kampeni

Hylarana kampeni is a species of true frog in the genus Hylarana. It is native to Sumatra, Indonesia. It lives in primary rainforest along streams above 700 m (2,300 ft).

View More On Wikipedia.org
  1. Huihui2

    Tulia Ackson na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Waendesha Kampeni Chafu za Ubunge Mbeya Mjini

    Alianza Patrick Mwalunenge, Mwenyekiti wa CCM Mbeya kusema kuwa mwaka 2025 kutakuwa na Fomu Moja tu ya kugombea ubunge jimbo la Mbeya Mjini. Leo kuna clip ya dak 3 inatembea ikimuonyesha mtu mmoja akihutubia mkutano wa CCM Mbeya huku Spika wa Bunge Tulia Ackson ambaye ndiye Mbunge wa sasa wa...
  2. Mwizukulu mgikuru

    Single mothers ni athari na madhara yanayotokana na kampeni ya usawa

    Hapo nyuma kampeni na uhamasishaji ulikuwa mkubwa sana, na wengine walisikika wakisema, "Wanawake Tunaweza." Sasa, athari zake zimeanza kuonekana: wanawake wenye watoto wasiokuwa na baba wamekuwa wengi kadri muda unavyosonga mbele. Sijui itakuwaje baada ya miaka 20 ijayo. Mbaya zaidi, hawa...
  3. M

    Sasa ni dhahiri kuna chama kilishaanza kampeni isiyo rasmi ya uchaguzi Mkuu 2025

    Kuna chama kilishaanza kampeni isiyo rasmi ya uchaguzi Mkuu 2025, huhitaji kuwaza kujua kuwa hii ni kampeni ya kum-"brand" mgombea wao na kujibrand wao wenyewe ili majina yao yatajwe kila siku na watu lakini pia wakumbukwe kuwa wapo kama walisahaulika. Kubwa zaidi ni kumuuza kwa lazima mgombea...
  4. K

    Taifa Gas yafanya kampeni maalum ya kuelimisha matumizi ya gesi wakati huu wa mwezi wa Ramadhani

    Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati hiyo, timu ya Taifa Gas imefanya kampeni maalum wakati huu wa mwezi wa Ramadhani tarehe 19 mwezi wa...
  5. K

    Uanzishwe mpango maalumu wa usafiri Kwa wanafunzi wa shule za Umma

    Kwako Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa na wahusika wengine. Kwanza, napenda kuwapa pole Kwa kazi ngumu na pongezi Kwa kazi nzuri ambayo wizara ya uchukuzi inafanya hususani ujenzi wa miundombinu mbalimbali na kubwa zaidi ujenzi wa Reli. Waziri, binafsi ninakukubali Kwa uchapakazi na...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Hawa wazungu wamekuwa wakikamata paka mitaani na majumbani kisha kuwang'oa uzazi. Baada ya miaka michache tu nchi ya Zanzibar itakuwa haina paka hata mmoja. Paka wana faida nyingi sana kwa jamii na kimazingira pia. Hizi kampeni zinazoendelea, serikali izitupie macho. Wanyama wana haki ya...
  7. Erythrocyte

    Utawala wa Awamu ya 5 kulikuwa na kampeni ya wazi ya kutaka aliyekuwepo aongoze milele, Sababu hasa ya kampeni hii ilikuwa nini?

    Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa utawala wake kinyume kabisa cha Katiba ya Tanzania, yaani baada ya kumaliza utawala wake wa miaka...
  8. K

    Kampeni maalumu: 2025 Mpe mama tabasamu

    Ndugu zangu, Nimekusudia kwa mapenzi mema na moyo mkunjufu kufanya kampeni maalumu itakayokwenda Kwa jina la 2025 MPE MAMA TABASAMU. Kampeni hiyo itakuwa na malengo kuu matatu Lengo la kwanza, kufikisha ujumbe maalumu kwa watu wote, nikielezea kazi na mafanikio ya CCM na Rais Samia. Lengo hili...
  9. B

    Washindi watatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ wapatikana, Mmoja aondoka na Bajaji

    Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB ilizindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 kwa wateja wake mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
  10. Lycaon pictus

