Kati ya bachelor of science in statistics na land management and valuation ipi itanifaa kusoma chuo mwezi wa 10 mwaka huu?

fazobonas

Member
Dec 28, 2023
46
85
Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya .
Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics lakini ningependa ushauri zaidi kweni Wana jf juu ya course gani itanifaa kusoma mwaka huu ambayo pia itakuwa rahisi mimi kujiajiri mwenyewe nitakapomaliza chuo na hata ikitokea nimebahatika kuajiriwa angalau nikanyosha mshahara mzuri.

Nakaribisha maoni yenu tafadhali.
 
Nenda LMV
 
Kasome Economics iko markertable na kila taasisi utafanya kazi
 
Ungekuwa umesoma Advance Mathematics ningekushauri ukasome Bcs in statistics udsm .Ila komaa tu na hiyo land valuation ingawa competition iko juu na hiyo 1.9 .

Ukishindwa kabisa nenda kasome Ba in economics udsm ila hakikisha uko vizuri kuchwani utakuja kula mema ya nchii

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
 
Sawa nashukuru kiongozi
 
Maisha kukukanda au kutoboa ni wewe tu, hizo bachelors hazina maana yeyote ila shule kupunguza ujinga ni muhimu sana.
 
Habari wadau wa jf, nimemaliza six mwaka jana mwezi wa 5 mchepuo wa HGE nina ka one ya 9 with c flat. lakini nilishindwa kujiunga chuo mwaka huo kutokana na kushughulikia masuala yangu ya kiafya .
Moja ya course nilizokuwa nazifikiria mwaka jana ni land management and valuation na statistics lakini ningependa ushauri zaidi kweni Wana jf juu ya course gani itanifaa kusoma mwaka huu ambayo pia itakuwa rahisi mimi kujiajiri mwenyewe nitakapomaliza chuo na hata ikitokea nimebahatika kuajiriwa angalau nikanyosha mshahara mzuri.

Nakaribisha maoni yenu tafadhali.
Kasome utoza ushuru pale Mikocheni au IFM.
 
We inaonekana ht hujitambui. Ina maana huko sekondari ulikuwa unashauriwa? Vitu vingine mi maamuzi yako binafsi kila fani ina umuhimu wake, labda unawaza yenye ajira ya haraka.
 
Umeshawahi ona wapi mchumi akawa na muhuri

Hivi kuna bodi ya wachumi 😆😆
Mhuri wa nini, kwa hiyo watu wa IT au Computer Science wana mihuri? Mhuri wa sh elfu 10 ndio cha kumshauri mtu? Hv ungejua waliosoma sheria wanavyotaabika mitaani usingeshauri mwanao au ndg yako kusoma hiyo fani.
 
Back
Top Bottom