pharmacy

  1. politicians

    Amesoma clinical medicine/Co anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar

    Habari wakuu! Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar. Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
  2. C

    Kufungua pharmacy

    Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana. Nilitaka kujua je ninaweza kufungua halafu ni control duka langu kwa kutumia camera ntakazofunga dukani mke...
  3. E

    Tangazo la kijana wa kiume anayeweza kuuza Pharmacy

    Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627...
  4. De Professor

    Unataka kula mzigo siku 2 mfululizo Askari bila kushusha zana? Dawa ya pharmacy ambayo wengi hawajaifahamu ipo

    Kwa muda mrefu nimekua nikipita sehemu nyingi kila mtu anasema lake juu ya ingredients za kuboost wanaume kuhusu swala la kitandani. Hii imepelekea wengi kutapeliwa na wengine kulishwa na kunyweshwa vitu vya ajabu ajabu na visivtokua na matokea mazuri mwisho wa siku unapoteza pesa na hata...
  5. FedhaBook

    SOFTWARE Kwa wamiliki wa pharmacy : System ya kusimamia mauzo na kutunzia stock ya madawa kwa bei ya offa 200,000 TU

    Ninatoa offa hii kwa wamiliki wa maduka ya madawa kwa kuwapatia mfumo wa kusimamia mahesabu ya manunuzi, mauzo, mapato na matumizi.PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM Kupitia mfumo huu ambao aidha atautumia online au offline utanrahisishia utunzaji wa kumbukumbu zote za manunuzi, mauzo, mapato yake na...
  6. FedhaBook

    Fedhabook: Mfumo wa computer wa kusimamia biashara kwa wamiliki wa maduka ya rejareja, maduka ya jumla, pharmacy,supermarket na mini supermarket

    Habari, Ningependa kutambulisha kwenu mfumo huu wa kusimamia na kutunza kumbukumbu za kibiashara zinazohusu masuala ya kifedha katika biashara. Ukiwa na mfumo huu katika biashara yako utatunza kumbukumbu za manunuzi, Mauzo, mapato na matumizi Pia Utaweza kutambua bidhaa zilizouzika na...
  7. S

    Vyuo vya kati vya afya (pharmacy) visivyokuwa na utaratibu wa kuvaa sare

    Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu. Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari. Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
  8. B

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili, how comes Dr. Medicine arecommend dawa?

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili,how comes Dr.medicine arecommend dawa? Wakati mtaalam yupo lakini hafanyi kazi yake?
  9. B

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy 4 yrs, kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili. Medical officer ana recommend dawa akiwa hana uzoefu wowote wala Elimu kuhusu dawa, hii sio sawa. Viongozi wetu wa juu Kuna sehemu mnakwama sana, waacheni wafamasia WAFANYIE kazi walichofundishwa darasani.
  10. JanguKamaJangu

    Nini kitatokea dawa ikimdhuru mtu aliyeinunua pharmacy bila cheti cha daktari? Majibu haya hapa

    Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo. Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
  11. The thinker27

    UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

    UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha
  12. Zekoddo

    Hiki Kipimo naweza kukipata Pharmacy?

    Wakuu, hiki Kipimo Cha HIV naweza kukipata Pharmacy shop..
  13. Zekoddo

    Hiki Kipimo naweza kukipata Pharmacy?

    Eti wakuu hiki Kipimo cha HIV naweza kukipata kwenye Pharmacy shop?
  14. S

    Ni vipi vyuo bora kwa diploma ya pharmacy Dar es salaam

    Wakuu habari za jioni. Miezi kama mitano iliyopita nilikuja kuomba ushauri wa kozi ya kusoma nikapata michango mingi ya wana JF niwashukuru sana kwa hilo. Kiujumla nimedhamiria kusoma diploma ya pharmacy na nilikuwa nataka kusoma MUHIMBILI. Leo nimeingia website ya NACTE kufanya maombi lakini...
  15. HEARTZ

    Ushauri kuhusu Bachelor of Pharmacy na Master of Chemistry

    Habarini wanajamii, Naomba kufahamishwa kwa mtu mwenye bachelor of pharmacy na master of chemistry specialized in environmental chemistry soko lake lipo vipi hapa nchin Tanzania.
  16. Mwizukulu mgikuru

    Mwenye mitihani ya leseni pharmacy (miaka ya nyuma anisaidie tafadhali)

    Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu.. Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani hakuna cha bure zaidi ya pumzi..
  17. Rich Dad

    Nahitaji Pharmacy (duka la dawa) linalouzwa Kigamboni

    Kwa mwenye kuuza duka la dawa kigamboni nahitaji. Iwe ni biashara yenye vibali vyote muhimu na pia unioneshe daftari la mauzo na location iwe nzuri ya kueleweka. Nicheki inbox tuzungumze zaidi.
  18. S

    Pharmacy business consultant required

    Anahitajika hired consultant kwa ajili ya kuendesha biashara ya duka ya pharmacy wholesale na retail Mae so ya Amana
  19. Hemedy Jr Junior

    Daktari anamiliki "pharmacy" dawa anaiba hospitali halafu anadai ajira inalipa

    Ukiona mtu anasifia kuajiriwa mchunguze sana, wengi wapigaji! Ona mfano mdogo; mwalimu hana posho au marupurupu ndo maana kila siku analalamika. Mapolisi nao, hivyo hivyo. Kuna mambo mengi sana kwenye ajira, ukiona mtu anasema anapata milioni 5 mshahara matumizi yake bei gani kwa siku? Na...
Back
Top Bottom