Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,327
8,037

Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini.

Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa Mbeya Mjini. Mtu huyo ameongea yaleyale yaliyotamkwa na Mwenyekiti wa CCM Mbeya.

Ni wazi hizi ni siasa chafu ambazo ziko kinyume na Katiba ya JMT na hazina tija kwa wananchi wa Mbeya.

Kama ni kweli Tulia Ackson ameifanyia Mbeya mambo makubwa kwa nini anaogopa ushindani?
 
Huu ushenzi siyo wa kuuvumilia. Huyu Betina hajawahi kushinda uchaguzi wowote Tanzania. Aliteuliwa JK kugombea u-Naibu Spika ambao basically ukiteuliwa CCM unakuwa Spika tu kwa vile hata 2015 wabunge wa CCM walikuwa majority

Uchaguzi wa 2020 aliwekwa na Magufuli kama walivyowekwa akina Prof Kabudi Kilosa au Josephat Gwajima Kawe

Huyu Mbunge wa Mbeya hajaleta maendeleo yeyote zaidi ya kuemdesha biashara yake ya Bajaj jijini Mbeya kupitia Tulia Trust.

Mbeya pamoja na barabara finyu na udogo wa Jiji linaladiriwa kuwa na Bajaj 8,000.

Wajinga wenye kufikiri mwisho wa pua wanadhani hayo ndiyo maendeleo.
 
Inasemekana hata ccm Taifa wamemchoka
 
Tulia Kaua ccm Mbeya Mjini , hawamtaki kabisa .
Utaweweseka sana mwaka huu baada ya kuona wanambeya kwa ujumla wao wakiendelea kumshukuru Dkt Tulia kwa uchapa kazi wake.na namna alivyowasadia wanambeya kupata maendeleo katika kila eneo. ngoja mkeka wa lami njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe wenye urefu wa 237.9 utandikwe ndio akili yako na yule muhuni na tapeli wa kisiasa Sugu akili itawakaa sawa.

Mbeya kamwe na katu haijikuongizwa tena na muhuni Sugu.wala wana Mbeya hawapo tayari kumuondoa Dkt Tulia katika ubunge pale Mbeya mjini.

Mbeya mjini ni Dkt Tulia na dkt Tulia ndio Mbeya yenyewe.

Hakuna wa kumkwamisha Dkt Tulia na Wana CCM na CCM nzima imeamua kiwa Fomu ya ubunge ni moja tu kwa ajili yake Dada wa Taifa na msomi Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na fahari ya wana mbeya na nyanda za juu kusini
 
Inasemekana hata ccm Taifa wamemchoka
Sugu ndio amechokwa kama dekio. Dkt Tulia Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana mbeya na kubembelezwa na wanambeya ili wamchangie pesa ya kuchukulia Fomu ya ubunge.

Kila mwana Mbeya ameona namna alivyogusa maisha ya watu.amejengea watu nyumba.ametio maelfu ya bima za afya bure kabisa kwa wanambeya,mfano mwaka huu akiwa bima za afya bure kabisa elfu sita wakati mwaka jana alitoa elfu tatu.

Amejenga kwa pesa zake mwenyewe mabweni ya wanafunzi kama alivyofanya pale katika sekondari ya Samora.

Amegawa vitabu kwa shule zote za jiji la mbeya.

Wakati wa ubunge wa sugu yeye alikuwa anafanya Vitendo vya kihuni huni tu bungeni kama vile kuonyesha vidole vinavyoashiria matusi akiwa bungeni. Sugu alikuwa ni vuta bangi sana.hakuna mwana Mbeya wakumpa tena ubunge muhuni kama sugu.
 
Actually fomu moja kwa ngazi yeyote ile hata ya urais ni kinyume cha sheria kwakua inawanyima haki ya kikatiba wanachama wengine.

Lakini ndio vile tena nchi yetu imejaa kondoo.
CCM Taifa na wanaccn wote tumeamua kuwa Fomu ya Urais ni moja tu kwaajili ya Rais Samia , kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka pamoja na kukidhi matarajio ya watanzania. Lakini kwa upande wa Mbeya ni kuwa Mbeya nzima CCM na wasio Wana CCM wameamua na kuomba kwa kupiga magoti kuwa Fomu ya ubunge iwe moja tu kwa ajili ya Dada wa Taifa na Rais wa IPU dkt Tulia Acksoni Mwansasu,kutokana na kutatua kero mbalimbali za wanambeya na kuwaleta madeni ndani ya muda mfupi.sasa Mbeya inafanana na kuwa. Na taswira ya jiji tofauti na wakati ule jiji linaongozwa na yule muhuni sugu.
 
Huu ushenzi siyo wa kuuvumilia. Huyu Betina hajawahi kushinda uchaguzi wowote Tanzania. Aliteuliwa JK kugombea u-Naibu Spika ambao basically ukiteuliwa CCM unakuwa Spika tu kwa vile hata 2015 wabunge wa CCM walikuwa majority

Uchaguzi wa 2020 aliwekwa na Magufuli kama walivyowekwa akina Prof Kabudi Kilosa au Josephat Gwajima Kawe

Huyu Mbunge wa Mbeya hajaleta maendeleo yeyote zaidi ya kuemdesha biashara yake ya Bajaj jijini Mbeya kupitia Tulia Trust.

