maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mavunde Afuta Maombi ya Leseni za Madini 227

    WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227. -Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria -_wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao -Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu -Amtaka kila mmoja...
  2. GENTAMYCINE

    Ewe Mwenyezi Mungu hujawahi Kuacha Kusikia na Kutendea Kazi Maombi yangu basi na leo tena hili Ombi langu Ulikubali na litokee kama nitakavyo

    "Ewe Baba Mwenyezi Mungu naomba fanya kila uwezalo Klabu yangu ya Simba SC isiishie kabisa katika Nafasi ya Tatu bali ishie nafasi ya ama ya Tano au ya Saba ili sasa Sisi Mashabiki na Wanachama Kwanza tuanze Kupigana wenyewe kwa wenyewe kisha Hasira zetu tuzihamishie kwa Viongozi wetu na baadae...
  3. Yehoyada Yedidia

    Askofu Gwajima ashusha maombi mazito akiliombea Taifa

    Leo katika siku maalumu ya kuombea Taifa Askofu Gwajima ambaye pia ni mbunge wa Jimbo la Kawe alipewa fursa ya kuomba kwa ajili ya taifa. Maombi yake yamenifanya nibadili mpaka mtazamo wangu kuhusu yeye moja kwa moja. Video iko hapo chini.
  4. matunduizi

    Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

    Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran. Kuna matatu 1: Amewaogopa...
  5. Boniphace Bembele Ng'wita

    Maombi ya kuahirishiwa ziara ya Rais Samia inayotazamiwa kuanza nchini Uturuki

    Wanabodi heshima kwenu wakuu! Nimesoma kwenye gazeti la mwananchi toleo la leo 16/04/2024 ukurasa wa 17, kuwa RAIS DR SAMIA atafanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mda wa siku 5 kuanzia tarehe 17/04/2024 Naomba nitoe maoni yangu binafsi juu ya hii ziara, kwa kuikumbusha tu taasisi ya Rais...
  6. Eli Cohen

    Uliwahi kufanya maombi ya mfungo na ukafanikiwa. Tusaidie namna ulitekeleza mfungo wako

    Jina la Mungu linuulie wakuu. Karibuni kwa michango yenu itakayo kuwa baraka kwenu kwa maana mtasaidia wengi.
  7. Cheology

    Changamoto kwenye maombi ya ajira Mfumo wa TAMISEMI upande wa Afya na Elimu

    Mfumo umefunguka vizuri. Ninaingiza taarifa vizuri. Kwa nini sehemu ya kuingiza namba ya NIDA nikibofya inazunguuka muda mrefu haiendeleei? Msaada wanaujua hili suala.
  8. Papaa Mobimba

    Serikali: Maombi ya Simba yalikuwa makubwa sana, tutawapa Tsh 42M kawa wenzao

    Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine. Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama...
  9. Mpwayungu Village

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Hili la walimu kufanya mtihani ndowapewe ajira naunga Kwa mikono miwili, niliwahi kupendekeza hili kwamba kwanini walimu hawafanyiwi written interview ambayo kimsingi ndomtihani wenyewe Ukienda shule za private ambazo ni vinara wa kuongoza mitihani ya taifa, walimu wao wanapewa mitihani kabla...
  10. Kiboko ya Jiwe

    Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Hello Shalom! Naongea na wakomavu ambao wanahitaji chakula kigumu na si uji tena. Uhai wa Mkristo uko katika maombi, mkristo ambaye haombi huyo ni mkavu, aidha amekufa kiroho au anakaribia kufa kiroho. Hivyo ni wajibu wa kila mkristo kuhakikisha mito ya uzima ndani yake haikauki. Na kuifanya...
  11. Mhaya

    Nimepata ufumbuzi wa namna Mungu anavyojibu maombi yetu

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  12. chiembe

    Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  13. Kiboko ya Jiwe

    Katika maombi yako usisahau kuwaombea singo maza. Wanapitia magumu mengi katika kuhakikisha wanakula wao pamoja na watoto wao

    Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Kwenye yale maombi ya Nabii kulikuwa na kijana mwenye tatizo la kupiga puli

    Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini. Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa...
  15. Kiboko ya Jiwe

    Ninaingia kwenye maombi dakika 10 kuvunja matambiko na uchawi wa timu inayotumia mvua kubeba nyota yao . Huo uchawi haufanyi kazi leo

    Hello! Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale. Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha. Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
  16. VMWare-Oracle

    Maombi ya internship

    Habari! Mimi ni mwanafunzi wa Ordinary Diploma In Electrical Engineering, NTA Level 5 ( second year ). Taasisi: Dar es salaam Institute of Technology. Nina maombi ya kujitolea kufanya kazi katika taasisi, kiwanda, ofisi au karakana yoyote inayohusiana na shughuli za umeme, mpaka mnamo tarehe 5...
  17. MK254

    Maombi maalumu kufanywa na raia wa Afrika Kusini kwa ajili ya Israel

    Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ...
  18. Kushdon

    Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya Ajira ni kero na uonevu kwa waomba Ajira

    Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  19. Kushdon

    Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya ajira ni kero na uonevu kwa waomba ajira

    kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  20. matunduizi

    Tabia ya kubagua kazi ni kwa sababu ya kutokujua hili

    Mwanadamu umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Baadhi ya sifa za Mungu ni kufanya kazi. Tena kwa ufanisi na ubora, huu uwezo kila mtu ameumbwa nao maana kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu. Watu wengi wanabagua kazi, na wengine kufanya kazi kwa uvivu bila morali ni kwa sababu wanafikiri dhumuni la...
Back
Top Bottom