jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mchango wa Mbunge Ameir Abdallah Ameir kuhusu wataalam wa hali ya hewa

    MHE. AMEIR ABDALLAH AMEIR, Mwakilishi wa Jimbo la Mwanakwerekwe Akizungumza katika Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni jijini Dodoma kwa Wizara ya Uchukuzi na kujibiwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile. "Serikali huwatambua Wataalam wa Hali ya Hewa na kuwapa madaraja...
  2. Ndagullachrles

    Mchuano wa kisiasa Moshi kati ya makada wawili wa Chama cha Mapinduzi, Priscus Tarimo na Ibrahim Shayo

    Kuna mchuano mkali sana unaendelea kwenye siasa za mjii wa Moshi ambako makada wawili wa Chama cha Mapinduzi, Priscus Tarimo (mbunge)na Ibrahim Shayo a.k.a Ibra Line kuelekea uchaguzi Mkuu hapo mwakani. Mchuano huu umekolea hasa kwenye magroup ya WhatsApp ambako Ibra Line amepewa jina jipya la...
  3. K

    Ezekiel Wenje tunakuhitaji jimbo la Rorya jimbo liko wazi 2025

    Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka Ruari Port kwa kiwango cha lami ameshindwa kushawishi Serikali kuitengea bajeti ili kuikamilisha...
  4. Ndagullachrles

    Wasaka Ubunge Jimbo la Mwanga waanza kumwaga pesa

    Makada wawili wa Chama cha Mapinduzi(ccm)wanaotajwa kuusaka Ubunge wa Jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro,wanadiwa kuanza kilumwaga pesa kwa watu wanaominika kuwa ni wajumbe wenye kuamua kura za maoni. Taarifa kutoka Mwanga zinapasha kuwa makada hao wanapishana huku na kule kusaka ushawishi wa...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Kasasali: Jimbo la Sumve Hatuna Hata Milimita Moja ya Barabara ya Lami, Tumechoshwa na Ahadi Hewa!

    MBUNGE KASALALI: JIMBO LA SUMVE HATUNA HATA MILIMITA MOJA YA LAMI, TUMECHOKA! Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe. Emmanuel Kasalali amechangia, April 4.2024 Bungeni jijini Dodoma ambapo katika mchango wake amemuomba Waziri Mkuu wa Jamhuri nya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa kuongea na Waziri wa...
  6. Supu ya kokoto

    Martin Maranja Masese atafutiwe Jimbo agombee 2025

    Huyu jamaa ni hazina katika upinzani WA nchi hii. CHADEMA angalieni namna ya kumtafutia Jimbo ili akaongeze nguvu bungeni coming 2025. He deserves....na haya ni maoni binafsi.
  7. JanguKamaJangu

    ACT: Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha linawakamata wote waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Jimbo la Chaani

    Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
  8. Informer

    Zanzibar: Kifo cha utata cha Katibu wa ACT-Wazalendo Jimbo la Chaani chaibua minong'ono

    ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike. Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
  9. B

    Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza na Wananchi katika mkutano

    25 March 2024 Muheza, Tanga Bi Yosefa Komba wa CHADEMA jimbo la Muheza azungumza mazito ktk mkutano mkubwa CHADEMA YAONGEA KUPITIA MKUTANO NA WANANCHI WA MUHEZA Kamanda Yosefa Komba aitisha mkutano kuzungumza na wananchi wanaokabiliwa na changamoto nyingi ambazo hazifuatiliwi na mkurugezi...
  10. Mganguzi

    Peter Msigwa umeletewa Kheri James, tafuta Jimbo lingine huo ni mkakati maalumu

    Kwa vijana wa sasa mnamjua Kheri James kwamba hanaga mbambamba. Kokote atakako elekeza mpira ndio litahesabika goli hata kama ni mashariki mwa uwanja sehemu isiyo na milingoti ya magoli yenyewe. Na litakuwa sio goal popote atakapoelekeza Peter Msigwa hata kama ni golini na nyavu zikachanika au...
  11. Chachu Ombara

