Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,760
- 218,380
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , leo 09/02/2024 kuna Uchaguzi wa Viongozi wa Chadema Mbeya Mjini .
Habari zinadokeza kwamba Ni kama vile Mbeya Mjini leo ni siku ya Mapumziko , huku wafanyakazi wa Serikali na makampuni wakitoroka makazini mapema , kwa kisingizio cha ibada ya Ijumaa , Wafanyabiashara wameonekana wakisitisha biashara zao kwa muda ili kujipa muda wa kutafakari Uongozi mpya wa CHADEMA kwenye eneo lao .
Watu ni wengi mno na kwa kweli shamrashamra ni kabambe sana
Usiondoke JF , Kuna uhondo mwingi sana unakuja