movie

Movie Movie is a 1978 American double bill directed by Stanley Donen. It consists of two films, Dynamite Hands, a boxing ring morality play, and Baxter's Beauties of 1933, a musical comedy, both starring the husband-and-wife team of George C. Scott and Trish Van Devere. A fake trailer for a flying-ace movie set in World War I entitled Zero Hour (also starring Scott) is shown between the double feature.
Barry Bostwick, Red Buttons, Art Carney and Eli Wallach also appear in both segments, with Harry Hamlin, Barbara Harris and Ann Reinking featured in one each. The script was written by Larry Gelbart and Sheldon Keller.

View More On Wikipedia.org
  1. ndege JOHN

    Hatuna hata movie moja iliyoigiziwa Mlima Kilimanjaro

    Hatuko serious kwenye tasnia ya filamu yaani nchi yote hii wasanii wameshindwa kuja na idea ya movie ikachezwa mlima kilimanjaro au serenget au ngorongoro. Isiwe kipande tu iwe movie yote full mwanzo Mpaka mwisho ichezewe mlimani.
  2. Call me GHOST

    Kwanini movie nyingi za mazombie Hollywood wanaigizia Las Vegas..!?

    Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movie za horror specifically zombie movies basi utagundua movie nyingi za zombies Hollywood wanaigizia Las vegas Kuna siri gani iliyo jificha nyuma ya jiji la Vegas na uwepo wa mazombie Baadhi ya movies ambazo setting yake ni Las Vegas Army of the dead (2021)...
  3. Afisa Mteule Drj 2

    Kuna Bongo Movie moja naitafuta nimeisahau jina

    Hiyo movie amecheza jamaa mmoja sijui ni kama msomali hivi simjuagi jina movie ile ni kama imechezwa maeneo ya magomeni kuna kipande dada fulani hivi kama ana asili ya kipemba au kiarabu aligeuka kahaba nadhani baada ya maisha kuwa magumu. Halafu nyingine iliwahi kuonyeshwa tbc kuna watoto mama...
  4. Pua ya zege

    Msaada kujua title ya movie hii

    Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya. Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila...
  5. W

    Movie ipi ya 'Horror' kali zaidi?

    Movie hizi mbili 'Wrong Turn' na 'Saw' zinaoneshwa katika vyumba viwili tofauti. Mpenzi wa 'Horror Movies' Utaingia wapi?
  6. 6 Pack

    Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    Niaje waungwana, Inashangaza mpaka leo Israel pamoja na misaada yote ya kijeshi, kiuchumi na kijamii inayopewa na wazungu lakini bado inashindwa kujisimamia yenyewe dhidi ya taifa lenye vikwazo vya silaha na uchumi ambavyo vimedumu kwa zaidi ya miaka 70. Inachokoza wenye nguvu alaf inakimbilia...
  7. SteveMollel

    Kisa cha mwili usojulikana ni wa nani. Hauna jino moja wala kovu lolote

    Baada ya kutokea kwa mauaji ya watu kadhaa, polisi wanafika eneo la tukio kwa lengo la kufanya uchunguzi. Katika eneo hilo wanakutana na miili isiyopungua mitatu, yote imelala mfu, wanaikagua na kujiridhisha. Wanaupata mwili mwingine ndani ya 'basement', mwili wa msichana mzungu, makadirio ya...
  8. Mhaya

    Movie za Marekani uwa zina Majina fulani hivi ya Miji ambayo yanasadikika kuwepo

    Ukiangalia muvi za Kimarekani unakutana na miji tofauti... Mfano.. Hogwarts muvi za Harry Potter. Asgard muvi za Thor. The Land of Oz. Pandora muvi za Avatar. Narnia muvi za Narnia. Super Mario. Disney Land Middle East. Wonderland. Mushroom Kingdom. Ushawahi kugoogle hii miji in real world...
  9. Mhaya

    Naendelea kusisitiza, kuna vitu vingi sana vya kujifunza kupitia filamu (movies)

    Hizi muvi unazoaziangalia ndio zimekupa picha kwamba CIA ni lidude likubwa sana. Hizi muvi ndizo zinakupa maarifa kuona kila kitu kinawezekana. Kupitia muvi, wanaeneza uchoko, na kwa bahati mbaya watoto wako wakiziangalia, baadaye wanakuwa machoko. Kila propaganda duniani, huanzia kwenye muvi...
  10. Harunahoba

    Wapi hukuelewa kuhusu movie ya Jumong na Spatacus?

