tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. Jobless_Billionaire

    Tujadili kidogo kuhusu baadhi ya tabia ambazo watu huziona za kawaida ila zinakera sana

    Wasalaaam.. Nina imani mko poa na mnatekeleza majukumu yenu kama ilivyo ada. Kabla ya yote, watu tunafanya mambo kulingana na uhitaji wetu, na tunafanya kwa makadirio ya kuridhika na kitu ambacho tunafanya. Kwa mfano, nikiwa nina hamu ya soda nitanunua kwa lengo la kunywa ili kukidhi ile kiu...
  2. A

    KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
  3. Alwaz

    Tabia ya kuvuna mawingu huenda ndiyo imesababisha mafuriko ya Dubai

    Nchi ya UAE inayounganisha na jimbo la Dubai ni miongoni mwa mataifa tajiri sana duniani.Kila kitu wamependelea kiende kiteknolojia hata pasipokuwa na umuhimu wa namna hiyo. Maendeleo hayo ndiyo yamewafanya wasiweze kusubiri mvua zinyeshe kwa hiyari yake japo hawana shida sana ya maji wala...
  4. Mhafidhina07

    Nyie watanzania ni lini mtaacha tabia zenu za kibaguzi dhidi ya wahitimu ya digiriiii?

    Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa darasa la 7 au form 4,this is not good wadau. Au mnataka kuendelea kututawala ili tuichukie elimu...
  5. Ngungenge

    Kardinali Pengo, unampigania Sana Makonda lakini kama huwezi kumsaidia akaacha tabia yake ya ufitini, uongo na kiburi basi kikombe hicho kiwe juu yako

    Ni kweli unampenda Sana Makonda, na hii huwa inatokea mtu fulani kumpenda mtu fulani automatic, inatokana na ku share spiritual rim, njozi na maono ya pamoja. Ni kweli Makonda kwako ni kijana mtiifu na mnyenyekevu amekuwa hivyo tangu akiwa Mkuu wa Mkoa, alipotoka, alipokuwa mwenezi na sasa Mkuu...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna uhusiano gani kati Wanawake wembamba na tabia ya hivi, mdomo, roho na mbaya

    Kwema Wakuu! Bado nafanya utafiti nipate uhakika wa moja kwa moja lakini mpaka sasa majibu yangu yanamuelekeo wa asilimia kubwa inayozidi 80% ya wanawake wembamba kuwa na tabia ya gubu, mdomo na roho mbaya. Hii ni tofauti na wanawake Wanene. Ni nadra sana kumkuta Mwanamke mnene kuwa na gubu...
  7. LA7

    Mtoto kawa na tabia isiyonipendeza baada ya kuishi mbali na mimi kwa miezi 3 tu

    Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo, Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili, Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au kumfundiasha kuwa na tabia nzuri akiwa tu na Miaka miwili, Sasa kuanzia mwezi wa 11. 2023...
  8. P

    Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  9. Daydream

    Unamtafsiri vipi mwanamke mwenye tabia hii?

    Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000 na ukamuahidi kwamba utamrejeshea baada ya siku tano lakini baada siku moja kabla ya kufika siku ya...
  10. LA7

    Ni tabia gani uliweza kumbadilisha mke au mme wako?

    Kwenye maisha ya mahusiano Mara nyingi hutokea watu wakakutana na hawajuani wala hakuna mwenzake ana fahamu mwenzake kakuaje au kapitia maisha gani, Ni Mara chache sana hutokea wakakutana au kuoana waliokulia sehemu moja na kujuana, Mm kuna baadhi ya tabia ambazo nilimkuta nazo mke wangu na...
  11. Ushimen

    Kwanini wanawake wengi wana wapenda wanaume wenye tabia hizi?

    1. Wanaume wajeuri (wasio na kibri) hawa wanawake huwapenda sana hapa mjini. 2. Wanaume wapambanaji (lakini hawajapata) hawa wanapendwa sana na Ke zinazo jielewa na huishi na kupendwa kwa hope. 3. Wanaume wakorofi (sio wakali) hawa pia wana miliki na kupendwa na vyuma vya hatari kivyede yani...
  12. M

    Mdau anaomba ushauri kuhusu tabia ya jirani yake

    Unadili vipi na jirani ambaye hakusalimii wewe ila anamsalimia mkeo?
  13. T

    Hospitali za Serikali zimekuwa zikitumia vijana waliomaliza intern (post intern attachment) huku wakiwalipa hela kidogo sana

    Habari. Kuna rafiki yangu mmoja amemaliza internship ya udaktari mwaka jana katika hospitali ya rufaa ya Morogoro na kabla ya wao kumaliza hospitali iliomba watu kumi waandike barua kwa ajili ya kujitolea na wakaiita (post intern attachment). Kwa kawaida watu wanapochaguliwa kujitolea huwa...
  14. sanalii

    WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo, Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo? Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za...
  15. sanalii

    Club ya vijana wenye tabia njema

    Kama wewe 1. Unamuamini Mungu 2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki 3. Huna imani za kichawi na kishirikina 4. Sio mlevi wa pombe au sigara 5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa yako 6. Unasaidia wenye shida kadri ya uwezo wako 7. Huna husda wala majungu 8. Unajitahidi...
  16. Daydream

    Tabia ya wafanyabiashara kukaa na simu zinazotumika kufanya miamala mbali na eneo la biashara inakera

    Kuna hii tabia imezuka ya wamiliki wa biashara kuweka huduma za kifedha za mitandao ya simu mbalimbali lakini simu wanakaa nazo wenyewe mbali na ofisi zao na kwenye biashara zao wanaweka vijana ambao ukitoa pesa au kuweka lazima awasiliane na bosi wake ili akupe au kukuwekea. Hii tabia kiukweli...
  17. Suley2019

    Una tabia gani za kizee?

    Salaam Wadau? Katika maisha yetu tunajikuta tunafanya matendo mbalimbali kila siku. Kuna namna fulani unaweza kujikuta wewe ni kijana lakini baadhi ya matendo yake ukijitafakari unaona kabisa hayaendani na umri wako. Kwa upande wangu najikuta mtu mzima kwa kupenda nyimbo za Wazee wa zamani...
  18. S

    Punguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia hatua za kibinafsi

    Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
  19. Kaka yake shetani

    Bado tabia ya bodaboda inapotekea ajali kujichukulia maamuzi

    Bado nazidi kukazia maneno ya nabii lema kuhusu hawa bodaboda. Sijui wanachuki gani na wenye magari wawe wamekosea au wajakosea wao ujiona ni watu special sana. wamechoma bus la saibaba huko tanga. Hii nimoja ya bodaboda kufanya matukio haya hata kusababisha mauaji kama ikitokea ajali inayohusu...
  20. Mkalukungone mwamba

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?
Back
Top Bottom