kozi

Közi is a Japanese musician, singer-songwriter and DJ. He is best known as guitarist for the visual kei rock band Malice Mizer. After the band went on indefinite hiatus in 2001, he formed the industrial rock duo Eve of Destiny and also started a solo career. Közi is currently in the bands Dalle, XA-VAT, ZIZ and Vamquet, while occasionally performing solo shows.
During his time in Malice Mizer, Közi often assumed the role of a pierrot doll, dressing in clown-like costumes with large ruffs, always in shades of red, his favorite color. In music videos and on-stage he would often make movements reminiscent of a marionette. Közi has continued this visual style to some extent, but his contemporary stage costumes are more gothic. His work on the Izayoi no Tsuki project was reminiscent of carnival music, and artwork for his projects usually follow a dramatic, theatrical theme. Very few details about his private life are known.

View More On Wikipedia.org
  1. Enosh Ibrahim

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Kozi ya bachelor of science in mathematics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  2. Enosh Ibrahim

    Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani?

    Kozi ya bachelor of arts in economics and statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gan?
  3. Enosh Ibrahim

    Kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?

    Hii kozi ya Bachelor of Arts in Economics and Statistics inahusiana na nini pia inatoa fursa gani ukisoma?
  4. fazobonas

    Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

    Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya . Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics...
  5. msafi WCB

    Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

    Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya. Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii kozi utaweza kutibu baadhi ya magonjwa na kufanya upasuaji mdogo mdogo, kozi hii ni ya miaka mi 3...
  6. Buzi Nene

    Msaada je asome kozi gani katika hizi?

    Kuna ndugu yangu ni mtumishi wa serikali anataka kwenda kujiendeleza/kuongeza maarifa mengine anaomba msaada wa mawazo je ni kozi gani akasome kati ya hizo? NB: Ana vigezo vya kusoma hizo kozi zote. 1. Bachelor of Human Resource Management -mzumbe Dar 2. Bachelor of Science in Software...
  7. D

    Bodaboda wote wahakikiwe na kupatiwa leseni ya kozi maalum ya kubeba abiria

    Hatuwezi kusema moja kwa moja kazi ya boda ni laana! Lakini matendo ya madereva bodaboda wengi wao nikama wana laana! Huko barabarani honi ndiyo breki, hawana kusubiri, wanaovateki hovyo wakiamini wapo sahihi muda wote! Bahati mbaya boda anapoovateki kushoto na mwenye gari ikawa anakwepa...
  8. WeedLiquorz

    UALIMU: Muongozo kwa vyuo vinavyotoa kozi ya Ualimu (Arts) kwa ngazi ya Certificate na Diploma

    Salaam Wakuu, Kidato cha nne mwaka 2021 Kijana alipata Division Two ya Arts. Hakwenda kabisa Advance kwa sababu za kiafya hivyo sasa ameamua kwenda chuo kusoma ualimu. Kijana anataka kusoma DUCE au Mwalimu Nyerere (MNMA). Msaada: Ni utaratibu gani hutumika kufanya maombi ngazi...
  9. Mwakinyo makini

    Ndoto yangu ni kuja kusomea Uinjinia wa ndege

    Habari wadau wa JF, Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu...
  10. S

    Naombeni ushauri nisome kozi ipi nzuri kwa ufaulu huu

    Natanguliza shukrani, Naomba mnishauri ni Kozi ipi nzuri zaidi naweza kusoma kutokana na ufaulu huu. CIVICS"D" ENGLISH"C" GEOGRAPHY"C" KISWAHILI"C" HISTORY"C" BIOLOGY"C" CHEMISTRY"C" PHYSICS"F" MATH'S"F" Division III:22
  11. J

    Muda wa kuomba mkopo HESLB kwa kozi zilizoongezwa Januari 3, 2024 uongezwe ili kuruhusu kukamilisha maombi

    Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
  12. B

    Kozi ya Anaesthesia

    Habarini wana JF, naomba kufahamu kozi ya Anaesthesia huwa inatolewa vyuo gani hapa Tanzania na vigezo vya kuisoma hii kozi vipoje, Nawasilisha
  13. benzemah

    Wanajeshi 88 Washindwa Kumaliza Kozi TMA

    Wanafunzi 88 waliojiunga na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (TMA) mkoani Arusha, wameshindwa kumaliza mafunzo kwa sababu mbalimbali ambapo kati yao, 14 wadaiwa kuyakimbia ambapo mhitimu hutunukiwa “Shahada ya Kijeshi.” Hayo yamebainishwa katika mahafali ya leo Jumamosi Novemba 18, 2023...
  14. C

    Kozi gani nzuri kwa kombi ya HGK?

    Wakuu habari, Kulingana na dunia ilivokasi kwa sass, ni kozi gani muhusika wa masomo tajwa hapo anaweza kusoma kwa lengo la kujiajiri na kuajiriwa. Mbarikiwe.
  15. Chale david

    Naomba kujuzwa kuhusu kubadili kozi ngazi ya cheti nmesoma human resources alafu diploma nataka kusoma bussness administration naweza badilisha?

    Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human resource naweza badili ngazi ya diploma kusoma bussness administration?
  16. Stephano Mgendanyi

    TASUBA kuongeza kozi mpya za sanaa na utamaduni

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imepokea na kujadili taarifa ya Utekekezaji wa Majukumu ya Taasisi ya Utamaduni na Sanaa Bagamoyo (TaSUBa) ambapo imeishauri Serikali iendelee kusimamia Taasisi hiyo ili izalishe wataalam wengi kwenye Sekta ya Utamaduni na Sanaa...
  17. The thinker27

    UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

    UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha
  18. Chale david

    Kozi yenye ajira kati ya business administration na accountancy.

    Naombe msaada kujuzwa kozi nzuri kati ya bussness administration na accountancy ipi yenye ajira zaidi
  19. Mhaya

    Shahada ya Uzamili ya Uchawi kutolewa chuoni Uingereza

    Uchawi sasa hivi unaenda kuwa kitu cha kawaida sana Duniani. Kozi mbalimbali zimeanza kuanzishwa zikifundisha uchawi na uganga wa jadj. Nchi ya uingereza inaweza ikawa nchi ya kwanza ya kutoa Elimu ya juu ya uchawi. Vivyo hivyo Sahada ya Uzamili ya uchawi itakayoanza kutolewa mwaka 2024...
  20. Mkurugenzi Wa Mashirika

    Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini

    Nina mtoto wa kaka yangu amesoma kozi inaitwa oil and gas engineering pale DIT huu ni mwaka wa tano hana kazi. Wakati anaanza alimwambia mzazi wake ni kozi yenye fursa kwasababu serikali imeanzisha. Ni nani alishauri kuanzishwa kwa kozi za mafuta na gesi hapa nchini
Back
Top Bottom