kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bulaya001

    Mwenye kufahamu sehemu ambayo kuna chuo ama shule ya atheist (non-believers) anisaidie

    Salamu wakuu, Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo. Natanguliza shukrani 🙏🙏
  2. Sapphire Mc

    Naomba kufahamu computer specifications kwa mtu anayesoma Bsc. Cyber security

    Habari za mda huu wakuu... Nimeona niulize swali hili pia kwa manufaa ya wengine wanaopenda kusoma kozi za programming kama (Cyber security) .Je, computer ya mtu Huyu inatakiwa iwe na sifa zipi angalau.
  3. covid 19

    Pamoja na juhudi kubwa niliyofanya kufahamu lugha yao, msichana wangu Msandawe amenicha

    Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia...
  4. H

    Naomba kufahamu wateja wa mazao ya baharini

    Habarini ndugu, naomba kufahamu kampuni au wateja wakubwa wa mazao ya baharini kama vile mwani, jongoo bahari, wachakataji wa samaki, mikoko, Seashell nk. Kiujumla nahitaji kufahamu wale wote ambao wapo kwenye value chain hiyo. Ahsanteni.
  5. P

    Naombeni msaada wakuu kufahamu hii miwani lens gani

    Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
  6. JamiiCheck

    Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  7. sanalii

    Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

    Hali ni tete, joto kali umeme hakuna, Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO 1. Taa 2. Feni tatu na AC 1, 3. Fridge 4. TV mbili 5. Computer mbili za desktop 6. Oven ila haitumik mara nyingi Yaweza ni cost kiasi gani?
  8. Roving Journalist

    Unawezaje kujilinda na radi wakati wa mvua kubwa? Kuzima data kunaeupusha kupigwa na radi? Kufahamu hayo na mengine mengi soma uzi huu

    JamiiForums imefanya mahojiano na Rose Senyagwa, Mtaalam na Mchambuzi wa Hali ya Hewa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), ambapo alieleza kwa kirefu nini watu wanatakiwa kufanya ili kujilinda pale kunapokuwa na radi ==== Radi ni nini? Radi ni umeme, umeme huu unatoka katika mawingu na hasa...
  9. princ kadur

    Mwenye kufahamu contacts za Puma petrol station Arusha msaada

    Habar wakuu msaada mwenye kufahamu E-mail Ama Namba za simu ya Petrol station za puma hasa Arusha..
  10. Patriot

    Baada ya maelezo ya CDF juu ya uraia wa wateule, tunaomba kufahamu uraia wa viongozi wetu

    Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe...
  11. Z

    Naomba kufahamu tabia za Wanawake wa kikurya.

    Habari wanajf nipo natafta mke naomba kujua sifa za Wanawake wa kikurya
  12. Crocodiletooth

    Wajuzi wa mambo naomba kufahamu za kulipia gari iliyokuwa exempted mwaka 2012

    Waungwana nimenunua mkweche uliokuwa exempted. Naomba kujuzwa wastani wa kulipia kwa gari ya namna hiyo, Discovery Landover. Msaada tutani.
  13. Msanii

    Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  14. V

    Jinsi ya kufahamu endapo mpenzi wako Danga

    According to ze Generali him self, ni rahisi kufahamu hili na sio roketi sayansi. Anasema kama upo Dar na mpenzi wako ana mshahara chini ya milioni 6 take home, ana gari na anakula bujiii, basi fahamu kama sio Mwizi basi ni Danga. Well, kuna watakaouliza General Ulimwengu kafanya lini utafiti...
  15. Prof Nasibu

    Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!?

    Naomba Kufahamu UBIA wa ujenzi Gorofa huwa unapatikana vipi...!? nipo magomeni natafuta mwekezaji, nyumba ni yangu mwenyewe.
  16. L

    Naomba mwenye kufahamu hii movie

    https://www.instagram.com/reel/Cxuu2Oesp7c/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== Anayefahamu hii movie yenye hiki kipande kwenye link naomba anitajie nipakue
  17. Hyrax

    Kuna Jambo linanikwaza hapa: Naomba kufahamu tabia za mwanamke anayefanya umalaya kwa siri

    Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp...
  18. Supu ya kokoto

    Msaada kwa wenye kufahamu kuhusu malipo ya Serikali

    Ndugu WanaJf, Jana niliweka hapa bandiko linalohusu pesa za kujikimu wilaya ya Ileje kufanyiwa zengwe na baadhi ya viongozi,Kuna issue mpya imeibuka ambayo tunaomba wanaojua humu watusaidie sisi ajira mpya. Issue yenyewe ni hii:pesa za kujikimu zimetolewa na zimefika halmashauri,wakaziweka...
Back
Top Bottom