Dr Alfonsi

Member
Jun 16, 2023
34
70
Habari wana JF,
Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
  • Mwenye hofu ya Mungu
  • Anayejielewa na mwenye nia ya dhati ya kuwa na mume
  • Elimu: KUANZIA DIPLOMA na kuendelea
  • Awe na shughuli halali - mfanyabiashara, mjasiriamali, mfanyakazi (kada yeyote ile -KARIBU)
  • Umri kuanzia miaka 25 na kuendelea
  • Kabila lolote lile -from north to south, or west to east, or lake zone to southern highlands (WELCOME).
  • Kama una mtoto, asizidi mtoto mmoja.
  • Uwe mwanamke wa kujiheshimu na kuheshimiwa (respectful woman)
  • Uwe tayari kupima magonjwa yote including HIV.
  • Sibagui dini, kikubwa ni upendo na mashikamano (dini zipo, ila sio kigezo cha kukubagua)
  • Natambua uwepo wa wanawake wazuri, wasomi na wana professional nzuri tu lakini wanapitia changamoto ya mahusiano kwa kutopata mtu (mwanaume) sahihi wa kudumu nae maishani. Tumia hii nafasi, njoo tuzungumze tuyajenge, huenda ukawa mwanamke bora wa maisha yangu na hatimaye kusahau magumu yote uliyopitia na hatimaye kuwa na furaha ya kudumu.
  • Uwe tayari kwa ndoa halali, ili kuimarisha muunganiko wetu.
SIFA ZANGU
  • Nina hofu ya Mungu (Mkristo wa Kikatoliki)
  • Umri wangu ni late 30's
  • Elimu yangu -Postgraduate degrees
  • Nina kibarua (muajiriwa serikalini)
  • Ni mwanaume - I stand as a man responsible for the raising good foamily for happiness life
  • Mimi sio mnene, sio mfupi (I am about 170 cm tall), sina kitambi.
  • LOCATION: MBEYA MJINI ( MAISHA AS FAMILY - TUTAISHI MBEYA MJINI)

NB: if you're interested, you're mostly welcome, and please hit my pm for more conversation.

Sincerely,

Alfonsi
 
Halafu nimesoma thread yako na kuona ni namna gani baba mkwe alivyokulea vizuri na kuja kuwa role model wako! Congratulations to you my darling!

Sasa huoni huu ni muda muafaka wa Mimi na wewe tujenge familia ya mfano wa kuigwa na Mimi niwe baba Bora wa watoto wako na sio Bora baba! Though it may sound a joke but let be serious on that matter!
Try to rethink/ reflection and later come back to me. Also you hit my pm for more conversation 🙏🙏🥰😘
 
Aaliyyah , unaitwa huku
 
Kw

Kwaiyo humu jf ndo utapata wife material? Yani unaacha vyura vya mbeya broo?
Hahaha jamani ujue mnachekesha sana.
Leo ndio nimeamini kwanini mwanamke mwenye Tako ukikutana nae mtaani anakuwa na confidence kama ana degree wakati hata form four hajamaliza;

na mwenye masters degree halafu hana tako though ana maisha yake na good salary lakini anakuwa hana confidence kabisa kisa tu hana tako!

Jamani wanaume wenzagu "Good wife" is not about trakoo , tusiwatese dada zetu kutumia mchina kuongeza ma trako Ili kuridhisha wanaume
 
Halafu nimesoma thread yako na kuona ni namna gani baba mkwe alivyokulea vizuri na kuja kuwa role model wako! Congratulations to you my darling!

Sasa huoni huu ni muda muafaka wa Mimi na wewe tujenge familia ya mfano wa kuigwa na Mimi niwe baba Bora wa watoto wako na sio Bora baba! Though it may sound a joke but let be serious on that matter!
Try to rethink/ reflection and later come back to me. Also you hit my pm for more conversation 🙏🙏🥰😘
Waooh thank you 😍
 
Sasa hizi sounds ndo ungetafuta pisi uipige sio kuleta thread humu jf🚮
 
Habari Wana Jf.

Natafuta mwanamke ambaye yupo tayari ku settle na kuwa mke wangu halali na kujenga familia pamoja.
Sifa za huyo mwanamke ziwe kama ifuatavyo:
  • Mwenye hofu ya Mungu
  • Anayejielewa sio waluwalu
  • Awe na elimu ya kidato Cha nne (Form four) na kuendelea hadi alipofikia
  • Kama ni mwajiriwa - kada yeyote Ile ya utumishi - KARIBU SANA
  • Kama single mother - mtoto asizidi mmoja.
  • Uwe tayari kuolewa na sio drama
  • LOCATION: nipo mbeya mjini, sihitaji mapenzi ya mbali ( distance relationship) kama upo interested and your not living mbeya town, then accept to be relocated to follow your husband not otherwise.

NB: if you're interested, your mostly Welcome, and please hit my pm for more conversation.

Mtafute [mention]To yeye [/mention] yupo single afu ni black Tii beut
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom