kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. msafi WCB

    Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

    Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya. Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii kozi utaweza kutibu baadhi ya magonjwa na kufanya upasuaji mdogo mdogo, kozi hii ni ya miaka mi 3...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau: Kusoma kwa bidii ni kuishi kwenye ndoto zako

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki Mahafali ya kidato cha sita Shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo Kinampanda Wilaya ya Iramba akiwa mgeni rasmi wa mahafali hayo. Katika mahafali hayo, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliambatana na wageni mbalimbali...
  3. O

    Kuna ulazima wa kuanza Certificate kama unataka kusoma Diploma?

    Wakuu habari za majukumu. Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
  4. Optimists

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo. Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza...
  5. MK254

    Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
  6. hermanthegreat

    Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence yoyote. Mtu anaandika kitabu cha how to get rich fast afu pesa ya kuchapisha hicho kitabu amekopa...
  7. Mhafidhina07

    Tujitahidi kusoma historia ndiyo mkombozi pekee wa akili zetu kama tutakuwa wenye kuhitaji mabadiliko ya kweli

    History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti kina walter Rodney,smith na wengineo. Historia ipo kwa lengo la kuonesha GAP au MAPUNGUFU ili watu...
  8. mtwa mkulu

    Taarifa nzuri sana kutoka iringa usikose kusoma

    Kamwene: Hali ya hewa iringa leo ni nzuri sana hakuna Baridi na jua linawaka vizuri sana. Bei ya komoni ni sh 300 kwa lita 1, ulanzi ni sh 400 kwa lita, pia kuna promosheni ya Ulanzi kwa vilabu vyote Lita 2 inauzwa kwa sha 700. Bei ya kande kibakuli kimoja ni sh 100 pilipili bure, upande wa...
  9. D

    Natamani kusoma Mechanical Engineering, naomba ushauri

    Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo Phy D math D chemia C Biology C. Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts
  10. ngilo one

    Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

    Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa...
  11. J

    Rushwa hushusha Ubora wa Elimu na Kuondoa Ari ya Wanafunzi Kusoma

    Ufisadi unaharibu ubora na upatikanaji wa huduma za elimu kwa kuvuruga upatikanaji wa elimu. Inawaathiri sana maskini, wakiacha watoto wanaokabiliwa na changamoto kutegemea huduma duni za elimu ambapo elimu kidogo inaweza kufanyika. Ina athari mbaya katika sehemu zote za elimu, kutoka...
  12. PakiJinja

    Kitabu Cha Mwanafunzi: Jifunze kusoma kwa hatua

    Tanzania Wafungaji - Tanzania South Afrika Wafungaji - South Africa Egypt Wafungaji - Egypt Champions League Wafungaji - Champions League
  13. Nsanzagee

    Pendekezo: Badala ya Serikali kutoa elimu bure, fedha hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa wote

    Kwanza ifahamike kuwa, shule bure imeongeza ujinga mkubwa miongoni mwa wanafunzi tangu tu huduma hii ilipoanzishwa na serikali Lengo na maksudi ya Serikali na nia yake, ilikuwa ni njema na nzuri mno, ni kuwasaidia watu wote bila kujali umasikini wao, wasome na wawe na elimu kwa kila mtu Hata...
  14. Daspauls 238

    Nimemaliza kidato cha nne, napenda kusoma MD

    Matokeo yapo kama hivi Civ C Bio C Chem B English B Phy D Math D History B Kisw B Nitumie njia ipi ili nitimize ndoto yangu ya MD kupitia Diploma ya clinical medicine
  15. U

    Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  16. Jaji Mfawidhi

    Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington. Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya...
  17. S

    Mwanafunzi wa darasa la Saba alikatishwa masomo kwa ajili ya ndoa

    Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
  18. M

    TCRA: Hakuna kanuni inayokataza kusoma Magazeti kwa Mbwembwe

    Meneja wa Huduma za Utangazaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Andrew Kisaka amesema kauli yake imepotoshwa kuhusu wasomaji wa Magazeti kwenye Redio akisema hakumaanisha usomaji wa mbwembwe bali wasomaji kusoma na kuingia ndani. Akizungumza leo asubuhi na Kipindi cha Good Morning cha...
  19. F

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250 Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
Back
Top Bottom