ukimya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jingalao

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kwa uzoefu wangu viongozi wengi ni watu waliopitia mateso makali nyakati za utotoni.yaani ukifuatilia utakuta waliwahi kunyanyaswa na wazazi au walezi kwa namna flani lakini kwa baraka za Mungu waliweza kuvumilia mateso hayo na hatimaye wakaibuka kuwa wasemaji na watetezi wa hali zisizo na usawa...
  2. Pascal Mayalla

    Japo sio lazima kuhoji kila kitu kwa kuuliza maswali lakini mtu mwenye akili zake timamu ni lazima ajiulize. Ukimya wetu, msitufanye mazuzu kuna...

    Wanabodi, Hapa duniani kuna fani mbalimbali za shughuli, na shughuli kuu ya kwanza duniani baada ya Mungu kumuumba binadamu, ilikuwa ni shughuli ya kutengeneza watoto au kuumba viumbe. Kwa vile Adamu na Hawa au Adamu na Eva, wao waliumbwa na Mungu mwenyewe, hivyo shughuli yao kuu ya kwanza...
  3. Msanii

    Serikali isipuuze tamko la APHFTA kusitisha matumizi ya bima ya NHIF kutibiwa hospitali binafsi. Yanazungumzika

    Tangu Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), Dk Egina Makwabe atangaze azimio la vituo vyote vya afya kutaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wapya wa bima ya NHIF kuanzia Machi 1, 2024, hakuna response yeyote kutoka upande wa serikali kuhusu tamko hilo. Je, tuamini...
  4. GENTAMYCINE

    Makonda tunajua ukimya wako wa ghafla si wa kawaida

    Nilishasema kuwa watafichwa Watu wote juu ya yanayoendelea ila siyo Malaika mpendwa mimi wa Mwenyezi Mungu GENTAMYCINE, ila nikisema hivi huwa mnaniona kama vile hamnazo (nimedata) Kunakotukuka. Kama kuna Kosa kubwa na la Kiufundi ambalo CCM na hasa Rais Samia (Mwenyekiti CCM Taifa) alilifanya...
  5. T

    Lipi lililo sahihi kufanywa na rafikie Lowassa.. Aendelee na ukimya au aongee?

    Wataalamu wa sayansi ya saikolojia wanashauri nini hapa. Tuhuma za usaliti hazikomi. siamini kabisa kama ana amani moyoni, na kwa umri alionao sasa naona kama ameporomoka ghafla. Sioni kama heshima yake ipo tena. Kifo cha rakiki yake naona kimemnyanganya heshima yake yote. Ana uwezo wa kukemea...
  6. Burkinabe

    Paul Makonda: Wahuni wameingia tena msituni nini? Siyo kwa ukimya huu

    Kwa mjibu wa katibu mwenezi wa CCM Taifa, ndugu Paul C. Makonda, Taifa letu lina viongozi wazalendo ambao wakipewa kazi wanafanya kazi kuhakikisha nchi inapiga hatua kimaendeleo. Lakini kwa bahati mbaya pia kuna WAHUNI ambao wakipewa kazi, wanaliibia Taifa hili na kukalia kupiga majungu! Lakini...
  7. K

    TLS na ukimya juu ya Leseni ya Wakili Fatuma Karume, kilichofanyika ni haki?

    Hoja yangu kama inavyojieleza, hivi haya matukio ya Fatuma Karume, na swala la Mwambukusi wajuvi au wasomi wetu wa Sheria imekaaje na ukimya wa TLS? Je, haki ilitendeka au ndio ile funika kombe mwanaharamu apite? Kiukwel inanitia shaka juu ya mstakabali wa wasomi wetu wenye uelewa wa kutokuwa...
  8. Mohamed Said

    Ukimya huu siyo wa kawaida

    Si kawaida yangu. Nimpapo mtu jibu hasa baada ya bughudha, pengine kejeli na matusi nikajua kuwa jibu langu limemtosheleza na yeye akawa kimya nami pia huwa kimya. Ukimya huu wa jumla umenishangaza sana. Ukimya huu si wa kawaida.
  9. Webabu

    Israel yakiri Iron Dome zimeshindwa kuzuia maroketi kutoka Gaza kutua Tel Aviv. Hii ni baada ya ukimya wa siku 7 kubadilishana mateka

