wajasiriamali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wajasiriamali wa mikopo ya asilimia 10 Singida DC

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Katika kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani 2024 alipata fursa ya kuwa mgeni rasmi katka sherehe zilizofanyika Tarafa ya Mntinko Wilaya ya Singida. Mhe. Aysharose Mattembe aligawa Vyeti vya pongezi kwa vikundi vya Wajasiriamali...
  3. Hakuna anayejali

    Huu ushuru wa wajasiriamali upoje?

    Wanajukwaa salam. Wanaotakiwa kutowa ushuru kwenye maeneo wanayotafutia riziki ni wepi Kati ya hawa? Waliopo kwenye maeneo rasmi kama masoko,au waliyo kando ya njia(road reserves) au maliyipo kwenye maeneo ya watu binafsi?
  4. MamaSamia2025

    Baadhi ya Taasisi za serikali na taasisi kubwa za binafsi acheni kuwadumaza na kuwarudisha kwenye umaskini wajasiriamali wadogo

    Kuna mambo yanaendelea kwenye nchi hii yanaonekana madogo lakini kadiri siku zinavyoenda yanaweza leta shida. Wote tunajua nchi yetu kama zilivyo nchi nyingi duniani ina uhaba mkubwa wa ajira. Tofauti na nchi kama China ni kuwa nchi karibu zote za Afrika zinaenda kuwa na tatizo kubwa zaidi...
  5. MamaSamia2025

    Haya ni makosa makubwa mawili yanayofanywa na wajasiriamali wengi na kuishia kujuta.

    Kuna wajasiriamali wengi huishia kujuta kwa kupoteza mitaji yao bila hata kufanya starehe yoyote wala matumizi mengine mabaya. Leo tutaangazia sababu mbili ambazo zinachangiwa sana na hawa wanaojiita Motivational speakers na life coaches. 1. Kudhani wanaijua biashara na kutojifunza zaidi Huu...
  6. B

    Taasisi ya CRDB Bank Foundation, UNDP kuwajengea uwezo wajasiriamali fursa za AfCFTA

    Dar es Salaam. Tarehe 16 Januari 2024: Katika kuimarisha uwezo wake na ushirikishaji wa wadau, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Mkataba huo wa miaka mitano unakusudia kufanikisha uwezeshaji wananchi hasa...
  7. Kiboko ya Jiwe

    Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

    Hi! Si Wajasiriamali wote kwamba wana maisha mazuri kuliko Watumishi wa Umma ila nataka kusema kuwa wapo Wajasiriamali wengi tu ambao hata leseni ya biashara hawana, Kodi hawalipi kabisa na Serikali haiwatambui lakini wana pesa kuliko wenye maduka ambao hulipa Kodi kwa VAT. Kuna Jamaa anauza...
  8. MamaSamia2025

    Faida nilizopata baada ya kujitolea kuwapa wajasiriamali wenzangu namba za machimbo ninayonunulia vitu nchini China

    Jikumbushe kwanza huu uzi; https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/ Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
  9. Stephano Mgendanyi

    Aysharose Mattembe Aahidi Kutafuta Fursa kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Kuwawezesha Wajasiriamali Mkoa wa Singida

    SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa huu ya namna ya kuendesha biashara zao kwa ufanisi na weledi ili waweze kujikwamua kiuchumi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Aysharose Mattembe Awanufaisha Wananchi wa Mkoa wa Singida kwa Mafunzo ya Wajasiriamali

    MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AWANUFAISHA WANANCHI WA MKOA WA SINGIDA KWA MAFUNZO YA WAJASIRIAMALI. SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za mkoa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kigahe: Maonesho ya SIDO Kitaifa Mkoani Njombe Yavutia zaidi Wajasiriamali Kuonesha Bidhaa Zao Ikilinganishwa na Miaka ya Nyuma

    Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo. Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Naibu waziri kigahe: tbs, tmda & sido elimisheni wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amewaagiza wataalam wa uthibitisho wa ubora kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS), TMDA na SIDO kuwaelimisha wajasiriamali namna ya kuzalisha bidhaa zenye ubora. Mhe. Kigahe amebainisha hayo Oktoba 18, 2023 alipozindua maonesho ya...
  13. B

    Waziri Gwajima: Wajasiriamali wanawake na vijana changamkieni fursa za IMBEJU

    Dar es Salaam. Tarehe 11 Septemba 2023: Akizindua Maonesho ya Imbeju ya Wajasiriamali Ilala 2023, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima amewahimiza wafanyabiashara wadogo nchini hasa wanawake na vijana kuchangamkia fursa ya mafunzo, ushauri, na...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi Chuo Kikuu cha MUST Tanzania kinavyowasaidia wanafunzi kuwa wajasiriamali

    Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi. Chuo hiki kinahakikisha mwanafunzi anapoingia chuoni hapo anapeleka wazo la biashara/kampuni yake anayotaka kuifungua na chuo...
  15. Stephano Mgendanyi

    Tume ya Madini Yatakiwa Kuwasaidia Wajasiriamali Kupata Teknolojia Zenye Gharama Nafuu

    TUME YA MADINI YATAKIWA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUPAYA TEKNOLOJIA ZENYE GHARAMA NAFUU Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe amewaasa Watanzania kutumia fursa za kiuchumi zinazopatikana nchini zikiwemo za kilimo, mifugo, uvuvi na madini katika kujiongezea kipato pamoja na kukuza...
  16. Ibudigital

    Wajasiriamali mpo?

    Habari zenu waheshimiwa? Wasiliana nami nikutengenezee label (stika) za bidhaa zako kwa Tsh.25,000 tu! Utapata design nzuri na lebo 20 ambazo zimeshakatwa, wewe utabandika tu kwenye bidhaa zako bila shida yoyote. Pia nadesign logo, vitambulisho, vipeperushi, matangazo, nk. Karibuni sana...
  17. Tukuza hospitality

    SoC03 Serikali Iwalinde Wafanyabiashara na Wajasiriamali Wadogo Nchini Tanzania

    Utangulizi Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, kampuni ina kiwanda cha kuchakata ngano, na inauza ngano iliyokobolewa na...
  18. B

    Serikali, Wadau waipongeza Benki ya CRDB kukusanya Tsh. Bilioni 700 kuwawezesha wajasiriamali nchini

    Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (wapili kulia), Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa...
  19. Nyendo

    Kwanini wajasiriamali wanawake Tanzania hawakopi benki?

    Tanzania ni moja ya nchi barani Afrika ambazo uchumi unakua kwa kasi. Toka mwaka 2017 kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni 7%. Moja ya chachu ya kasi hiyo ni biashara ndogondogo ambazo kwa kiasi kikubwa zinamilikiwa na wanawake. Takwimu za usawa wa kijinsia katika ajira zinaonyesha kwamba...
  20. B

    Benki ya CRDB yawahakikishia wanawake wajasiriamali mtaji wa biashara

    Siku mbili baada ya Benki ya CRDB kupata leseni ya kutoa huduma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amewahikikishia wanawake wajasiriamali nchini kupata mtaji wa kuanzisha au kukuza miradi yao. Mwambapa ametoa uhakika...
Back
Top Bottom