ukosefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Ukosefu wa maji mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino)

    Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha. Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala jitihada za kuleta maji.
  2. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  3. Heparin

    Dkt. Biteko: Uharibifu wa Mazingira unachangia ukosefu wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema moja ya vyanzo vinavyosababisha tatizo la umeme nchini ni ukosefu wa maji unaochangiwa na uharibifu wa mazingira. Amebainisha kuwa pamoja na uwepo wa ongezeko la watu, umeme tunaotumia unatokana na maji ambayo hupungua kutokana na...
  4. S

    Matusi, kebehi na fedheha mtandaoni zinaweza kusababisha mtu kujiua

    Unyanyasaji mtandaoni ni matumizi ya teknolojia kumdhulumu, kumtishia, kumfedhehesha, au kumnyanyasa mtu mwingine. Vitisho mtandaoni na ujumbe wa kejeli, wa kibabe, au wa kudhalilisha kwenye maandishi, twiti, machapisho, au ujumbe wote huathiri. Pia kuchapisha maelezo ya kibinafsi, picha, au...
  5. Raphael Alloyce

    Kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa vijana kunahitaji njia kamili na yenye kujitahidi kutoka kwa Serikali

    HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
  6. Jidu La Mabambasi

    Serikali ndiyo imeshtuka, ukosefu wa dola umesababishwa na Serikali yenyewe kwa kuwabeba wachina miradi mingi

    Ukosefu wa dola sasa unaathiri biashara nyingi zinazotegemea kuagiza vipuri na malighafi zinazohitajika kuagizwa nje. Kwa miaka mingi viongozi wa serikali wamekuwa wakishinda kila kiongozi kumpata "Mchina wake" kwenye miradi mingi nchini. Wachina wamekuwa wakipewa miradi hata inayoweza...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Condester na DG RUWASA, Kivegalo Wafika Chilulumo, Ivuna na Kamsamba Kutatua Changamoto ya Ukosefu wa Maji Vijijini Jimboni Momba

    MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo tarehe 09 Disemba, 2024 ameendelea na ziara akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement...
  8. Stephano Mgendanyi

    Momba: DG RUWASA Afika Jimbo la Momba Kutatua Kero ya Ukosefu wa Maji Kata ya Ndalambo na Msangano

    MOMBA: DG RUWASA AFIKA JIMBO LA MOMBA KUTATUA KERO YA UKOSEFU WA MAJI Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement Kivegalo amesema Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama nchini ni asilimia 79.7 lakini kwa Jimbo la Momba Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama ni sawa na asilimia 51...
  9. R

    Tabia ya wanaume kuvaa pens na kuzurura mitaani, ni ukosefu wa Maadili

    Salaam,Shalom!! Hizi TABIA za kuiga Kila kitu ni mbaya sana, zamani pens na vest za mikono wazi ilikuwa MARUFUKU kuonekana mzazi amevaa nje ya chumba chake, Hivi sasa mnaangalia kwenye movies na trends za kidunia na kuanza kuvaa vikaptula na kuzurura barabarani, mnaudhi sana. TABIA za ukosefu...
  10. N

    Ukosefu wa ajira unavyodunisha uripoti wa wanafunzi wa kidato cha kwanza miaka hii

    Mzazi ana watoto wawili aliowasomesha kwa tabu hadi chuo kikuu lakini wote wako nyumbani na hakuna mwenye ajira hata mmoja. Leo mzazi huyu kumpeleka mtoto sekondari tena anaona ni kumtania kabisaaa. Hiyo ndo sababu ya uripoti duni wa wanafunzi wa kidato cha kwanza; 2023 ulikuwa mkubwa lakini...
  11. Roving Journalist

    DAWASA: Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24

    TANGAZO LA DHARURA KUKOSEKANA HUDUMA YA MAJI KWA WATEJA WANAOHUDUMIWA NA TANKI LA KISARAWE 14.01.2024 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na tanki la kisarawe kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa masaa 24...
  12. S

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za...
  13. Mwizukulu mgikuru

    kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  14. Immortal Techniques

    Inflation & Unemployment: Mfumuko wa Bei na Ukosefu wa Ajira.Tanzania Wapi tunaelekea?

    Utangulizi: Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake, Tanzania ni nchi yenye watu Estd.63 Million sensa ya mwaka 2022 kati ya hao 70% wako chini ya Umri...
  15. matunduizi

    Mamlaka 05 za waumini wa kawaida kabisa zilizoporwa na watumishi

    1: UKUHANI WA KIFALME Kila muumini ni Kuhani na no mfalme chini ya mfalme mkuu Mungu Muumbaji. Kuhani kwa maana ya kazi ya kuwapatanisha wasiomjua Mungu na Mungu wao. Mfalme wa maana hamilikiwi na mtu au vitu ameubwa kumiliki huku anamilikiwa na Mungu tu. Viongozi wanabaki na heshima yao ya...
  16. K

    Ukosefu wa nishati ya umeme

    Tuliaminishwa kuwa ukosefu wa umeme unatokana na ukame wa muda mrefu hivyo mgao wa umeme utaendelea kuwepo. Wiki chache zilizopita mvua zimeanza kunyesha mito, mabwawa yamejaa maji lakini cha kushangaza bado tatizo liko palepale. Tumemchagua Mhe. Biteko (mchapa kazi) kusimamia Wizara ya...
  17. FaizaFoxy

    Ukosefu wa maadili unatisha kwa kasi unayoporomoka Tanzania

    Bila ya shaka, wengi wa wale wenye umri iliozidi miaka 40 watanielewa. Tanzania yetu iliyokuwa inasifika ndani na nje ya nchi kwa maadili na nidhamu imeenda "arijjojo", wale waliowahi kucheza na vishada (kites) watanielewa nikisema "arijojo". Nakumbuka miaka ya nyuma, kuna vijana nilikuwa...
  18. K

    Tumewakosea nini watu wa Mwanza kuhusu Ukosefu wa Umeme?

    Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi. Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa...
  19. matunduizi

    Kwa ukosefu mkubwa wa ajira sasa na wakati ujao, Unadhani vijana wasomee nini ili waje kuwa wakina nani?

    Kwa mabadiliko makubwa ya teknolojia hatutegemei kwa na ajira nyingi za mkupuo kama miaka ya zamani. Hii ni dunia nzima. Zinabaki taaluma chache tu ambazo ni lazima awepo mtu watu wachache ili mambo yaende. Niliongea na muhandisi mmoja katika fani yake anasema wanafunga tech kwenye mashine...
Back
Top Bottom