    Tangu vita vianze upya baada ya ukimya wa siku 7 wakati wa kubadilishana mateka Hamas imeendelea kurusha maroketi ya masafa marefu kutokea ndani ya Gaza ambayo yanaufikia mji mkuu wa Israel wa Tel Aviv. Kwa mujibu wa Allan Fisher ,mpashaji habari wa aljazeera makombora kadhaa yaliyorushwa hapo...
  10. Webabu

    Ukimya alipozaliwa na kuteswa Yesu kule Jerusalem kwazidi kuitambulisha nafasi ya Israel kwa Waislamu na Wakristo duniani

    Vita vya Gaza vilivyoanzia na mashambulizi ya Hamas ya oktoba 7 yakiwa ndio makubwa kwa miaka 75 katika kutetea ardhi za wapalestina kumeibua mambo mengi yaliyokuwa hayakujulikana na wengi mwanzo. Miongoni mwa mambo hayo ni kuweza kuzitofautisha imani za dini ya kiislamu, kiyahudi na ukristo...
  11. saidoo25

    Kijana mzalendo amvaa Paul Makonda ahoji ukimya wake mkataba wa bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023. 1. UTANGULIZI Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
  12. Carlos The Jackal

    PM Kasimu Majaliwa ukimya wako, Huku Dotto na Makonda wakiendelea kuliinua Taifa tukueleweje?

    Sitaki kuamini kwamba Uchapa kazi wako ulitokana na Msukumo wa Hayati JPM . Sitaki Kuamini kwamba wale wanaosema wewe sio kiongozi sahihi, wako sahihi. Sitaki kuamini kwamba na wewe ni sehemu ya ile timu Upigaji . Sitaki kuamini kwamba, ni haki hadi wakurugenzi wanakudharau, hivi Makonda...
  13. Huihui2

    Wiki moja imepita toka Makonda atokeze kwenye vyombo vya habari. Je, huu ukimya unamaanisha nini?

    Je, Waziri Mkuu Majaliwa amemuweka Gavana? Maana mara ya mwisho alimtembelea Waziri Mkuu kisha akaenda bungeni kwa mwaliko wa Spika. Toka hapo hatujasikia tena zile kauli zake za KIFEDHULI!! JF tuendelee kumpiga spanna huyu Zerobrain
  14. Msanii

    Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

    Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale...
  15. NostradamusEstrademe

    Nimejifunza kitu ukimya ni hekima na silaha ya kumjibu mjinga

    Haya hapa mambo 10 yaliyozingatiwa mkataba wa bandari Dar Mama nilishakuambiaga piga kazi usisikilize kelele za makondakta wanakulazimisha gari la kupanda wakati umekata ticket na basi lako unalijua. Au Kelele za chura zisikutishe wewe kunywa maji mungu akujalie hekima zaidi ya ulizonazo.Watu...
  16. Russia is not your enemy

    Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama wake

    Ukimya sio Jibu, Serikali iingilie kati Mgogoro wa CWT dhidi ya Wanachama. Ni miaka zaidi 20 Serikali na wanachama hawajatulia na CWT wanatoa majibu mepesi. Nakumbuka CWT ilijinasibu kuwatekelezea walimu mahitaji yao ikaahidi mambo mengi sana kama benk yao, majimbo yao, nk. Katika vikao...
  17. BARD AI

    Ukimya wa Drake na DJ Khaled kwenye mgogoro wa Israel na Palestina wawakera Mastaa

    DJ huyo amehoji sababu za Mastaa hao wa Hip Hop kutozungumza chochote kuhusu Mapigano yanayoendelea kati ya Majeshi ya Israel na Kundi la HAMAS ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya Watu 2,000 na majeruhi wanaokadiriwa kufikia 10,000 Vlad ameandika kupitia X "Je, kuna mtu yeyote aliyeona...
  18. HelcopterChopa

    Ukimya uliogubikwa na kupoa kwa upinzani nchini

    Pilikapilika na vishindo vya upinzani nchini vimepoa mno kwa sasa. Ni aina mpya ya kijipanga ama ni maandalizi ya comeback ya tofauti na kivingine? Tutegemee muendelezo wa madai yaleyale ya tume huru ya uchaguzi, katiba mpya au bandari? Ama kuna jingine jipya? Ni matokeo ya reporti ya CAG au...
  19. H

    Rais Samia Suluhu Hassan avunja ukimya kuhusu yanayo endelea mtandaoni

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
Back
Top Bottom