Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, Faustine Maijo amesema miradi inayotekelezwa na Serikali kwa manufaa ya Wananchi inashindwa kukamilika kwa wakati kutokana na baadhi ya Watumishi wa Serikali kushindwa kuisimamia ipasavyo.
Maijo amesema Watumishi wa...
Atangaza neema Mei Mosi kwa watakaotatua migogoro na kero za wananchi kwa wingi na ufanisi mkoani Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Hajjat Fatma Mwassa amesema Maafisa Tarafa na Watendaji wa Kata ni wadau muhimu sana katika kusukuma maendeleo kwani ndiyo wako karibu na wananchi na wana nafasi...
Habarini wakuu,
Nimeamua kuandaa uzi collective kwa ajili ya mashine mbalimbali ambazo zinatumika katika shughuli mbalimbali hapa nchini.
Nitakuwa natoa maelezo ya machine pamoja na picha (muonekano) na bei yake
Post ntazipanga katika sytematic order ambayo itawezesha mtu kupata picha ua...
CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO.
LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kupeleka fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
Kimsingi wanasiasa wanatoa kauli kuwa Rais amekwisha toa shs billion kadhaa kukamilisha miradi lakini ukifuatilia kauli hozo haziendani na uhalisia wa vitendo kwenye site je ni ulaghai wa wanasiasa na watendaji kupata promo za kiuchaguzi.
Waelewe kuwa wananchi wa leo wameelemika mno ni vizuri...
Zaidi ya shilingi Bilioni 15 zimetolewa na Serikali kuu kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera na kuchangia ukuaji wa sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi.
Hayo yamebainishwa na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato...
Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa miradi ya maendeleo imetolewa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na Kifungu cha 34 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, sura ya 418.
Taarifa hii inawasilisha matokeo ya...
1. Bwawa linamwaga maji mto Rufiji na kusababisha mafuriko lawama na gharama anabeba rais Samia.
2. Madege mabivu yaliyonunuliwa kwa keshi yanapata hasara, analaumiwa rais Samia.
3. Ujenzi wa SGR ya mwaka 47 inayohitaji vichwa vya kizamani vya spidi ya 160kmph , na hivyo kutumia masaa 4 (lkn...
RC Sendiga atoa maelekezo miradi inayotekelezwa Mirerani
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo mapema akiwa kwenye ziara yake katika Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kukamilisha ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Naepo...
Hello!
Fanya utafiti sehemu yako ya kazi utakuja kuthibitisha hili
Wafanyakazi maskini, hawana nyumba au wana nyumba zisizoeleweka, wafanyakazi wasio na option B, wafanyakazi wenye CV zenye mashaka, wafanyakazi wasio na miradi nje kazi hao ndio huishi kwa uchawa.
Hao ndio hufokewa kila mda...
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam.
Mfuko wa Mazingira Duniani (GEF) kupitia Programu ya Ruzuku ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili kutekeleza miradi ya Uhifadhi wa...
1. Bwawa la Nyerere, ndiyo hilo lililojengwa bila kangalia madhara yake kwenye mazingira. Matokeo yake mtambo mmoja tu uliowashwa kwa wiki 2 tu umeleta mafuriko ya kutisha, na Sasa umezimwa. Failure asubuhi na mapema.
2. Madege:-
Kwa mujibu wa ripoti ya CAG iliyotolewa karibuni madege haya...
Niaje waungwana
Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia.
Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
Miradi mingi mikubwa hasa iliyo kamilika na mingine inacheleweshwa kwa makusudi ili kusubiri uchaguzi ufike 2025 ndio mama yao aizindue na kujipa ujiko kama vile yeye ndio muanzishaji?
Bwawa la Mwalimu Nyerere - hili bila kelele za kila siku za watu na migomo ya TANESCO kukata umeme kila baada...
Umejengwa utamaduni wa ajabu kwa kutoa Sifa kwa viongozi wa kisiasa wanaposimamia utekelezwaji wa miradi ya kitaifa, na kusahaulika Mwananchi ambaye ndiye aliyemwaga jasho kutafuta pesa na kuipa kodi kwa ajili ya kutekeleza miradi hiyo.
Sifa hizo kwa sasa zimeenda mbali zaidi kusifia hata pale...
Maono ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya Kitaifa kama Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Ujenzi wa barabara na madaraja makubwa kama vile Daraja la Kigongo - Busisi yametekelezwa na yanaendelea...
Waziri wa Fedha. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kuangalia uwezekano wa kuboresha Sheria yake ya Ununuzi ili miradi inayotekelezwa kupitia ufadhili wa Benki hiyo iweze kuwanufaisha wakandarasi wa ndani.
Dkt. Nchemba alitoa rai hiyo jijini Dodoma...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024.
Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
Hafla ya makabidhiano iliyofanyika katika Hospitali ya Kijeshi ya Mbalizi ikihudhuriwa na Brigedia Jenerali wa JWTZ Charles Mwanziva, Mwambata wa Kijeshi wa Ubalozi wa MarekaniLuteni Kanali Gerald Mathis, Mkurugenzi Mkazi wa WRAIR-DoD Tanzania, Mark Breda na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.