Katika maisha yangu ya kusoma vita vikubwa vilivyowahi kupiganwa duniani basi vita vya kwanza na vya pili vya dunia haviachi kugusiwa.
Sasa katika kufundishwa kwa vita hivi vikuu vya dunia hasa vita vya pili kuna jambo moja nimegundua.
Jambo lenyewe ni kuwa katika maadui wanao zungumziwa sana...
Mwanariadha Magdalena Shauri ameangukia pua baada ya kushika nafasi ya 11, kwa muda wa 2:32:58 huko Tokyo Japan, Jana tarehe 3/3/2024.
Hata hivyo, Magdalena ndiye Mwanariadha pekee kwa sasa wa kike aliyefuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa mwezi julai, baada ya kupata...
Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana
1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora.
3.Mtu mwingine anataka...
TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN
Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
Position: Political, Cultural and Public Relations clerk.
GENERAL INFORMATION
1. Position title
Political, Cultural and Public Relations clerk (There is only one post available.)
2. Period of performance
・One year (renewable. Subject to a three-month probationary period.)
・Full time (40 hours...
Jinsi tunavyoiona leo teknolojia na uchumi wa China ukipaa na kuitishia Marekani, ndivyo ambavyo Japan ilikuwa na uchumi unaokua kwa kasi na kiteknolojia karibu kuifikia Marekani miaka ya 1980.
Marekani akaja na mkataba ulioitwa PLAZA ACCORD. Mkataba huu Marekani alisaini na mataifa ya Japan...
UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI
Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza Pahlavi
https://m.youtube.com/watch?v=Gn_glW0wGQ8
Source : Valuetainment
Crown Prince Reza Pahlavi...
Idara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuja na bomu jipya la nyuklia, B61-13, ambalo litakuwa na nguvu mara 24 zaidi ya lile lililoangushwa huko Hiroshima wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1945.
Bomu hilo jipya la nguvu ya nyuklia la B61-13 lililopendekezwa na Marekani litabebwa na...
Wanariadha hao ni Paul Makiya, Fabian Naasi, Peter Sulle, na Sarah Ramadhan wanaoshinda katika Mbio za Kilomita 42 (Full Marathon), huku Joseph Gisemo na Transfora Mussa watashindana katika Mbio za Kilomita 21 (Half Marathon) huko Nagai leo Oktoba 15, 2023.
Endapo Wakimbiza Upepo hawa watafanya...
Askofu Gwajima leo amesema tena kwamba atawapeleka wacheza rede Japan.
Sijui huyu baba anatuonaje wananchi wa jambo la Kawe?
Alishawahi kutuahidi kutupeleka Marekani, lakini hadi leo hamna mwana Kawe hata mmoja aliyewahi kupelekwa huko.
Huyu baba ameshawahi kutuambia yeye ni Muislam na...
Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) leo tarehe 08/10/2023 limekabidhi vifaa mbalimbali kwa timu mbili za riadha zinazoenda kushiriki mashindano ya Kimataifa Japan na Switzerland.
Timu mojawapo iliyokabidhiwa vifaa ni timu ya riadha ya JWTZ inayokwenda kushiriki mashindano ya Majeshi (CISM)...
Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na jina la meli itafika tarehe ngapi nikawa naitrack fresh kabisa.
Nikaambiwa wanaandaa documents...
Je, hii video clip hapo chini inayoonyesha abiria wakishindiliwa ndani ya treni kama nyanya za masalo huko Japan, ni kweli au ni Comedy video?
https://youtube.com/shorts/ITpgR10DftY?si=oYDBAX5Di3WkoSOn
Kampuni ya Umeme ya Tokyo ya Japan imetangaza kuwa imemaliza awamu ya kwanza ya kumwaga maji taka ya nyuklia baharini, na awamu ya pili inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Tangu Japan ilipoanza kumwaga maji taka ya nyukilia baharini, kitendo hiki kimesababisha hasira kubwa ya jamii ya kimataifa...
Msafara A: Huu ni msafara wa Rais wa nchi fulani barani Africa ambayo tangu uhuru haijaweza kubuni hata sindano.
Msafara B: Huu ni msafara wa Waziri mkuu wa nchi inayo unda magari yanayotumika kwenye msafara A
Salam wadau
Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado.
Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili
1. Kufungua akaunti ya dola...
Hivi karibuni, Japan ilianza kumwaga maji taka ya nyuklia baharini kutokea kituo cha nyuklia cha Fukushima. Hatua hii ya Japan imelalamikiwa sana na Wajapan wenyewe pamoja na jamii ya kimataifa, lakini serikali ya Japan imeamua kuziba masikio na kuendelea na kitendo hicho ambacho ni hatari si tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.