mengi

Mengi is a common masculine Turkish given name. It means "eternal", "without a beginning", "having no beginning". It is an Oghuz accented version of Mengü which is also a Turkish given name. Compared to Mengü, Mengi has an additional meaning: "happy".

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    Hapa duniani starehe ziko chache, majanga ndiyo mengi

    Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya asili, umaskini, ajali n.k At least kidogo tungekuwaga na uwezo wa kupaa Kama ndege yaani unaruka...
  2. BARD AI

    Profesa Manya: Ratiba za uzoaji Taka nchini hazieleweki na maeneo mengi hayana Madampo

    DODOMA: Mbunge Prof. Shukrani Elisha Manya amesema Maeneo mengi ya Makazi nchini hayajatengewa sehemu maalumu za Kuhifadhi Taka, hali inayosababisha kuzagaa kwa Taka mitaani Pia, amesema ratiba ya Magari yanayopita kukusanya Taka kwenye makazi ya Watu haziko wazi na hazijulikani kwa Wananchi na...
  3. Morning_star

    Nini shida magari aina ya "Brevis" mengi kuharibika gear box?

    Inaonekana muundo wa gearbox kwa magari ya "brevis" ni dhaifu sana kwasababu magari karibu yoote used utakuta kipengere ni gearbox! Wajuzi tupe elimu!
  4. Loading failed

    Mnawezaje kuishi na mwanamke anayepiga makelele na kuongea maneno mengi ya siyoisha

    Ndugu zangu habari za weekend wakuu Kuna wakati mwanaume hutaki kukaa nyumbani kukwepa makelele ya mwanamke na maneno mengi yasiyo na mpango. Ila kuna kipindi mwili na akili vinachoka kudhurura vinaona bora upumzike nyumbani kwako hata kidogo kuliko kwenda bar, kijiwe au kukodi lodge ili kulala...
  5. Wadiz

    Maeneo mengi ya Dar es Salaam ni Vijiji vilivyochangamka mfano hai Mabwepande na Mbopo

    Shalom, DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere. Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa. Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo. - Hakuna madaraja -Barabara...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kwanini magari mengi ya serikali ni TOYOTA?

    Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba viongozi wetu hawajui kuwa kuna kampuni nyingine? Kama serikali ingekuwa inanunua gari randomly basi...
  7. Mateso chakubanga

    Makombora mengi ya Iran yatua na yapiga vituo vya kijeshi nchini Israel

    licha ya ndege zisizo na rubani za Iran yaani drones kudunguliwa kabla ya kulenga shabaha imegundulika idadi kubwa ya makombora ya masafa marefu ya Hypersonic ya Iran yameteketeza vibaya kambi kadhaa za kijeshi nchini Israel
  8. R

    Kwanini Ibada ya Eid maeneo mengi Tanzania imefanyika nje ya nyumba za Ibada?Kiimani kuna Sehemu tumekiuka masharti ya dini au inaruhusiwa

    Dini ya kiislam inatoa mwongozo wa kila jambo linalohusu ibada na hata maisha binafsi ya muumini wa dini hiyo. Nimeona ibada ya Eid ikifanyika maeneo ya wazi kama viwanja vya mpira na maeneo mengine kama haya. Mimi kama great thinker kazi yangu nikuibua mada kwa lengo la kubadilishana uzoefu...
  9. Pascal Mayalla

    Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Wanabodi, Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni...
  10. PD_Magumba

    Ni kwanini SIMBA SC ndiyo timu pekee iliyofungwa Home and Away kwenye CCL 2023/2024 na pia ndo timu iliyofungwa magori mengi zaidi kwe michuano hii

    Mashabiki na viongozi wa SIMBA SC wamekua wakijinasibu ya kwamba SIMBA SC ni timu bora. SIMBA SC pamoja na kupangwa kundi bovu lakini ilifuzu kwa tabu sana. SIMBA SC imetolewa kwa kipigo cha aibu cha nje ndani kutoka kwa Ahly iliyojichokea sana msimu huu. Je ubora wa SIMBA ni upi? Je, nini...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    Mambo mengi ni ya kawaida ila wameyakuza na kuwafanya watu dhaifu kuyaogopa isivyostahili. Usiwe dhaifu

    MAMBO MENGI NI YAKAWAIDA ILA WAMEYA- OVERRATED NA KUWAFANYA WATU DHAIFU KUYAOGOPA ISIVYOSTAHILI. USIWE DHAIFU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama ni msomaji wa makala zangu utagundua kuwa moja ya mambo ninayoyarudia ni pamoja na suala hili la uongo wa makusudi unaovumishwa ili kuathiri...
  12. P

    LIVE Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo. Yaani ni hekaheka, patashika nguo...
  13. S

    Mamelodi isiyofunga magoli mengi ikohatarini kuondolewa na Yanga yenye advantage ya goli la ugenini

    Habari ndio hio kwani hawa jamaa mechi zao nyingi huwa wanashinda kwa ushindi mwembamba. Hivyo, Yanga ikipata walau goli moja, watahitaji kushinda kwa bao tatu ili wavuke huku Yanga wakiwa na beki makini sana, Timu pekee walioipiga magoli mengi ni AL Alhyl(bao 5 hapa Bondeni) lakini mechi...
  14. Erythrocyte

    Hotuba ya Freeman Mbowe kwenye Msiba wa Sabodo imefichua mengi ambayo tulifichwa

    Wema wa Sabodo si huu kiduchu wa kusaidia vyama vya siasa nchini Tanzania , Huyu mtu kifo chake ni pigo kuliko hata mapigo mnayoyajua , Kuna haja ya Hotuba ile ya Mbowe kuletwa hapa JF kwa njia ya Video (Naitafuta) , Ifike wakati sasa Bendera ziwe zinapepea nusu mlingoti kwa baadhi ya...
  15. Z

    Kaka kimbia kabla mambo hayajawa mengi, jaribu bahati sehemu nyingine

    Una mpenzi wako na una matarijio awe mke wako wa ndoa, kazi unayoifanya anaijua vizuri tu kuwa kipato chake ni kidogo. ''Mnatoka out mara ya kwanza unatumia pesa nyingi kweli, mnakula , mnakunywa mna enjoy kweli. Mwenzio hata haulizi pesa umepata wapi ndo kwanza anaagiza bucket. ''Mara ya pili...
  16. Mhaya

    Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na...
  17. M

    Ukweli Mchungu kwenye mahusiano mengi

    Wanawake wakiwa wanapeana ushauri kusuhusu mahusiano, wanaambiana kuwa. "Shosti wewe date na Hao wanaume wote, halafu angalia yupi anajali zaidi na ana hela kuliko wenzie halafu ndio akuoe". NB: WANAUME TUWE MAKINI AISEE!
  18. GENTAMYCINE

    Yaani Balile wa TEF ni wa kumnanga hivi Hayati Magufuli aliyekusaidia mengi kwa kuendekeza njaa zako?

    "Kwa miaka hii Mitatu Rais Samia ameweza Kukusanya Shilingi Trilioni Mbili tena bila ya Kuzikwapua kwa Watu katika Akaunti zao na kutumia Udikteta kuzipata," amesema Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri (TEF) Deodatus Balile alipozungumza na Amka na BBC leo Asubuhi. Balile wewe leo ni wa Kumfumbia...
  19. Kiboko ya Jiwe

    Katika maombi yako usisahau kuwaombea singo maza. Wanapitia magumu mengi katika kuhakikisha wanakula wao pamoja na watoto wao

    Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
Back
Top Bottom