mbeya mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini. Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa...
  2. Erythrocyte

    Sugu amuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Benno Mallisa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba akiendelea na jambo hilo Watu wa Mbeya watampiga Marufuku kuhudhuria Club za Starehe za Mji huo ( Inadaiwa...
  3. Erythrocyte

    Uchaguzi wa CHADEMA Mbeya Mjini ni moto, John Mwambigija Maji ya Shingo, akabiliwa na Ushindani mkali

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini . Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa ...
  4. Erythrocyte

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Sugu, kusikika Clouds TV 23/11/2023

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara, Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, asubuhi ya 23/11 /23, atakuwepo kwenye Clouds TV kwa mahojiano Maalum. Usibadili Channel kwa Mawe Matakatifu.
  5. E

    CCM MBEYA MJINI Na maandalizi ya RAIS wa MABUNGE duniani

    Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya...
  6. Replica

    Sugu baibai Mbeya Mjini? Ili Tulia aendelee na urais IPU anatakiwa asipoteze ubunge miaka mitatu

    'The IPU Governing Council elects the IPU President for a term of three years. He or she must be a sitting Member of Parliament throughout the term of the presidency' Leo Tulia Ackson amechaguliwa kuongoza umoja wa mabunge duniani kwa kipindi cha miaka mitatu. Moja ya sifa ya kuendelea kuwa...
  7. L

    Dkt. Tulia awasha moto Mbeya Mjini, awafundisha wananchi masuala ya kisheria hadharani na kusoma maamuzi ya Mahakama

    Ndugu zangu Watanzania, Mbeya kumenoga, kumekucha, kumependeza, kumepembazuka, kumechanua, kunavutia, kunaleta hamasa, matumaini, faraja, Tabasamu na furaha. Hii ni kutokana na ziara inayoendelea kufanywa na Dada msomi,Nguli wa sheria,mwamba wa Mbeya, chuma cha Reli,Fahari ya Mbeya Na Tumaini...
  8. D

    Natafuta mke

    Habari wana JF, Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja. Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo: Mwenye hofu ya Mungu Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea Awe na shughuli halali -...
  9. Action and Reaction

    OMBI: Mbunge wa Mbeya mjini, Kata ya Iyela haina maji wiki ya tatu sasa!

    Kwako Tulia Ackson, Wananchi wa kata yako ya Iyela inayoongoza kwa kukupa kura nyingi kwa wabunge wa ccm haina maji takriban wiki ya tatu! Hivyo kama umamua hutagombea 2025 kaa kimya ILA kama ndiyo wewe utagombea naomba ufwatilie swala la maji mana wanachi wako wanateseka! By Msemaji wa wasio...
  10. Dalton elijah

    Kwanini Dkt. Tulia anataka jimbo la Mbeya Mjini ligawanywe mara mbili?

    Mhe. Sophia Mwakagenda ameuliza swali la nyongeza Bungeni kutaka kujua ni lini Serikali italifanyia kazi suala la kugawa Jimbo la Mbeya Mjini kwa sababu ya ukubwa wa Jimbo hilo na wingi wa watu. Ombi la kugawanywa Jimbo la Mbeya Mjini lilitolewa na Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Spika wa...
  11. Victoire

    Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  12. L

    Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  13. M

    Sugu hazuiliki Mbeya mjini

    Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge. Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia Trust sijui ni mikopo ya Dkt. Tulia hii nao wapo hapo na Sugu wakimgongea tano. Huyu bwana anapendwa...
  14. Erythrocyte

    Manunuzi ya Joseph Mbilinyi Sugu kwenye Soko la Igawilo huko Mbeya Mjini yaleta mtikisiko mkubwa

    Leo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya nyanya na mishikaki iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo bilionea Joseph Mbilinyi ambaye pia anafahamika kama Sugu au Real Jongwe kama anavyofahamika siku hizi, ama waweza kumtambua kama mfungwa wa kisiasa. Kama masihara tu...
  15. Crocodiletooth

    Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina. Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15. Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
  16. Impactinglife

    INAUZWA Salon kali ya kiume inauzwa- Mbeya mjini (Igawilo)

    Salon kali ya kiume inauzwa kwa bei ambayo ni sawa na bure. Salon ipo Mbeya mjini (Igawilo soko kuu) barabarani kabisa. Salon inakila kitu ndani kama vile FLAT TV MPYA, HAIR CUT MACHINE, SALON CHAIRS, SALON WAITERS SOFA, HEATER, SUBWOOFER nk. BEI NI SHILLING MILLION 1 NA LAKI 2 ( KODI YA...
  17. Impactinglife

    Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
  18. Idugunde

    Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  19. Greatest Of All Time

    #COVID19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
  20. Peter Stephano 809

    Tumzungumzie Dkt. Tulia Ackson baada ya kupata ubunge Mbeya Mjini

    Nguvu kubwa iliyotumika kuusaka ubunge kwa mbunge wa Mbeya mjini DK. Tulia Ackson iliwaaminisha wengi kuwa ndiyo itakua dhamira ya utendaji ofisini pindi atakapopata idhini hiyo. Ndoto ya kuusaka ubunge ikatimia katika uchaguzi mkuu wa Mwezi Oktoba 2020 kwa kushinda ubunge wa Mbeya mjini pamoja...
Back
Top Bottom