Sugu amuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Benno Mallisa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,404
Screenshot_2024-02-20-21-33-03-1.png

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba akiendelea na jambo hilo Watu wa Mbeya watampiga Marufuku kuhudhuria Club za Starehe za Mji huo ( Inadaiwa Mallisa ni Mpenda Bata )

Taarifa zinaeleza kwamba Mallisa alijaribu kuhujumu Maandamano ya Chadema kwa kukusanya Madereva wote wa Bajaji Mbeya Mjini na kuwahonga pesa ili wasihudhurie Maandamano ya Chadema , Hata hivyo amechemsha .

labda Kwa wasiomjua Benno Mallisa ni hivi, Huyu alifukuzwa UVCCM haraka sana , katika ile kampeni ya wanaccm ya kuzuia kiongozi kuwa na Kofia Mbili, Kampeni iliyolenga kumvua Uenyekiti wa ccm Kikwete ili abaki na Urais pekee na kumvunja nguvu kwenye vikao vya chama, kampeni hiyo ikidaiwa kuendeshwa na Team Lowassa , huku Mallisa akiwa kwenye timu hiyo , akapigwa chini na kupotezwa kabisa kwa miaka mingi , hata huu UDC aliopewa ulichagizwa na ushawishi wa Lowassa baada ya Kikwete kuondoka Madarakani .

Screenshot_2024-02-20-21-32-55-1.png
 
CHADEMA hamjawahi kukua na kukomaa akili zenu.ninyi kila kitu ni kulia lia tu kama debe tupu .hata hivyo habari ni kuwa sugu asahua kabisa habari za kuwa mbunge wa Mbeya mjini.afute kabisa katika akili yake wazo hilo .jimbo la Mbeya haliwezi kuongozwa kihuni huni kama alivyo fanya kwa miaka kumi aliyopewa .

Kwa sasa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ndiye aliyepewa hayo miliki ya umiliki wa jimbo la Mbeya mjini mpaka atakapotaka kuachia mwenyewe kwenda kugombea nafasi za juu huko.
 
Ukimsikiliza vizuri Bwana Sugu, ni ametoa vitisho na vinaweza kuleta taharuki.

Huwezi kuwa kiranja halafu ukataka wananchi wajitokeze usiku na kumzuia mtendaji wa Serikali azuiwe kufanya shughuli zake za Faraga.

Huwezi kumzuia mtu ku injoy maisha yake ati kwasababu za kiuhanarakati.

Mnamzuia kula bata, kwa sababu za tuhuma za kukwamisha maandamano, kwani Maandamano yalikuwa ni ya Kula bata?

Yale hayakuwa maneno yakutolewa na kiongozi.
 
Nendeni Mahakamani
 
Nendeni Mahakamani
Ehe, Erythro

Wakwenda mahakamani alikuwa ni Sugu aliyetoa tuhuma za kuhujumiwa na sio DC Malisa

Sasa hayo aliyoyasema 'Bilionea' tsk tsk, yanaweza kuchukuliwa kama uchochezi. Nimeyasikia aliyoyasema.
 
Ehe, Erythro

Wakwenda mahakamani alikuwa ni Sugu aliyetoa tuhuma za kuhujumiwa na sio DC Malisa

Sasa hayo aliyoyasema 'Bilionea' tsk tsk, yanaweza kuchukuliwa kama uchochezi. Nimeyasikia aliyoyasema.
Uchochezi huo utasemwa wapi ?
 
Hako kagesti sugu anakomiliki kanampa kiburi sana

Haha jamaa anajiona bonge la taita kumbe Kuna vijana wa 90 wanamjengea hivyo vibanda miezi 6

Back
Top Bottom