Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais
nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
Kamati ya Usalama Mkoa wa Arusha imempongeza Kamanda wa Polisi Mkoani humo kwa kupandishwa Cheo hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.
Akitoa Pongezi hizo Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu John...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam RC Albert Chalamila, jana alitangaza kuwa mkoa wa Dar es salaam utakuwa katika operation ya kufanya usafi siku ya tar 24/01/2024, siku ambayo pia ilipangwa kufanyika maandamano ya chama cha upinzani nchini Chadema.
Watu wengi wamekuwa...
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mhe Ridhiwani Kikwete, Mbunge wa Chalinze ambaye pia ni Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, wakitembelea vijana kambini kwao usiku kijijini Msoga wilaya ya Chalinze mkoani Pwani ukoo wa Kikwete walikuwa na...
Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya miaka 40 walilitwaa bila kulipa fidia.
Clip hiyo IPO wakati waziri anakabidhi mbele ya mkuu wa...
Pauline Philipo Gekul, mbunge wa Babati Mjini (CCM) amekamatwa na jeshi la polisi alipokuwa akijaribu kutoroka kuelekea nchini Kenya kupitia mpaka wa Holili, Rombo, Kilimanjaro. Hii ni nia OVU. Jambazi Pauline aliwateka Hashimu na Michael, kuwatesa na kuwawekea chupa makalioni.
====
Pauline...
Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia.
Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
Nawasalimia kwa Jina la JMT,
Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.
Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama.
Kifupi ni kwamba...
Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo.
Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Doto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi
Heshima Mheshimiwa Waziri wa Nishati na naibu waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Doto Mashaka Biteko,
Kabla ya yote napenda kuchukua...
SHKAMOO MHE. "NABII" GODBLESS LEMA
Kati ya viongozi wa upinzani wote, huyu Mshkaji akiwa anaongea, huwa naacha kila kitu ili kumsikiliza.
"Nabii" Lema ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja na hutabiri yatakayojiri
"Wewe Dkt. Pima umeshiriki wizi wa kura kwenye huu uchaguzi mkuu na umemkasirisha...
Sio dhambi wala jinai kuwa na ambitions za kuusaka uongozi wa juu wa nchi, lakini wengi wanakuwa consumed na ndoto hizo, wako distracted, wanafanya siasa zaidi kuliko kazi waliyopewa, wanahangaika kukusanya fedha na kusuka mitandao yao. Watu hao sio wazuri kwako.
Moja ya mambo yaliyomfanya...
Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni.
Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo...
Hello habari za asubuhi!
Hii story nimewahi kuwasimulia wachache sana.
Ni rahisi kumtia moyo mtu kuwa magumu yatapita, Mungu atakusaidia kipindi uko vizuri na umeshiba. Ila ukipitia kipindi kigumu hata ushauri na courage utasikia kama kelele tu unapigiwa.
Nilihitilafiana na wazazi pamoja na...
Mheshimiwa Dr. Mwigulu sisi wafanyakazi wa Shule ya sekondari St Margaret Maria Alakok hapa Igunga mkoa wa Tabora kila tumalizapo mikataba yetu tunapaswa kulipwa gratuity ambayo ni asilimia 10% ya mshahara kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wako, sasa cha ajabu ni kwamba hiyo pesa kwa...
Ni mfuatiliaji na mshabiki halisi wa Mheshimiwa Tundu Lisu, na namuhesabu kati ya wasomi waliosheheni elimu ya sheria.
Ninachohitajia kwake ni kutumia hekima na busara amuombe radhi na msamaha Raisi Samia.
Photos speaks thousands word.
Nchi hii ina mambo jamani, yaani kuna vita zinaendelea chini chini huko ndani ya chama Mungu amsaidie mama yetu SSH.
Nia ya uwekezaji pale bandarini ni njema kabisa, dhamira safi kabisa. Ni uwekezaji unaokwenda kukata mirija wa watoto wa mjini ambao wamekuwa wakinyonya pale kwa raha zao.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.