    Padre Godfrey Jackson Mwasekaga ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Mbeya

    Baba Mtakatifu Fransisko amemteua mheshimiwa sana Padre Godfrey Jackson Mwasekaga wa Jimbo Kuu katoliki la Mbeya kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Mbeya , leo tarehe 09.03.2024 Mhashamu Askofu mteule Godfrey Jackson Mwasekaga alizaliwa Machi 17 mwaka 1976 Kyela, jimbo kuu Katoliki la Mbeya...
  12. Nyani Ngabu

    Mahakama ya upeo ya Marekani yaamua Donald Trump hawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura jimbo la Colorado!

    He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021. On his social media platform after the ruling, Trump wrote: "BIG WIN FOR AMERICA!!!" Trump is the frontrunner for the Republican nomination to...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Edward Lekaita Akabidhi Ambulance Hospitali Ya Wilaya Ya Kiteto na mifuko 900 ya saruji katika kata za Jimbo la Kiteto

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mkoa wa Manyara, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Ambulance 🚑 mpya kwa uongozi wa Hospitali ya Wilaya ya Kiteto na kuwataka kulitunza ili liwanufaishe. Vilevile, Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko 900 ya Saruji kwa Kata ya Bwawani (Mifuko 50), AMCOS Matui...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Zubeida Shaib atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini

    MBUNGE ZUBEIDA SHAIB Atembelea Miradi ya Elimu ya Jimbo la Mfenesini Mbunge wa Jimbo la Mfenesini, Mhe. Zubeida Khamis Shaib amefanya ziara katika kukagua miradi ya elimu ya madarasa yanayokarabatiwa fedha za mfuko wa Jimbo katika Skuli ya Msingi Kihinani Pia, Mhe. Zubeida Khamis Shaib...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mpembenwe: Jimbo la Kibiti Mpaka Juni 2023 Lilipokea Bilioni 31 za Miradi ya Maendeleo Kutoka kwa Rais Samia

    MBUNGE MPEMBENWE: JIMBO LA KIBITI LILIPOKEA BILIONI 31 ZA MIRADI YA MAENDELEO KUTOKA KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN "Katika Jimbo la Kibiti, Rais Samia Suluhu Hassan ametupatia fedha nyingi za maendeleo. Juni 2023 nilisoma utekelezaji wa Ilani, tulipewa Shilingi 31,634,560,924.43. Sekta ya Elimu...
  16. Momazi

    Najiandaa kugombea ubunge jimbo la Mwibara 2025

    Kama mada inavyosema Mimi ni mtanzania niliyezaliwa, Kijiji Cha Nakatuba kata ya Chitengule Jimbo la MWIBARA. Nimeamua nigombee UBUNGE jimbo la Mwibara 2025. Nimeamua kuonesha nia ya kuligombania hili Jimbo maana mbunge aliyopo madarakani ni kama tu amejikatia tamaa maana sidhani kama atarudi...
  17. Meneja Wa Makampuni

    Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

    Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025. Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu. Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu. Hivyo...
  18. Stephano Mgendanyi

    Kawaida Atinga Jimbo la Hai "Mlikuwa na Mtu Asiye na Faida"

    KAWAIDA ATINGA JIMBO LA HAI "MLIKUA NA MTU ASIYE NA FAIDA" Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Kawaida amefika kukagua na kujionea shule mpya ya msingi Saashisha iliyopo wilaya ya Hai iliyojengwa na serikali kwa gharama zaidi ya shilingi milioni 540. Akizungumza baada...
  19. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Amandus Chinguile: Ni lini Serikali Italigawa Jimbo la Nachingwea.

    Mbunge Amandus Chinguile: Ni lini Serikali Italigawa Jimbo la Nachingwea. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatarajia kutangaza utaratibu na sifa za kugawa majimbo mbalimbali nchini, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani: Kata 11 Jimbo la Ushetu Kunufaika na Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria

    MBUNGE CHEREHANI - KATA 11 JIMBO LA USHETU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo...
Back
Top Bottom