Kwa Bajeti ya Tanzania shilling elfu hamsini naweza kupata wapi chumba standard ambapo nitapanda gari moja mpaka mjini na kuweza kurudi night kali bila hofu ya vibaka.
Natanguliza shukurani.
MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
"Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
Naomba kuuliza tu!
Hawa wenzetu huwa wanawaza kwa kutumia nini?
Yaani unachimbua barabara kuweka viraka halafu unaiacha na mashiyo hayo pasipo kuyaziba inazidi kuwa mbaya zaidi unapotea!
Sasa kama huna bajeti ya kujenga kwaninj huwa wanachimbua?
Yaani ni sawa na mtu achimbe msingi wa nyumba...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Dkt. Charles Stephen Kimei amekuwa miongoni mwa wabunge waliochangia katika mjadala wa bajeti ya wizara ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ambapo ameeleza mambo kadhaa ikiwemo:-
Dkt. Kimei ameishukuru serikali na kumpongeza kwa wingi wa miradi katika jimbo la vunjo na...
Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais
nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeliomba Bunge likubali kuidhinisha Sh10.1 trilioni ambazo ni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 kwa wizara hiyo.
Fedha hizo ni ongezeko la Sh981 bilioni ikilinganishwa na fedha zilizoombwa...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa kesho Jumanne Aprili 16, 2024 atawasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2024/25.
Hii ni Wizara ya Wananchi, basi kesho Watanzania wote...
MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.
"Ushauri wetu Wabunge utasaidia Serikali kuimarisha utekelezaji wa Vipaumbele ambavyo...
MHE. ESTHER EDWIN MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.
"Natoa pongezi za dhati kwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa namna...
Mm Mjanja M1 bajeti yangu ilikuwa ni nauli tu za kunifikisha kwenye majumba ya watu kuupiga Ubweche, maana nimezipitia nyumba kama 5 ivi kwa haraka haraka kuupiga kwenye sikukuu ya jana.
Nilitumia Buku tu, 1000/=
Vipi wewe bajeti yako ilikuwaje.?
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchini PPP Mhe David Kafulila amesema,
Nchi ya Tanzania kwa awamu hii ya sita imeamua kujikita zaidi kwa kuwekeza kwenye Sekta ya Kilimo ambayo...
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji.
Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa ukomo wa Bajeti kwa mwaka 2024/25, wakati alipokuwa akiweka...
Na Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika kwa kutimiza viashiria vya Malengo ya Milenia ambapo imefanya vizuri katika sekta za Afya, Elimu, Maji.
Dkt. Nchemba alitoa ufafanuzi huo wa...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, uwekezaji wowote unaofanywa katika Sekta ya Elimu lazima umguse Mwalimu kwani ndiye injini na kiongozi wa rasilimali zote zinazowekwa kwenye mfumo wa elimu nchini.
Dkt. Biteko mesema hayo tarehe 13 Machi 2024 wakati...
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amewasilisha Mapendekezo ya Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, kwenye Kamati ya Bunge zima, katika Ukumbi wa Pius Msekwa, Bungeni jijini Dodoma, ambapo Serikali imependekeza kukusanya na kutumia jumla ya shilingi...
Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
Wataalam,
Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh hayo maneno niliyomwagiwa ni heri kumwagiwa maji ya ukoko.
Sasa kwa hasira nachofanya mshahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.