linalosemwa ni la kweli kwamba endapo kenge akikupiga na mkia wake kuna madhara unaweza kupata. Kwa mfano akikonda na wewe unakonda akinenepa na wewe unanenepa akifa na wewe unakufa.
  20. M

    Madhara yanayoweza kusababishwa na ulaji uliokithiri wa chill sauce

    Madhara yapi yanaweza jitokeza katika afya yatokanayo na ulaji chilli sauce kwa wingi
Back
Top Bottom