serikali

  1. 5 Nyingi

    Ashatu Kijaji: Waziri Mwongo anaye endelea kubebwa na Serikali ya awamu ya 6

    Huyu mheshimiwa Ashatu Kijaji sijui anatuonaje. Huyu ndiye aliye ahidi kutoa taarifa ndani ya siku 7 kuhusu sakata la jezi feki zilizo kamatwa. Mpaka leo hajatoa taarifa na amekaa kimya kama vile hakuna kilicho tokea. Huyu aliwahi kuahidi kushughulikia mfumuko wa bei ya bidhaa za ujenzi ndani...
  2. Fintan20

    Matokeo ya shule za serikali ni aibu, tupambane tupeleke watoto shule za serikali

    Wanajamvi habari zenu? Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika. Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye matokeo. Chonde chonde wazazi na walezi ninawasihi tupambane kadri tuwezavyo tupeleke watoto private...
  3. Sildenafil Citrate

    Serikali kuja na utaratibu mpya wa utoaji wa PF3 kwa kutumia TEHAMA

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Joseph amesema Serikali ina mkakati wa kutumia TEHAMA ili PF3 ziwepo kwenye mifumo ya utoaji huduma za hospitali ili kusaidia wagonjwa kupata huduma kwa wakati. Mdau wa JamiiForums.com kupitia shindano la Stories of Change (2023) aliwahi kushauri mambo...
  4. mwanamwana

    Vyama vya Siasa vya upinzani vijikite kuwaandaa wagombea mapema kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Tunapoelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni vyema vyama vyote vya upinzani vitakavyoshiriki vikaanza maandalizi mapema kabla giza halijazama. Wote tunakumbuka uchafuzi uliofanyika katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 ambapo vyama vya upinzani vilipata pigo moja...
  5. Uwesutanzania

    Kwanini miradi mingi ya maendeleo ya serikali haiishi upigaji?

    Wapi serikali inakosea? Nimeangalia miradi mingi ya kimaendeleo ya serikali sanasana katika eneo langu linalonizunguka lazima mwisho wa siku kunakuwa na sintofahamu. Je, ni serikali yenyewe haina mikakati sahihi juu ya kuendesha miradi yake? Au, ni wasimamizi wa ngazi za juu? Au, ni hawa...
  6. JokaKuu

    Uchaguzi serikali za mitaa ufanyike 2026. Je, kuna madhara yoyote?

    Je, haiwezekani kuahirisha uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2026? Hii itawezesha uchaguzi huo kusimamiwa na Tume Mpya Huru ya Uchaguzi badala ya Tamisemi. Nadhani Watanganyika tusiwaige Wazanzibari kufanya chaguzi zote kwa wakati mmoja. Nchi yetu ni kubwa sana ukilinganisha na Zanzibar.
  7. luangalila

    Hivi ni kweli serikali haifahamu kero ya usafiri wa mabasi ya Mwendokasi?

    Ukimya wa serikali wa kutatua changamoto ya huu usafiri binafsi unanipa wasiwasi huenda serikali haifahamu izi shida ambazo wananchi wanao tumia usafir huu tunakutana nao. Jana Jumatatu pale Gerezani nilitumia masaa 3 na dakika nyingi kusubiri usafiri, imagine nimefika pale saa 10 jioni...
  8. BARD AI

    Rais Ruto adaia Serikali ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na Bajeti ya kuhonga Mahakama

    Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali. Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
  9. Damaso

    Je, Serikali ya Tanzania inawezaje Kuwasaidia Wananchi Kumudu Makazi ya Gharama nafuu?

    Habari Wanajukwaa! Niwape pole wagonjwa na wenye kuumwa! Mungu awafanyie wepesi! Kwa wae=le ambao tuko wazma basi tuendelee na kazi. Leo ni siku nyingine njema sana kwangu kupata nafasi ya kuleta uzi huu ambao utalenga zaidi kuongelea kuhusu umuhimu wa serikali ya Tanzania katika kuwasaidia...
Back
Top Bottom