serikali

  1. Suley2019

    Serikali kuja na Muongozo wa malipo kwa Wanaojitolea

    Serikali imesema inakuja na muongozo wa wanaojitolea kufanya kazi kwenye taasisi mbalimbali utakaoangalia ni kwa namna gani wanaweza kulipwa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene katika kipindi cha maswali na...
  2. B

    Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  3. S

    Kifo cha Sokoine: Watoto wake wataka mwili uchunguzwe kubaini kama alikufa kwa ajali au la!

    Picha: Gari lililosababisha kifo cha Hayati Sokoine Katika hali ya kushangaza, watoto na baadhi ya ndugu wa aliekuwa waziri mkuu wa Tanzania, Hayati Sokoine, wanataka uchunguzi ufanyike wa mwili wa marehemu ili kubaini kama ni kweli kifo chake kilitokana na ajali au laa. Uamuzu huo ulofikiwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  5. chiembe

    Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
  6. GENTAMYCINE

    CCM ya sasa ingekuwa smart ingemkana Mwenyekiti UVCCM Kagera. Kwa kunyamaza ni kama wanathibitisha ni wauwaji

    Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile. Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
  7. mahindi hayaoti mjini

    Unaposema Serikali acheni dhulma, inamaanisha serikali inadhulumu?kwani hawa parking ni mali ya nani?

    Ni kilio cha jamaa mmoja akilalamikia gari yake kukamatwa kwa deni la maegesho lililofikia tsh 400,000/= kwa muda wa miezi mitatu tu, tena inje ya nyumba anayoishi, Hawa parking walikua wana kifurushi cha siku angalau kilikua fair, ila kwa sasa ni shida kweli kweli Yaani kwa siku ni lazima...
  8. Stephano Mgendanyi

    Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

    SERIKALI KUANZA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSU VITAMBULISHO VYA NIDA VYENYE UKOMO NA VISIVYO NA UKOMO Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu...
  9. matunduizi

    Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  10. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kujenga Daraja la Mitomoni - Ruvuma

    Serikali ya Awamu ya Sita, Chini ya Wizara ya Ujenzi ipo mbioni kujenga Daraja la Kisasa na la Kudumu kwenye mto wa Mitomoni, kijiji cha mapotopoto ambalo litaunganisha Wilaya ya Songea Vijijini na Nyasa Mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 16 Aprili...
  11. P

    Magari ya serikali sehemu za starehe baada ya muda wa kazi

    Hivi najiuliza hii nchi kuna shida gani? Majuzi tu naona mkwara kuwa magari ya serikali baada ya saa 12 jioni hayaruhusiwi kuwepo nje. Cha kushangaza, madereva kama kawaida wapo wanakula nayo bata na hawaogopi. Alafu ghafla unaona tena eti serikali inaagiza magari mengine ya sijui wakuu wa...
  12. Chizi Maarifa

    Hapa naipongeza Serikali na Rais kwa kweli. Magari haya ni muhimu kwa hawa watu

    Ni jambo la busara sana. Kuinua uchumi wa nchi. Mama abarikiwe sana. Ametuona kwa kweli. Magari mengi yalikuwa ni model iliyopita kwa kutununulia haya na hizi mvua kwa kweli ametutia moyo sana. Miaka mingine 30 mbele aongezewe.
  13. Kiboko ya Jiwe

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  14. M

    Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  15. BARD AI

    Serikali kutumia Tsh. Bilioni 190.57 kununua V8 mpya za Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Ujenzi wa Makazi na Utawala

    Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na ujenzi, ukarabati na ukamilishaji wa miundombinu ya Mikoa ikiwemo majengo ya utawala, Ikulu ndogo...
  16. S

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni mwake, anaweka wazi kabisa kutofurahishwa na kauli pamoja na tabia za Paul Makonda. Wakati Makonda...
  17. kavulata

    Muungano uwe wa serikali moja tu, kama sio hivyo ufe tu

    Manufaa ya muungano tumeyaona, ni matamu sana kwa watanzania walio wengi. Kila kijana mzanzibar anatamani kwenda kuishi Tanzania bara, na wako watanzania bara ambao wanatamani kwenda Zanzibar kwasababu moja au nyingine. manufaa ya muungano kila mtu anaweza kuyasimulia bila kuambiwa wala kusoma...
  18. P

    Serikali yataka umakini na tafiti juu ya kuruhusu matumizi ya bangi

    Haya yameelezwa leo April 15,2024, Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Nkenge, Florent Laurent Kyombo aliyeuliza msimamo wa serikali baada ya baadhi ya nchi kuruhusu matumizi ya bangi kama tiba. Serikali...
  19. T

    Kauli za fedha imetolewa na Serikali na Rais tunazisikia je miradi inatekelezwa

    Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa wanasiasa na watendaji kupata promo za kiuchaguzi. Waelewe kuwa wananchi wa leo wameelemika mno ni vizuri...
  20. N

    Mbunge Byabato: Serikali imetoa Sh Bilioni 15 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya Bukoba

    Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
Back
Top Bottom