Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".
Habari wandugu,
Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:-
Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data
Engine swapping
ECU Remapping
Electrical system maintainance
Mechanical...
Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo
Phy D math D chemia C Biology C.
Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts
Habari wadau wa JF,
Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania.
Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu...
Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa.
Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
Wadau mnaendeleaje,
Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana.
Asanteni
Habari wadau?
Najiuliza why board ya uhasibu ina best students kwenye mitihani yao ya kupata CPA
Why Law school haina mambo ya nani best student?
Why ERB haina mambo ya best student?
Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma in Civil Engineering mwaka 2017 pia namalizia masomo yangu ngazi ya Bachelor in Civil Engineering katika chuo cha DIT. Kwa sasa natafuta nafasi ya kazi katika kampuni ama mradi wowote kama Civil Technician au pia hata kufanya kazi za...
Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1.
Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho?
Maana siku za dirisha...
Salaam WanaJamii.
Naomba kujuzwa zaidi juu ya hii Course;
#Wahitimu ni Waalimu (wa Ngazi gani?)
#Je ni Ma-Engineer (kwa viwango gani)?
#Au ni Walimu na MaEngineer kwa wakati mmoja.
#Wanaweza kufanya Shughuli zipi mtaani na kwenye mataasisi?
Kingine chochote ukijuacho nje ya hivyo unaombwa...
Habari ndugu zangu,
Wenye ujuzi hapo juu naombeni kufahamu niende kozi ipi kati ya hizo mbele hasa yenye ajira na ujira kwa nchi yetu hii.
Nitashukru kama nitapata ufafanuzi mzuri
Habarii ndugu zangu Watanzania,Mimi ni mhitimu wa stashahada ya uhandisi ujenzii (ordinary diploma in civil engineering) kutoka chuo Cha ufundi Arusha mwaka 2020.Natafuta kazi kwenye sekta binafsii au hata kama mtu anawezaa kujitolea kunipa connection serikalini Nitashukuru maisha mangumu mtaanii.
Habari za wakat huu wakuu
Kwa mwenye uelewa juu ya kozi hizo hapo juu
Kwanza zinahusiana na nini hasa
Pili ipi ni bora zaidi ya ingine
Tatu upande wa kujiajiri ukoje
Nne vyuo vinavyotoa kozi hizo zaidi ya DIT ni wapi kwingine?
Natanguliza shukran
Nyota ya Mtanzania, Gibson Kawago imeendelea kung’ara baada ya kutajwa katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya ubunifu katika uhandisi Afrika inayoratibiwa na Chuo cha Uhandisi cha Uingereza - Royal Academy of Engineering.
Wabunifu watatu wengine wanatoka Nigeria, Afrika Kusini na Uganda...
Habari ndungu zangu
Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na...
Habari za wakati huu ndugu zangu,
Samahanini sana kwa nitakao wakela kwa mimi kuleta uzi huu hapa jukwaani.
Nilikuwa naomba kwa ambao wamewahi kufanya interview utumishi ajira za TRC department ya umeme(locomotives engine).
Naomba mnisaidie maswali ambayo huwa yanaulizwa wakati wa interview...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.