watumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    Wakuu wa wilaya na Mkesha wa Muungano, watakesha na akina nani? Wasiwasumbue watumishi wa Umma

    Mkesha huu hapa! Utakesha na nani? Ukikesha na watumishi wa Umma, ujiandae kuwapa posho, nauli na chakula. Angalizo.
  2. R

    Jerry Silaa, migogoro ardhi inatokana na watumishi wa idara ya ardhi. As long as hujawagusa, tatizo litabaki kuwa kubwa

    Unafanya kazi nzuri, nimeona Tanga katika kesi mbili ulizozimaliza. Kesi ya Tahameed moja kwa moja kuna collusion ya watendaji wa idara ya ardhi. Wanarekodi zote, haiwezekani Tahameed akajua kuwa kiwanja fulani hakina mtu. Ni kuwa wanacollude na idara ya ardhi na kufanya uhalifu huo. 1...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ajira mpya kupelekwa kwenye zahanati zenye uhaba wa watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali inatarajia kutoa kipaumbele katika zahanati zilizo na mtumishi mmoja kwa kuongeza idadi ya watumishi katika ajira mpya zitakazotangazwa ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi. Dkt. Dugange...
  4. C

    Kwanini Utumishi wa Umma na Utawala hawasemi tatizo linalozuia vibali vya Uhamisho vya baadhi ya watumishi hata kama mwajili amesharidhia?

    Wizara hii imekuwa ni kero kubwa sana kwa Watumishi wa Umma hasa wanaofatilia vibali vyao vya uhamisho wakiwemo wale wa kutoka Taasisi mbalimbali kwenda TRA, imekua ni kasumba ya wahudumu wa ofisi ile kujibu mbovu watumishi hawa hasa wanapofika wizarani. Mfano mtu anatokea Geita, Katavi au...
  5. Kiboko ya Jiwe

    Watumishi wa umma tulionyimwa mshahara wa Machi kwasababu ya PEPMIS tumeumaliza mwezi salama, hatujawa ombaomba

    Hello! Serikali ilikosea sana kutunyima mshahara wa Machi baadhi ya watumishi wa umma kwasababu ya kutokukamilisha PEPMIS. Nikiri kuwa kazini kwetu hakuna aliyepata semina wala kidudu gani, tuliwekewa tu tangazo Whatsapp tujiunge wenyewe. Mimi binafsi niliona simple nikajiunga nikaona mchezo...
  6. M

    Kuna haja gani kwa Watumishi kuomba uhamisho kutumia mfumo ikiwa...

    Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu. Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
  7. M

    Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  8. B

    Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  9. BARD AI

    Musukuma: Kikokotoo cha 33% kitazalisha Watumishi wezi, hawatajli tena kazi

    DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa mafao yao yote. Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi...
  10. BARD AI

    Naibu Spika: Kuna watumishi wa TASAF bado wanaingiza ndugu zao kwenye Malipo

    DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo. Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  11. matunduizi

    Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Ipigwe kura kupitia mfumo wa PEPMIS, watumishi wenyewe waseme kama wameuridhia mfumo wa kikokotoo

    Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo. Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita. Serikali kila siku wanakipamba hichi kikokotoo, watumishi hawana pa kusemea. Ipigwe kura sasa ya kukubali au kukataa...
  13. peno hasegawa

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini. 1. CPA. William E. Mtinya Director, Corporate Services Department. 2. CPA. Elikana P. Buremo...
  14. Kiboko ya Jiwe

    Hii nchi kuna Watumishi wa Umma wanakula raha nyie

    Kuna rafiki yangu anafanya kazi TPA akitokea Taasisi moja ya umma baada ya Uhamisho kukamilika. Si unajua ukiwa na mbuyu unaweza kuhamia popote utakapotaka. Sasa niweke pembeni habari za huyu mtumishi. Yeye ni junior hana maajabu zaidi ya mshahara na posho zake za kawaida. Ila si haba ni pesa...
  15. Ncha Kali

    Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

    Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa...
  16. Candela

    Wenza wa watumishi wa Serikali nao walipwe Mafao

    Kama mwenza wa Rais anapata kiinua mgongo hata watumishi wengine wana haki kwa sababu mwenza wa Rais sio mtumishi wa serikali iweje apewe malipo na serikali? Kama hoja ni kumtuliza Rais hata engineer anatulizwa na mkewe au mumewe arudipo nyumbani.
  17. Course Coordinator

    Serikali kutolipa mishahara watumishi kwa kisingizio cha kutojaza majukumu yao kwenye mfumo wa ESS ni unyang'anyi usiotumia Silaha

    Serikali ya awamu ya Sita iliachana na mfumo wa kujaza OPRASS kwenye makaratasi (nakala ngumu) badala yake ikatambulisha PEPMIS kupitia mfumo Employee Self Service kwa kifupi ESS. Ikiwa na maana kwamba taarifa muhimu na za Msingi kuhusu Mtumishi zitakua kwenye mfumo huu. Ikiwemo Kujaza...
  18. rumplelstiltskin

    Ni kweli kwamba kuna Watumishi waliokosa mishahara sababu ya mfumo wa ESS?

    Je, ni kweli tetesi za watumishi Halmashauri ya wilaya ya rorya kukosa mshahara sababu hawajajiunga kwenye mfumo wa ESS (Employee Self Service Portal)?
  19. Kiboko ya Jiwe

    Ushauri kwa watumishi wa TPA

    Hello! Kutokana na notice mbili za mfululilizo zilizotolewa na uongozi wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari (TPA) nawashauri watumishi wa TPA kutumia akili na kuwa fast. Mambo yananadilika, hakuna mtu au kikundi cha watu kinaweza kushindana na serikali. Acheni kusikiliza watu wa nje, acheni maneno...
Back
Top Bottom