msichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Dozi moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga Msichana kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
  2. mdukuzi

    Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  3. Sumbi Sanchez

    Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  4. covid 19

    Pamoja na juhudi kubwa niliyofanya kufahamu lugha yao, msichana wangu Msandawe amenicha

    Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia...
  5. KIBOD3

    Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  6. Da'Vinci

    Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    Salute NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi. Ningependa kuongea na...
  7. mambo_safi

    Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  8. Vincenzo Jr

    Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

    Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana". Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya ubaguzi wa rangi ya kijana mweusi akipuuzwa na afisa ambaye alikuwa akigawa medali katika hafla...
  9. M

    Msichana wa kuuza Duka la Vipodozi anahitajika

    Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi. Vigezo: Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri. Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam. Ambae atakua tayari anicheki PM.
  10. Money Penny

    Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

    Haya wanaume mkuje! Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea naye. Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri" Hapo mwamba unafanyaje?
  11. Mtu Asiyejulikana

    Msichana anakuambia kabisa mama anataka akufahamu Jumamosi uje home. Unaenda.Unamkuta mama yake...

    Ndo huyu. Halafu anakuuliza. "Eeenheeeh... Una mpango gani na mwanangu? Maana tujue mapema ninyi vijana siku hizi.... "
  12. Baba jayaron

    Nasikitika nimemuambukiza msichana ninayependa😔😔

    Mko salama waugwana, Leo naandika uzi huu niki regret lakini pia natoa somo kwa vijana. Kwakua sina mke na nimeacha kuamini katika mapenzi, ila kuna demu najikuta moyo wangu kama umenasa kwake. Yaani nguvu niliyoitumia kumpata sijawahi tumia kwa mwanamke yeyote na hata sasa misimamo yake...
  13. Melki the Storyteller

    KWELI Msichana mwenye Haemophilia anaweza kufariki dunia pale anavunja ungo

    Hii imekaa vipi kitaalam, Msichana mwenye Haemophilia anaweza kufariki dunia pale anavunja ungo?
  14. M

    Msichana anayepora kwa kutumia dawa

    Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka. Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza waiter akaniambia msichana...
  15. BARD AI

    Anayedaiwa kumuua msichana wa kazi Dar, apandishwa kizimbani

    Zikiwa zimepita siku 53 tangu aliyekuwa msichana wa kazi za ndani Annet Kassim (20) kudaiwa kuuwawa na bosi wake, mfanyabiashara Diana Sabhai (44), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na shtaka la kumuua msaidizi wake. Februari 9 mwaka huu mwanamke huyo, mkazi...
  16. S

    Hakuna msichana mzuri wa sura na tabia anafikisha miaka 25 hajaolewa

    Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15. Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika miaka 25 hajaolewa. Nataka kusema nini? Wadada wote wenye miaka 25+ na hawajaolewa, wana mapungufu...
  17. M

    Msichana aliye na miaka 25 ana stress za ndoa kuliko mwenye 30

    Msichana akifika miaka 25 anatakiwa awe na mchumba anaeonyesha malengo laasivo STRESS HAZITAISHA KWA DADA ZETU
  18. Dr am 4 real PhD

    100 views on any social media platform Humfanya Msichana (a girl) go crazy

    100 views kwenye Jukwaa Lolote la Mitandao ya Kijamii Humfanya Msichana Awe kama Kichaa Ndio, kuna kitu kwa miaka mingi nimegundua Mara baada ya mwanamke kufikisha 100 views kwenye jukwaa lolote la mitandao ya kijamii (whatsapp, Facebook, Instagram n.k) she starts feeling like a superstar...
  19. Blaszczykowski

    Oa msichana ndani ya ukoo wako

    Naumia sana kuona wanawake kumdhalilisa waume zao pindi tu kunapotoke sitofahamu na kuachana. Leo bora tuwafate waarabu life style yao tu japo si wote. Kuoa msichana asietoka mbali na familia naona itapunguza ukakasi na matatizo ya kudhalilishana kuliko unaenda kuoa 10000 miles, ndugu wa mke na...
  20. tpaul

    Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

    Hodi humu jamvini wana MMU, Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu. Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri...
Back
Top Bottom