heslb

  1. L

    Msaada HESLB

    Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00. Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo mwaka wa2. NB: Mimi ni mwajiriwa
  2. Christian K

    Je naweza kupata mkopo HESLB kwa kuweka barua ya kustaafu kwa mzazi

    kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )
  3. L

    Nchi haiwezi kamwe kuwa na viongozi wazuri toka kizazi hiki, kama HESLB wamekuwa miungu watu!

    Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo vyuoni na hata kwenye Ofisi zao hao HESLB lakini hawasaidiwi chochote. Imeniskitisha nimekutana na...
  4. J

    Muda wa kuomba mkopo HESLB kwa kozi zilizoongezwa Januari 3, 2024 uongezwe ili kuruhusu kukamilisha maombi

    Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
  5. F

    HESLB Mwanza mjirekebishe

    Ofisi za HESLB -Mwanza wajirekebishe wanahudumia wateja kwa kujisikia na hawana haraka. Mfano mtu anataka statement ya deni lake tu inamchukua mtu masaa mawili hadi nane. Hivi statement ya deni inafuatwa wapi?. Yaani mtu anatoka Morogoro hadi Dar se salaam hujapata loan statement. Waziri...
  6. Kingsmann

    HESLB imewanyima ada wanafunzi wa mwaka wa kwanza kada za afya wanaosoma "Private Universities"

    Ni jambo la kushangaza kidogo lakini hali halisi ndiyo iko hivyo. Wanafunzi wanaosoma vyuo binafsi kada za afya wamenyimwa "Ada" huku wale wanaosoma kada zingine mfano ualimu wakipewa japo kitu kidogo. Ndiyo mmewapa pesa ya kujikimu lakini kama mwanafunzi hawezi kujilipia ada yafaa nini...
  7. Mkwawe

    HESLB hizo bilioni 780+ mlizoidhinishiwa na serikali kwa mwaka 2023/2024 mmewapa wanafunzi gani?

    Hadi sasa wanajamvi sielewi kama zile taarifa za kuwa mwaka huu zaidi ya wanafunzi 220000 wanatajwa kunufaika na mkopo wa masomo kutoka heslb kuwa ni kweli, kwa sababu kila siku hapa kitaa madogo walioenda chuo kwa bashasha lote wanarudi kitaani na sura zilizokosa tumaini kabisa, yaani ni huruma...
  8. M

    HESLB. Malalamiko kuhusu kubadilisha namba ya simu

    Habari Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Cha utumishi wa umma (TPSC). Mimi ni mnufaika wa mkopo kwa bahati mbaya namba yangu ya simu ilikosewa wakati wa usajili, nmefatilia Sana bodi ya mkopo ili nibadilishe namba ya simu imeshindikana naambiwa watafanyia kazi lakin mpk leo Amna...
  9. Assenga2002

    Wanufaika wa HESLB

    Habari Watanzania, Napenda kuuliza hivi kama kuna ambaye amewah kuwa mnufaika wa HESLB na aka appeal (kata rufaa) na akaongezewa mkopo. Ni mbinu gani ilitumika had akapata licha ya kuwa syo tasaf member, wazazi wapo wote na hamna ulemavu wowote. Nimesema hivo kwa sababu mwaka wa Kwanza 60% ya...
  10. G

    Kuna update yoyote ya HESLB kuhusu postgraduate students waliiomba mkopo?

    Habari JF, Naomba kuuliza, kuna amesikia tamko lolote kuhusiana na wanafunzi walioomba mkopo wa HESLB kwa ngazi ya postgraduate? au kuna yeyote aliyefanikiwa kupata? Maana naona kimya kimetanda na vyuo vimeshafunguliwa huku wanaoambiwa wasubiri ni diploma peke yao. Tamko la mwisho...
  11. Mdau jf

    Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

    Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA SHUKURANI
  12. A

    DOKEZO Wanafunzi wa Muhimbili tulioomba mkopo kwa Diploma hatujapata, HESLB wapo kimya na Udahili unafungwa wiki ijayo

    Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
  13. Chillah

    Mikopo Kwa Wanafunzi Wa Elimu ya Juu (Vyuo vya Kati na Vikuu)

    Habari Watanzania wenzangu Napenda nami nitoa mchango wa mawazo katika hiki kilio wanacho kutana nacho wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania bara Pia mnivumilie kwa kuwa sio muandishi mzuri sana japo nimewiwa kuandika na Nina imani wapo watao nielewe japo kwa uchache wake na watakao kuwa na...
  14. R

    Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

    Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji. 1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi) 2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta. 3. Congratulations your application is successful...
  15. Objective football

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Wakuu poleni na mapambano. sitaki niwapotezee wakati niende moja kwa moja kwenye mada. Kilio changu ni upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu mwaka 2023/2024 kumegubikwa na utata mkubwa kutokana na sababu zifuatazo 1.Account za waliokosa hazina notifications zozote kuwa kakosa...
  16. NGOSWE2

    Utaratibu wa Bodi ya Mikopo (HESLB) unatia shaka

    Utaratibu wanaotumia bodi ya mikopo ya wanafunzi HESLB inaleta maswali mengi sana katika jamii. Utaratibu wa kusema kila mwanafunzi aangalie kwenye akaunti yake inaleta kigugumizi kidogo. Kwa nini wasitumie utaratibu kama vifanyavyo Vyuo wa kutoa orodha ya majina yote ya waliofanikiwa kupata...
  17. Dasizo

    Msaada: Jinsi ya kuangalia Mkopo wa HESLB

    Naombeni msaada jinsi ya kuangalia mkopo wa HESLB.
  18. The thinker27

    USHAURI: Kuhusu kukata rufaa HESLB

    Habari za wakati huu wadau wa elimu Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024.... Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata rufaa pamoja na utaratibu wake unavyokuwa Sababu kuu ya kuomba kukata rufaa ni kutokana na mfumo wa...
  19. R

    Jamani mikopo ya HESLB msg hii ina maana gani

    Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
  20. Mhaya

    RASMI: Diploma waanza kupokea mikopo kutoka HESLB, soma muongozo hapa

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeanza kutoa mikopo ngazi ya Diploma kupitia bodi ya HELSB MWONGOZO WA UTOAJI MIKOPO KWA WANAFUNZI WA STASHAHADA KWA MWAKA WA MASOMO 2023/2024 MAELEKEZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WANAOOMBA MIKOPO. Waombaji wote wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya...
Back
Top Bottom