maono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Hebu jifunzeni basi kutupa Maua yetu na Kutuheshimu Watu wenye Maono, aliyosema Makonda nilishayasema Kitambo tu hapa JF ila mkanipuuza

    Hivi ni lini mtaniheshimisha na hata Kunijengea Mnara wangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums? Mna uhakika kuwa sikuwahi Kuanzisha Uzi hapa hapa JamiiFoums tena nikisema na kuna mahala nikayafumba Majina ya hawa hawa waliotajwa jana na Makonda na baadhi ya Intelligent Members hapa wakayajua? Mna...
  2. Erythrocyte

    Kwanini MO Dewji anataka kufunga kiwanda chake cha chai Nchini Tanzania? Bashe amgomea!

    Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na Serikali kwanza kabla hajachukua uamuzi huo, ambao unatarajiwa kuathiri watu wengi wanaofanya kazi kwenye...
  3. Stephano Mgendanyi

    Waziri Kairuki Amshukuru Rais Samia kwa Maono Makubwa Kwenye Uhifadhi na Utalii

    WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa...
  4. Konseli Mkuu Andrew

    Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
  5. P

    Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
  6. Mzalendo Uchwara

    Kwa jinsi Waziri wa Afya alivyokuwa na maono, kinachofuata ni kuongeza makato kwa wachangiaji

    Hili la NHIF na hospitali binafsi limeonesha uwezo mdogo wa kutatua matatizo alionao waziri wa afya pamoja na huyo bosi wa NHIF. NHIF ina changamoto kuu mbili 1. Matumizi makubwa ya fedha kwa shughuli za kuendesha ofisi, hata ripoti za CAG zimeonesha namna wanavyotumia fedha hovyo. 2...
  7. African businesses

    Maono timu zitakazotinga fainal klabu Bingwa barani Afrika

    Habari zenu wadau wote wa jukwaa hili la michezo, kwanza kabisa niseme tu mimi nimekua nikafatilia Kwa club michuano hii mikubwa kwa ngazi ya vilabu barani Africa. Nikitazama kwa jicho la kiufundi kabisa naiona timu ambalo yupo Yanga, litatoa timu zitazokutana fainal au timu mojawapo katika...
  8. R

    Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

    Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi. Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa...
  9. R

    Pambanua ndoto, maono na ulimwengu wa roho

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. (Matendo 2:17-18) na (Waefeso 1:3) MTU ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI. Roho inapoungana na mwili, kinaumbika kitu kinachoitwa NAFSI. Mwili una vitu vinavyoshikika na kuonekana kama Ubongo ,misuli nk nk NAFSI ni kiunganishi kati ya Roho na...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Janejelly Ntate Aendesha Semina ya Utekelezaji wa Maono ya Mama Samia kwa Akina Mama wa Mkoa wa Dar

    MHE. JANEJELLY NTATE AENDESHA SEMINA YA UTEKELEZAJI WA MAONO YA MAMA SAMIA KWA WAKINA MAMA WA MKOA WA DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 22 Disemba, 2023 Msimbazi Centre, Ukumbi wa...
  11. S

    Wangapi wamemuelewa Rais Samia katika hili?

    Rais anapokuwa hana maono kazi yake kubwa inakuwa ni kutafuta umaarufu badala ya kuumiza kichwa kuhusu ustawi wa watu wa taifa lake. Wangapi wamemuelewa rais Samia ktk hili?
  12. MamaSamia2025

    CHADEMA ni wazalendo. Wanaishi kwa vitendo maono ya hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Huu uzi ni maalum kuwapa maua yao wenzetu kwenye siasa, CHADEMA, kwa uzalendo mkubwa wanaouonyesha kwa nchi yetu ya Tanzania. Na pia kwa muda mrefu wameonyesha kuishi kwa vitendo kwenye maono ya baba wa taifa, Mwalimu Nyerere. Wiki hii mara baada ya uteuzi na kukabidhiwa ofisi kwa katibu...
  13. Mhafidhina07

    Mwenye maono ya ndoto kuja hapa

    Salaam! Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima na uhai hadi sasa nipo safi na njema sana, then am going straight to the point mimi ni kawaida yangu kupata ndoto every day lakini jana nilipata ndoto ambayo iliniamsha na imenishitua. Kwenye ndoto nimeona kama napigiwa simu na shangazi yangu alikuw...
  14. OCC Doctors

    Kupoteza maono ya macho

    Kupoteza maono ya macho (Acute Vision Loss) kwa kawaida hutokea ndani ya dakika chache hadi siku kadhaa. Inaweza kuathiri jicho moja au yote mawili au sehemu ya uga wa kuona. Sababu kubwa za kupatwa na dalili za kutoona vizuri ni mtengano mdogo wa safu ya seli za vipokea picha (retinal...
  15. Q

    Rais Samia, usipuuze maono na ushauri wa viongozi wa dini.

    Wakati wa utawala wa Magufuli madhehebu ya dini ya Kikristo yalipoona uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, kupotea kwa watu uliokuwa ukifanywa na serikali, hayakukaa kimya yalitoa Nyaraka mbali mbali kumuonya Rais Magufuli na serikali yake. Lilianza Baraza la Maaskofu wa kanisa la...
  16. The Burning Spear

    Ni wazi kabisa CCM Wameshapuuza Mawazo na Maono ya Mwl Nyerere

    CCM heshimu busara za wazee tofauti na hapo hakuna mtakachofanya kikawa na baraka. Bora hata magufuli alijaribu kufuata nyayo za huyu mzee. Nasikia hata huko TBC wosia wa baba unakuja kwa machale sana maana ni mwiba kwa CCM ya samia iliyo jaa wezi za mali ya umma..
  17. polokwane

    Hii nchi kwa sasa inakosa viongozi wenye maono na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

    Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika...
  18. Surya

    Ndoto iliyobeba ufunuo au maono

    Zaidi ya asilimia 80 % Mungu huzungumza kupitia ndoto, ujumbe wa picha na alama ambazo zinakua zimebeba ujumbe au maagizo fulani. Mungu huzungumza kwa mafumbo, ishara na picha tunaweza kuziona katika ulimwengu wa ndoto. Mungu hutuma Malakia zake hapa duniani kushirikiana na Roho za wacha Mungu...
  19. Mwl.RCT

    SoC03 Kuwezesha Maono: Uwekezaji Bora Ni Katika Watu

    KUWEZESHA MAONO: UWEKEZAJI BORA NI KATIKA WATU Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Kufikia malengo na kufanikiwa kunahitaji zaidi ya juhudi na bidii. Inahitaji pia umiliki wa maono na uwekezaji katika watu. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa mambo haya mawili katika kufikia malengo na...
  20. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli alikuwa na Maono, Viongozi wote aliokataa kufanya nao kazi hawafai kwa taifa letu

    Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake. Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa. January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa...
Back
Top Bottom