    Kama kuna sehemu unahitaji kuielewa ambayo huenda hukuielewa kwenye movies hizi sema ueleweshwe.
  11. Expensive life

    Wale Wazee wa movie kali za kutisha vipi nmamtambua huyu mwamba?

    wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
  12. greater than

    Kwanini Movie za Wamarekani weusi zina...

    Mimi mtazamaji mkubwa wa Movies za Amerika,kwani nyingi zina hadith nzuri wenye kuburudisha na kuelemisha. Ila kuna suala moja lanifikirisha sana. Kuna hizi movies na series zenye maudhui ya kuwahimiza watu kutokukata tamaa na kupambana kujikwamua kiuchumi,, kwanini zikiwa ni za wamarekani...
  13. Lycaon pictus

    Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.

    Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.
  14. Harunahoba

    Bongo movie wapi mnakwama?

    Taasinia ya Sanaa ya michezo ya kuigiza hapa Tanzania inapitia changamoto nyingi sana zipo tunazoziona sisi mashabiki na pia zipo wanazokumbna nazo wasanii husika. Binafsi hiz ni baadhi ya changamoto ninazoziona kama mdau. 1. UKOSEFU WA SIMULIZI ( STORIES)NZURI. story nyingi za hapa kwetu...
  15. Suley2019

    Iconic Movie scenes and trailers special thread

    Wakuu niaje? Karibuni tukumbushane baadhi ya scene kali kabisa kwenye Movies zetu pendwa. Leo mimi nadondonsha scene hii fupi kutoka Shaolin Soccer. Unaikumbuka?
  16. Makamura

    Tom Cruise VS Ryan Reynolds, Nani Utampa Tag ya "MKALI WA ACTION"

    Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy, Hitman's Bodyguard Je nani utampa Tittle ya "MKALI WA ACTION", Kwanini na Movie ipi unaikubali kutoka...
  17. Frank Wanjiru

    2024 Upcoming movies

    1. Kraven the Hunter 2. Deadpool 3 3. Gladiator 2 4. The Lord of the Rings: The War of the Rohirrim 5. Godzilla x Kong: The New Empire 6. Dune: Part Two 7. Madame Web 8.Joker: Folie à Deux 9. Furiosa: A Mad Max Saga 10. Sonic the Hedgehog 3 11.Kingdom of the Planet of the Apes 12. Untitled...
  18. Frank Wanjiru

    The best Marines Movie

    1. The Wall (II) (2017) 2. Hard Kill (2020) 3. Jarhead 3: The Siege (2016) 4. Kill, Die, Laugh (2017) 5. A Grunt's Life (2019) 6. We, the Marines (2017) 7. Dead Sea (2014) 8. Devil Dogs (2017) 9. You're the Enemy: Welcome Back! (2014) 10. Saber Rock (2017) 11. War Brides of Japan (2018) 12...
  19. KIBUGAmk

    Kiukweli Kanumba alikuwa ana mvuto wa kipekee

    Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa Japo kidogo, Ramata anajitahidi kurudisha ule umakini wa zamani kupitia tamthilia kama 'jua kali'. Lakini kiukweli...
  20. Salahan

    MOVIE & SERIES UPDATES

    Habari Wakuu! Je wewe ni mdau wa movie na series? Zilizotafsiriwa ama Zisizotafsiriwa Basi Tupo Kukuhudumia Huduma tunatoa online na ofisini kwa bei poa ZILIZOTAFSIRIWA Movie moja Tsh.500/= Kuuploadiwa (special request) Movie moja Tsh.1000/= Sizoni Kila Episode Tsh.100/= Zikiwa zaidi ya 50...
Back
Top Bottom