Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 3,739
- 6,797
Ndugu WanaJf,
Jana niliweka hapa bandiko linalohusu pesa za kujikimu wilaya ya Ileje kufanyiwa zengwe na baadhi ya viongozi,Kuna issue mpya imeibuka ambayo tunaomba wanaojua humu watusaidie sisi ajira mpya.
Issue yenyewe ni hii:pesa za kujikimu zimetolewa na zimefika halmashauri,wakaziweka kwenye vifungu na katika hatua ya mwisho ya kuziweka bank,viongozi hao kupitia katibu wa hospitali ya wilaya wanadai kuwa pesa hizo Tena zimeshinitumbadwa kuingia kwenye akaunti zetu kisa mtandao wa B.O.T unasumbua na ukikaa sawa zitaruhusiwa kuingia.
Maswali yangu ni haya kwenu nyie wajuvi wa masuala ya namna malipo ya serikali yanavyokua.
1. Inawezekana pesa itoke B.O.T kuja halmashauri na waraka wa malipo utolewe halafu Tena katika malipo hayo ngazi ya halmashauri hao BOT wahusike?
2. Inawezekana mtandao wa BOT ukasumbua kwa almost week nzima?
3. Je ni nani hasa wa kumfuata ili tupate hizo pesa?
Maana hali yetu huku vijijini sio rafiki, tunateseka na wenyeji hawajali maana wanajua tuna pesa.
Wanabodi tusaidieni wadogo zenu.