Mbeya pamoja na barabara finyu na udogo wa Jiji linaladiriwa kuwa na Bajaj 8,000.

Wajinga wenye kufikiri mwisho wa pua wanadhani hayo ndiyo maendeleo.
Kama una hasira wewe kufa tu maana huna faida.mbeya na wanambeya wanafahamu kazi kubwa iliyofanywa na jembe letu na dada yetu Dkt Tulia Acksoni Mwansasu.ametoa bure kabisa bima za afya elfu sita mwaka huu wakati mwaka jana alitoa elfu tatu.

Amefanikisha ujenzi wa mabweni kaka vile pale shule ya sekondari ya Samora.

Amefanikisha ujenzi wa barabara za njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe zenye urefu wa km 237.9. ambazo zitajengwa kwa kiwango cha lami safi.

Ametia mitaji kwa vikundi vya akina mama,vijana ,watu wenye ulemavu na watu wengine mbalimbali.lakini pia ametoa bure kabisa pikipiki na bajaji kwa vijana ili wajipatie kipato na kuendesha familia zao.

Amegawa maelfu ya vitabu katika shule zote za jiji la mbeya.

Amewajengea watu mbalimbali nyumba za kusihi wale wasio na uwezo.

Amefanikisha usambazaji wa maji safi na salama maeneo mbalimbali ndani ya jiji la mbeya.

Mambo aliyoyafanya dkt Tulia ni mengi sana ambayo siwezi kumaliza kuyataja hapa jukwaani.

Hii ndio sababu wanambeya na wanaccn kuhitaji uwepo wa Fomu moja tu kwaajili ya dkt Tulia ili waje wamumiminie kura za ndio katika uchaguzi mkuu kama shukurani kwa kazi nzuri na kubwa aliyoifanya kwa wanambeya iliyoleta tabasamu na matumaini kwa Mbeya nzima.
 
Sugu ndio amechokwa kama dekio. Dkt Tulia Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya wana mbeya na kubembelezwa na wanambeya ili wamchangie pesa ya kuchukulia Fomu ya ubunge.

Kila mwana Mbeya ameona namna alivyogusa maisha ya watu.amejengea watu nyumba.ametio maelfu ya bima za afya bure kabisa kwa wanambeya,mfano mwaka huu akiwa bima za afya bure kabisa elfu sita wakati mwaka jana alitoa elfu tatu.

Amejenga kwa pesa zake mwenyewe mabweni ya wanafunzi kama alivyofanya pale katika sekondari ya Samora.

Amegawa vitabu kwa shule zote za jiji la mbeya.

Wakati wa ubunge wa sugu yeye alikuwa anafanya Vitendo vya kihuni huni tu bungeni kama vile kuonyesha vidole vinavyoashiria matusi akiwa bungeni. Sugu alikuwa ni vuta bangi sana.hakuna mwana Mbeya wakumpa tena ubunge muhuni kama sugu.
Mlokole gani anafanya siasa za Ushirikina ? Ni Aibu mno , subirini tufumue mambo hadharani , mtajuta wanafiki nyie !!
 
Vijana hawajui Kibajaji ndiye aliyemstaafisha siasa John Samuel Malecela, waziri mkuu mstaafu na makamu wa Kwanza wa Rais.

Hata Mwakyembe yamemkuta hayo Kyela, sasa ni zamu ya Tulia Ackson kupigwa chini kwenye Kura za ccm.
Hakuna mtu mwenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kuweza kumtoa Dkt Tulia pale Mbeya mjini. Dkt Tulia ndiye mwenye hati miliki na jimbo la Mbeya mjini aliyopewa na wanambeya wenyewe. Baada ya kuchoshwa kuongozwa na yule muhuni wa CHADEMA sugu aliyepeleka ujinga wake bungeni na ambaye alikuwa hajitambui wala kutambua majukumu yake kama mbunge.

Dkt Tulia ameiheshimisha sana Mbeya na Tanzania nzima kwa ujumla wake baada ya Dunia nzima kumchagua kwa kishindo kuwa Rais wa IPU
 
Mlokole gani anafanya siasa za Ushirikina ? Ni Aibu mno , subirini tufumue mambo hadharani , mtajuta wanafiki nyie !!
Wewe ndiye mshirikina mkubwa mwenye roho ya kichawi na kishetani. Dkt Tulia ndio moyo wa wanambeya ndio mboni yao.ndio tumaini lao.ndio hitaji lao Katika kuwaongoza na kuwaleta maendeleo ya haraka.

Yule muhuni sugu aliharibu jiji na kulifanya kuwa uwanja wa wavuta bangi na wahuni.sasa wanambeya wameridhishwa na utumishi wa dkt Tulia na namna alivyowaletea maeneo na kugusa maisha yao.

Sugu alishindwa hata kumnunulia mwanafunzi hata mmoja tu yatima wala hata kitabu kimoja au daftari.lakini Dada wa Taifa dkt Tulia amegawa vitabu katika shule zote za jiji la mbeya.
 
Back
Top Bottom