media

  1. Pascal Mayalla

    Media ni Mhimili Muhimu kama Ile Mihimili 3, Ila ni Dholfu Bin Taaban Kiuchumi. Jee Ufike Wakati Media Ipewe Ruzuku au Tuendelee t

    Wanabodi Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  2. Pascal Mayalla

    Siku ya Uhuru wa Habari: Hakuna Uhuru wa Habari, Bila Uhuru wa Kiuchumi wa Media/Waandishi wa Habari!. Media Njaa Inaweza Kuwa Huru?!

    Wanabodi, Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dotto Biteko. Ukaja Mkutano wa Baraza la Habari Tanzania...
  3. Roving Journalist

    Speech of Kalisha Holmes, Spokesperson from U.S. Embassy Dar es Salaam on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections

    Speech at MCT Stakeholders Conference on the Role of the Media in Ensuring Credible Elections Ladies and gentlemen, distinguished guests, I bring you greetings on behalf of Ambassador Michael Battle, the U.S. Ambassador to Tanzania on this special occasion. He sends his deep regrets that he...
  4. Stroke

    Content ya media nyingi sio kwa ajili ya kuelimisha, uchambuzi wa mpira umetamalaki. Kama jamii tunapaswa kubadilika

    Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini. Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa...
  5. Jamii Opportunities

    Senior producer, social media at BBC

    BBC MEDIA ACTION JOB DESCRIPTION Location: Tanzania Job title: Senior producer, social media Reports to: Head of production Duration: 12 months Special requirements: The right to live and work in Tanzania. Fluent...
  6. benzemah

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Jijini Dar es Salaam kutokana na kusumbuliwa na...
  7. H

    Shambulizi la Sydney mbona media kimya

    Hili tukio la shambulizi la Mall huko Sydney Australia na kuuwa zaidi ya watu sita, siku linatokea tu wakaanza kutukana waislamu magaidi warudishwe toka nchi za West, hata picha ilipotoka wakaanza huyu rangi ya watu Middle East muhimu kulikuwa na matusi mpaka kwa main stream media shambulio la...
  8. jingalao

    Ni wakati sasa kwa media za Tanzania kuonesha ubora wa nchi na sio majanga na vitimbwi!!

    Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu. Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea kwenye jamii kwanini sasa jamii inalishwa taarifa za vitimbwi na majanga tu? Huu ni upuuzi na...
  9. kavulata

    Azam media haina sifa ya kuidhamini ligi ya Tanzania

    Azam media imeshinda tender ya kuidhamini ligi kuu kwenye matangazo, ingawa hatujui ilishindanishwa na kampuni zipi za habari. Azam groups wanamiliki timu ya mpira inayoshiriki ligi kuu pia lakini Ina watangazaji, waandishi na watendaji ambao wanashindwa kutenganisha kati ya kazi ya kuidhamini...
  10. NALIA NGWENA

    Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

    Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla. --- Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club. Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja...
  11. M

    Clouds Media, watangazaji wenu wapimeni kilevi

    Nikiwa kwenye foleni nzito ya Jumamosi ya Jana iliyotokana na Mvua za Dar es Salaam, nimetune 88.5 mbele hapaendi nyuma hapaendi. Gafla bin vuu kinaenda kuanza kipindi cha Rhumba saa 5/6 usiku. Mtangazaji DAKOTA anaingia studio anakarbishwa na wenzako kijiti, anapayuka mnifungulie Mlango...
  12. Nehemia Kilave

    Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote . Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa...
  13. muafi

    Kuna kitu hakipo sawa kati ya Àzam Media na TFF

    Licha ya Ligi ta azam confederation cup kupata mdhamini mpya CRBD Bank na ligi kitambulika rasmi kama CRDB bank Federation Cup, Azam wamegoma kuitambua benk ya CRDB katika ligi hiyo! TFF ligi wanaitambua kama CRDB bank Federation cup,. Azam ligi wanaitambua kama Azam federation cup! je ni i...
  14. 1

    Mwina Kaduguda: Simba wakitaka kuifunga Al Ahly ni lazima washirikishe watu wengine

    Mwina Seif Kaduguda, a socio- scientist cum Journalist anaijua Simba nje na ndani hivyo haiitaji saana kumuelezea. Leo akiongea na Wasaf Fm huku akichagizwa na Mnazi wa Yanga Maulid Kitenge amediriki kusema kuwa Yanga ina umoja sana kuliko Simba. Alisema Yanga inacheza mpira mkubwa sasa...
  15. N

    Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  16. Nifah

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao. Chanzo ni TRA Diamond ambaye amekuwa akitafutwa na maafisa kodi kwa muda mrefu, huku yeye akitumia 'janja janja'...
  17. N

    Social media BOUNCER

    Habari zenu wanazengo. Moja kwa moja nijikite kwenye hii maada aisee ukisitaajabu ya musa utaona ya farao,na mengine mengi. Hizi social media zote zinawatu waajabu sana,hata huku jamii forums kuna watu waajabu sana. Kuna watu wapo nyuma ya button za simu wanajiona mabouncer hata kwenye mkono...
  18. F

    Kwenye biashara usiogope majina makubwa yaliyokutangulia; Hill water, mabasi ya Tilisho ni somo kubwa la kuingia sokoni ukiwa mpya

    Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja. Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo...
  19. Raia Fulani

    Wakatoliki mnakwama wapi kwenye media?

    Ukweli ni kwamba nipo home naperuzi stesheni za TV. Ukija clouds unakutana na chomoza, ukurudi chanel ten yupo Mwamposa. TVE yupo kuhani Musa. Wasafi yupo tena Mwamposa. Naperuzi zaidi nakutana na Upendo TV ya walutheri. Sasa Jumapili natoka kanisani kazi yangu ni kutazama maudhui ya madhehebu...
Back
Top Bottom