    Kampeni ya kupata ndege, mdudu, mti, ua, samaki wa taifa

    Sasa kuna kampeni ya kupata vazi la taifa. Kwa ajili ya utalii na utamaduni tunatakiwa kupata vingi vya taifa. Mti, ndege, ua, mdudu, samaki nk nk. 1. Napendekeza siafu awe mdudu wa taifa 2. Secretary bird awe ndege wa taifa.
  11. ndege JOHN

    Mtumishi wa umma zingua yote ila sio kampeni za kitaifa, sensa, uchaguzi na mwenge

    Kwa nchi yetu hakuna mambo ya moto kwa mtumishi kucheza nayo kama hayo niliyoyataja.Yaani fanya yote lewa,fanya umalaya,chezea muda wa kazi,kuwa na nidhamu mbovu hayo yote utaweza kuchukuliwa Poa wakakuacha. Ila aisee usije kujaribu kuipinga serikali kwenye kampeni zake kwa mfano chanjo ya...
  12. Webabu

    Rangi ya askari 3 wa Marekani waliouliwa Jordan wanaotaka kulipiziwa kisasi ni mchezo na kampeni za kisiasa

    Karibu wamarekani wote weusi wanaiunga mkono Palestina na kulaani mashambulizi ya Israel ndani ya Gaza. Wamarekani weusi wamekuwa wanaongoza kampeni za kumtaka rasi Biden aizue Israel isiendelee kuleta maafa ndani ya Gaza na wanamuona raisi huyo kama ni sehemu ya washiriki katika maangamizi...
  13. B

    Wateja Benki ya CRDB kuzawadiwa zawadi za Sh. Milioni 470 kampeni ya Benki ni SimBanking

    Dar es Salaam. Tarehe 31 Januari 2024: Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 mamilioni kwa wateja wake mwaka huu...
  14. J

    RC Sendiga, azindua kampeni "Mpe maua, atabasamu asome kifalme

    John Walter-Manyara Kampeni Mpe Maua atabasamu asome kifalme imezinduliwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Kampeni hiyo inalenga kuboresha sekta ya Elimu mkoani humo ikiwa ni adhma ya serikali ya awamu ya sita kila mtoto apate elimu ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza elimu ya...
  15. P

    Kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza?

    Wakuu, Msikilize kiongozi huyu aliye ambiwa amkaribishe Makonda, yaani ni kampeni kabisa zimeanza. "Wilaya ya Hai sasa imepata maendeleo makubwa, ninachotaka kuwaomba msifanye makosa, kina mama na akina baba twendeni na Dr. Samia Suluhu Hassan. "Tunakwenda kwenye uchaguzi mwaka kesho...
  16. P

    Huwa unazingatia nini kabla hujaenda kuangalia mkutano wa kisiasa?

    Wakuu, Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini? Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia...
  17. P

    Kauli gani kutoka kwa mwanasiasa ilikuvunja moyo kufatilia mambo ya siasa?

    Wakuu kwema? Kama kichwa kinavyosema hapo juu, kauli gani imewahi kutolewa na mwanasiasa iwe kwenye kampeni, mkutano wa hadhara, au kiongozi akiwa anatimiza majukumu yake ikakufanya uchukie siasa ama uache kabisa kufatilia mambo yanayohusu siasa? "Haiwezekani Mkurugenzi nikuteue mimi...
  18. Nsanzagee

    Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  19. Venus Star

    Uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia - Singida, 10 Januari, 2024

    Kampeni hii ni mahususi kwaajili ya kuwafikia na kutoa msaada wa kisheria kwa Wananchi wote buree, Kampeni hii itahusisha utoaji wa Elimu ya kisheria na kusikiliza migogoro yote ya kisheria ikiwa ni pamoja na mirathi, ardhi, ndoa na usajili pamoja na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na mengineyo kwa...
  20. Venus Star

    Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia

    KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA NI NINI? Kampeni ya Masaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign #MSLAC ) imejikita katika kutoa elimu ya kisheria kwa wananchi hususan katika masuala ya ukatili wa kijinsia, migogoro ya ardhi, mirathi, usuluhishi wa migogoro kwa...
Back
Top Bottom